Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kusema ukweli Le mutuz kaonewa...Sawa majina ya kina Wolper wanaweza kuwa wengi mitaani, lakini le mutuz sidhani.....lile jina ni brand...
ila babu yangu anavyopenda sifa ndo kwaanza anashangilia...
mmmnh hi ni kweli mkuu!! mbona robo tatu ni kubwa ya nusu inamaana alikataa dau kubwa akataka umpe dogo!!
Mi uniuwe mahaba niueeeee
Mwaka mpya na mambo mapyaa,kiriuuuuuuuuuuu Kim nana Paula kilaki unanikosha mpaka naumwaaa heiyaa:thumbup:
Uknw lembebiz Dinazarde nilidhani lemsukumaz kakupigaz marufukuz kuingia Jf!
Uknw Happy new year!
Huu ni mwaka wa lekopoz uknw
Hahahahaha i like it
Mahaba ning'ate
Kuna watu humu walisema ooh Coca Cola wana miaka 128+ mara oooh hawahitaji kujitangaza, leo wanakuja story nyingine et inawezekana sio Wolper yeye.
Swali, kwa nin hao akina Wolper wengine hawajapiga picha na kopoz....?
mahaba nipige nipigike nitembee pekupeku bila hata ndala,mahaba niue nife nimekakamaa...Mahaba nilenge nizimie kwa utamu asiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kuna watu humu walisema ooh Coca Cola wana miaka 128+ mara oooh hawahitaji kujitangaza, leo wanakuja story nyingine et inawezekana sio Wolper yeye.
Swali, kwa nin hao akina Wolper wengine hawajapiga picha na kopoz....?
mahaba nipige nipigike nitembee pekupeku bila hata ndala,mahaba niue nife nimekakamaa...
I like it u know mi nishapatia lekopozzz watu na majina yetu uknow,,,le msukumaz anadeka mpaka naumwa nakosa muda wa kuingia jf
Heheeeeeeeiyaaa wanaosema wabeba boksi hua hawarud home msukuma wangu yupo ananipa malavidaviiii mpaka naumwa you know,usijali tupo pamokoooooooooi
Kwani huyu Wolper yeye kapigwa na nani hiyo picha?
Kwamba Coca-Cola ipo zaidi ya miaka 128, hiyo ni kweli.
Kwamba Coca-Cola haimhitaji Wolper wa kibongo, hiyo nayo ni kweli kabisa.
Una jingine?
Uwiiiiiiii mahaba nitundike uninyongee, mahaba nipofue nipotee jf
Coca cola hata wasingeandika hayo majina inauzika tu wala haiwahitaji hao wasanii ili wauze ,tena wamekomeshwaaa
Waaacha weeee.....
Una mifano mazee....?
ndio. mimi mwenyewe.