Nyani Ngabu
Wewe umejuaje walimpigia simu? Ulikuwepo wakati wanampigia hiyo simu?
KUTOKUWEPO HAKUMAANISHI KUTOKUJUA
Alishikiwa bunduki wakati wanampigisha hiyo picha?
NDIO MAANA ALIKATAA KWENDA
Sasa walipomwambia hivyo kwa nini hakuwakataza wasiliandike hilo jina analodai ni lake?
WALIANDIKA KWANZA NDIO WAKAMUITA
Kama unadhani sawa maana kudhani tu hakuna shida. Na kwa vile umesema unadhani maana yake ni kwamba hujui Coca-Cola waliongea nini na hao watu.
WATU GANI? WOLPER MATHIBITISHA HAUKUONGEA NAO CHOCHOTE ZAIDI YA KUMPIGIA SIMU AKACHUKUE KOPO LENYE JINA LAKEKWENYE UZINDUZI WAO
Umefikia hili hitimisho baada ya kusikia toka pande zote zinazohusika au umelifikia kutokana na unachokisoma tu kwenye mitandao ya kijamii?
TUNAJUA MAMBO KWA KUSIKIA NA KUSOMA, NOT NECESSARY TOBE THERE
Sawa.
BASI SAWA
Huku ni kusadiki tu sasa maana hujui kama hayo majina yameongeza mauzo ya Coca-Cola. Kama unajua niwekee takwimu hapa.
SIJAONGELE LAZIMA YAONGEZE MAUZO, KWA MARKETING HII NI DHAMIRA YA KUONGEZA SALES
Na watu wako wengi vilevile
NA WOLPER NI MIONGONI MWA HAO WATU WENGI