Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

Kwani golikipa Ley Matampi alishaondoka Coastal Union au bado yupo?....angedaka leo angewasaidia sana
 
Leo nataka nibaki JF na rafk angu wa kike, wengine nendeni kwenye mpira mniachie jukwaa
 
Kwani golikipa Ley Matampi alishaondoka Coastal Union au bado yupo?....angedaka leo angewasaidia sana
huyo kocha anatudanganya hapa wazi wazi eti shida golikipa, shida ni wao kupoteza mipira hovyo hovyo kwenye nusu yao
 
Back
Top Bottom