Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Hilo tangazo lipo kwenye mabango, magazetini, majaridani, redioni, runingani na kwingineko na hao wasanii ndo wahusika tu?

umesahau ulichouliza nini!!?? labda nikukumbushe umeuliza hivi
By Nyani Ngabu

Kuna matangazo gani ya biashara (ya Coca-Cola) yenye majina ya hao wasanii?"
sasa hilo la "na hao wasanii ndo wahusika tu" linatoka wapi!!, unajichanganya mkuu...
 

Majina kuandikwa kwenye makopo ya soda yaliyo kama zawadi ndo matangazo ya biashara?
 
Sasa majina kuandikwa kwenye makopo ya soda yaliyo kama zawadi ndo matangazo ya biashara?
yap ni sehemu mojawapo ya matangazo ya biashara ndio maana wakayaandika hayo majina, vinginevyo wangeyaacha hayo makopo plain tu...
 
yap ni sehemu mojawapo ya matangazo ya biashara ndio maana wakayaandika hayo majina, vinginevyo wangeyaacha hayo makopo plain tu...

Pwa ha ha ha haaaa

Unachekesha kweli wewe.

Watu wamepewa hayo makopo kama token tu na si kwamba ukienda madukani utakutana na chupa za Coca-Cola zenye jina la Le Mutuz na hutaona bango lenye picha yake akiwa kashikilia chupa ya Coke yenye jina lake halafu bado wewe unaona hilo ni tangazo la biashara?

You are pathetically comical.
 

mkuu you are the one who is pathetically comical, kama lisingekua tangazo la biashara wasinge tangaza kwenye media kwamba wametoa zawadi za kopoz kwa watu hao na picha zao juu...
 
Nyani Ngabu
Wewe umejuaje walimpigia simu? Ulikuwepo wakati wanampigia hiyo simu?

KUTOKUWEPO HAKUMAANISHI KUTOKUJUA

Alishikiwa bunduki wakati wanampigisha hiyo picha?

NDIO MAANA ALIKATAA KWENDA

Sasa walipomwambia hivyo kwa nini hakuwakataza wasiliandike hilo jina analodai ni lake?

WALIANDIKA KWANZA NDIO WAKAMUITA

Kama unadhani sawa maana kudhani tu hakuna shida. Na kwa vile umesema unadhani maana yake ni kwamba hujui Coca-Cola waliongea nini na hao watu.

WATU GANI? WOLPER MATHIBITISHA HAUKUONGEA NAO CHOCHOTE ZAIDI YA KUMPIGIA SIMU AKACHUKUE KOPO LENYE JINA LAKEKWENYE UZINDUZI WAO

Umefikia hili hitimisho baada ya kusikia toka pande zote zinazohusika au umelifikia kutokana na unachokisoma tu kwenye mitandao ya kijamii?

TUNAJUA MAMBO KWA KUSIKIA NA KUSOMA, NOT NECESSARY TOBE THERE

Sawa.

BASI SAWA

Huku ni kusadiki tu sasa maana hujui kama hayo majina yameongeza mauzo ya Coca-Cola. Kama unajua niwekee takwimu hapa.

SIJAONGELE LAZIMA YAONGEZE MAUZO, KWA MARKETING HII NI DHAMIRA YA KUONGEZA SALES

Na watu wako wengi vilevile

NA WOLPER NI MIONGONI MWA HAO WATU WENGI
 
Last edited by a moderator:
mkuu you are the one who is pathetically comical, kama lisingekua tangazo la biashara wasinge tangaza kwenye media kwamba wametoa zawadi za kopoz kwa watu hao na picha zao juu...

Kwa hiyo waliopewa zawadi za hizo kopo ni wasanii tu na hakuna watu wa kawaida wasio wasanii?
 

Huwezi kujibu kwa vipande vipande kama nilivyofanya mimi?

Hivi ulivyojibu inanichanganya bana.
 
Mkuu unauelewa finyu sana kuhusu mambo ya marketing and sales
So nihaki yako kabisa kuamini unachoamini
 
Mkuu unauelewa finyu sana kuhusu mambo ya marketing and sales
So nihaki yako kabisa kuamini unachoamini

Kusema tu ninauelewa finyu wa hayo mambo hakutoshi na wala hakusaidii chochote.Wewe onyesha kwa utondoti huo uelewa wangu finyu wa hayo mambo.

Pangua kila hoja na kila neno kwa hoja (kama una ubavu wa kufanya hivyo) na si kutoa kauli za jumla jumla tu.
 
Wengi wa wasanii wetu wanaingia kwenye fani kwa influence,especially wadada either kwa sura ama maumbo yao au alikua miss.na pia vipaji vyao ni vya kulazimisha sio vya kuzaliwa navyo.huyu msanii atajuaje thamani yake wakati hakuwahi hata struggle kufika hapo alipo?Diamond atabaki kua exceptional kwa kujitambua kwake tu.hana utani na hela maana akikumbuka pete ya mamake aliouza anatafta hela.wolper vile asivyojua igiza basi hata kufikiri hajui,anatafta fame kupitia msando.angalau msando ye alikua wakwanza,who is wolper tryna fool that she's smart?nasisitiza Coca cola can not do such a stupid thing,something is wrong somewhere.
 
Kwa hiyo waliopewa zawadi za hizo kopo ni wasanii tu na hakuna watu wa kawaida wasio wasanii?
kwanza unajichanganya sijazungumzia kwamba waliopewa zawadi ni wasanii tu la hasha, waliopewa zawadi ni watu wenye majina maarufu katika jamii ambayo ni target ya kutangaza katika soko bidhaa hii, halafu pia sijaona watu wa kawaida wakisema wamepewa zawadi za kopo kama walivyofanya hao super stars!!!
 

Ahsante ndugu kwa jiby muafaka nimefurahishwa sana na jibu lako
Its a simple fact that needs not to be rebutted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…