MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Nakuonea huruma sanaaNatamani Coast apite. Ili Simba tusiw na kazi ngumu fainali.
itakuwa aibu tupu hapoHawa coastal ndo wanaenda shirikishoo 😅
Au yupo kwa mkopo?Huyu gift ally namba 4 mgongoni, jezi yake haijaandikwa coastal union fc kama wenzie,, sijaelewa shida nini.
Zamu yao kupigwa 7 km sio 10 dakika chache zijazoMtu amekula mkono, mashabiki wa Simba jasho linawatiririka.
Makolo wakae mkao wa kuchapwanaoFT' 5-2
Walijifanya wanaijua Pemba kuliko Azam?Pre-seasson
Azam: MOROCO
Coastal: PEMBA.
Uwekezaji.....
Makalo kaeni mkao wa kugongwanaoGOLIKIPA Coastal,kawaida! Sijui Mandampi Yuko wapi
huyo kocha anatudanganya hapa wazi wazi eti shida golikipa, shida ni wao kupoteza mipira hovyo hovyo kwenye nusu yaoKwani golikipa Ley Matampi alishaondoka Coastal Union au bado yupo?....angedaka leo angewasaidia sana
UsinizoeeNakuonea huruma sanaa
Kwenda huko...!Usinizoee
Umeonaje mkuu, unanipa shida mimi natumia tv nchi 15, wachezaji nawaona kama nukta nuktaHuyu gift ally namba 4 mgongoni, jezi yake haijaandikwa coastal union fc kama wenzie,, sijaelewa shida nini.
Uwanjani Kuna free WiFi tupo online kwa ajili ya kukupa updates za magoli ya yangaLeo nataka nibaki JF na rafk angu wa kike, wengine nendeni kwenye mpira mniachie jukwaa
Sio mbaya Azam tukutane fainaliKila la kheri Coastal. Walambisheni hao upupu