CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

Naona wanasema hivyo kwa vile mfumo wa matibabu kwetu ni worse. Hivi umeona wards za mloganzila ?Yaani huko ukipelekwa upo stage ya kuhitaji ventilator andika umekufa tu. Ndo maana ikifika watu wengi wanaugua na wanahitaji ventilators. Wataachwa wafe tu,maana hazipo.
Dada kifo huwa kinapangwa na Mungu na wala si binadamu! Mbona huko US wenye ventilators kibao wanakufa? Halafu unadharau sana nchi yako as if siyo Mtanzania.
 
Sasa death elfu 20000 ni mchezo iyo sasa ni usa ambayo ni nchi imejikamikisha kiuchumi sasa si africa si itakua zaidi miliion vifo

Sent using Jamii Forums mobile app
2/3 ya walioambukizwa wamepona bila kwenda hospitali. 1/3 iliobaki ndio wanaenda kutibiwa hospitali ambapo wengi wanapona,wachache wanakufa. wanaokufa mostly ni wazee na wenye underlying diseases. Na ndio kinachoua watu USA,Spain,Italy.

Ili wafe watu milioni Africa maambukizi itabidi yawe mamilion ya watu ambao wengi wawe wazee na wagonjwa.
 
Dada kifo huwa kinapangwa na Mungu na wala si binadamu! Mbona huko US wenye ventilators kibao wanakufa? Halafu unadharau sana nchi yako as if siyo Mtanzania.
kama siyo ventilators wangelikufa mamilioni, sasa ni 20,000! Do you see the difference?
 
Kwanini wasiseme wao ndio watapotea Kama marekan na ital sababu wanaendelea kufa kwa wingi na Sio kwamba dawa wanayo Ila wanajiham tu waache kutuwazia waafrica peke yetu Kwan hii Vita Amna Alie ishinda Kwan imekuja miripuko mingap na tumepona
Pia sis tuna Amin mungu YUPo na ndie anae tuteteea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama siyo ventilators wangelikufa mamilioni, sasa ni 20,000! Do you see the difference?
Mkuu, USA nzima mpaka sasa kuna cases 530,000 hivyo vifo mamilioni vitatoka wapi? Hapo hapo USA 2/3 wanapona bila kuwa hospitalized only 1/3 ndio wanaenda hospitali na miongoni mwao ndio wanahitaji ventilators. Hata USA wenyewe hawana ventilator za kutosha watu 500,000. Kama kila mwenye covid 19 angehitaji ventilator hata hapo USA wasingeweza kumudu.
 
Kama unatumia akili vizuri uki study pattern ya corona Africa nchi zenye more international interaction ndozishakuaa serious sasa hapa tofauti ni hatua ya ugonjwa ulipofika.kama unahisi wanao ugua south Africa ni wazungu hayaa.

Ila uwe unamsikiliza waziri wako tumeingia stage ya local transmission usiongee sana tutapogika community transmission haswa ndo tutajua hatima yetu.
Kati ya America zote,australia,ulaya,Asia na africa ni Bara lipi lenye wagonjwa wachache wa CORONA?.
na hata huku Africa utagundua ukiacha nchi za Africa kaskazini ambapo wapo karibu na ulaya na asia wanaofata kwa maambukizi ni sauzi africa..
kwa hyo wasitutishe.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think ebola is more fatal while COVID-19 highly contagious
Mkuu Ebola is highly contagious the only good thing about Ebola MTU hawezi kuanza kuambukiza kabla hajaonesha symptoms za Ebola zile hapo ndo pona yetu mzee!!

Lakini Ebola ingekuwa mgonjwa anaweza kusambaza kabla hajaonesha dalili yoyote basi ingefanya mauaji ya halaiki yasioelezeka maana kill ratio yake ni ajabu na inaua vibaya mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilichukua muda gani kwa USA from case #1 hadi #100?
Mda sana walizarau mgonjwa wakwanza us aligundulika January mzee ,ila wameamza kufa kwa kasi machi mwishoni huku. Miezi kama miwili hivi.

Sisi case ya kwanza ni march kwahio tukaushe tusipige domo kwanza kwa miezi kama miwili ndotuanze kujimwambafy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada kifo huwa kinapangwa na Mungu na wala si binadamu! Mbona huko US wenye ventilators kibao wanakufa? Halafu unadharau sana nchi yako as if siyo Mtanzania.
Hata umaskini ametupangia Mungu au?
Mbona nchi zenye huduma bora afya ndo wanaongoza kuishi maisha marefu duniani??
Au Mungu kapanga wenye huduma bora za afya waishi maisha marefu hafu wenye huduma mbovu waishi maisha mafupi??

Think first.Hatuwezi msingizia Mungu tu kwa kila kitu hata kama ni vya ujinga wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mda sana walizarau mgonjwa wakwanza us aligundulika January mzee ,ila wameamza kufa kwa kasi machi mwishoni huku. Miezi kama miwili hivi.

Sisi case ya kwanza ni march kwahio tukaushe tusipige domo kwanza kwa miezi kama miwili ndotuanze kujimwambafy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kimoja tuna overlook, idadi ya wazee. Mfano Italy kuna kipindi wastani wa umri wa waliokufa ulikuwa ni miaka 79! Nchi hizo unazoona wana vifo vingi idadi ya wazee ni kubwa sana. Ndio maana sasa hivi wanawaonya Japan ikikolea pale watajuta.
 
2/3 ya walioambukizwa wamepona bila kwenda hospitali. 1/3 iliobaki ndio wanaenda kutibiwa hospitali ambapo wengi wanapona,wachache wanakufa. wanaokufa mostly ni wazee na wenye underlying diseases. Na ndio kinachoua watu USA,Spain,Italy.

Ili wafe watu milioni Africa maambukizi itabidi yawe mamilion ya watu ambao wengi wawe wazee na wagonjwa.
Unajua Africa INA wagonjwa wa ukimwi wa ngapi??
Watu wanao kula mlo mmoja wangapi?
Watu wanaokula wanga tu wangapi?

Mzee Africa tatizo LA malnutrition ni kubwa mno there fore swala LA kinga kuwa kubwa just take it with a pinch of salt ,!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, USA nzima mpaka sasa kuna cases 530,000 hivyo vifo mamilioni vitatoka wapi? Hapo hapo USA 2/3 wanapona bila kuwa hospitalized only 1/3 ndio wanaenda hospitali na miongoni mwao ndio wanahitaji ventilators. Hata USA wenyewe hawana ventilator za kutosha watu 500,000. Kama kila mwenye covid 19 angehitaji ventilator hata hapo USA wasingeweza kumudu.
Mzee 530000 hao waliopimwa. Hawajapima mnchi nzima !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ebola is highly contagious the only good thing about Ebola MTU hawezi kuanza kuambukiza kabla hajaonesha symptoms za Ebola zile hapo ndo pona yetu mzee!!

Lakini Ebola ingekuwa mgonjwa anaweza kusambaza kabla hajaonesha dalili yoyote basi ingefanya mauaji ya halaiki yasioelezeka maana kill ratio yake ni ajabu na inaua vibaya mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema ebola ni more fatal kama ulivyomalizia. Kusema haiambukizi mpaka dalili zitokee maana yake ni afadhali kuliko Corona ambayo kitendo cha kuwa karibu,kushika vitu mnaambukizana. Covid 19 is highly contagious ndio maana pamoja na juhudi zote hata 1st world wanashindwa kuidhibiti.
 
Back
Top Bottom