Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Ila kusema ukweli Le mutuz kaonewa...Sawa majina ya kina Wolper wanaweza kuwa wengi mitaani, lakini le mutuz sidhani.....lile jina ni brand...

ila babu yangu anavyopenda sifa ndo kwaanza anashangilia...

Mi uniuwe mahaba niueeeee
 
Kuna haja ya wasanii wa bongo kutembelea humu jamii forum wajifunze mengi mana ni empty mind kabisa
 
Uknw lembebiz Dinazarde nilidhani lemsukumaz kakupigaz marufukuz kuingia Jf!

Uknw Happy new year!
Huu ni mwaka wa lekopoz uknw
Hahahahaha i like it

I like it u know mi nishapatia lekopozzz watu na majina yetu uknow,,,le msukumaz anadeka mpaka naumwa nakosa muda wa kuingia jf
Heheeeeeeeiyaaa wanaosema wabeba boksi hua hawarud home msukuma wangu yupo ananipa malavidaviiii mpaka naumwa you know,usijali tupo pamokoooooooooi
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu humu walisema ooh Coca Cola wana miaka 128+ mara oooh hawahitaji kujitangaza, leo wanakuja story nyingine et inawezekana sio Wolper yeye.
Swali, kwa nin hao akina Wolper wengine hawajapiga picha na kopoz....?
 
Kuna watu wanajifanya much know utadhani ni wasemaji wa coca cola!kila kitu wanajua wao kumbe majuha tu.
 
Kuna watu humu walisema ooh Coca Cola wana miaka 128+ mara oooh hawahitaji kujitangaza, leo wanakuja story nyingine et inawezekana sio Wolper yeye.
Swali, kwa nin hao akina Wolper wengine hawajapiga picha na kopoz....?

Kwani huyu Wolper yeye kapigwa na nani hiyo picha?

Kwamba Coca-Cola ipo zaidi ya miaka 128, hiyo ni kweli.

Kwamba Coca-Cola haimhitaji Wolper wa kibongo, hiyo nayo ni kweli kabisa.

Una jingine?
 
Waaacha weeee.....
 
Kwani huyu Wolper yeye kapigwa na nani hiyo picha?

Kwamba Coca-Cola ipo zaidi ya miaka 128, hiyo ni kweli.

Kwamba Coca-Cola haimhitaji Wolper wa kibongo, hiyo nayo ni kweli kabisa.

Una jingine?

Coca cola hata wasingeandika hayo majina inauzika tu wala haiwahitaji hao wasanii ili wauze ,tena wamekomeshwaaa
 
Coca cola hata wasingeandika hayo majina inauzika tu wala haiwahitaji hao wasanii ili wauze ,tena wamekomeshwaaa

Halafu, hawaandiki majina ya hao so called wasanii tu.

Hata wewe ukitaka uwe na le kopoz au le chupaz yenye jina lako watakuandikia tena bure.

Sasa sijui na wewe jina lako ndo litaiuza hiyo soda...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…