Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Jamani mbona hakuna tatizo hapo?! Kwanza itakuwa poa wajitegemee kila kitu wajameni...
 
Bora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.

Bora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Kwel mkuu! Binafs nauchukia sana muungano huu coz hata maslai ya sisi uku Bala kwa upande wa zenj sjui niyapi
 

Hizo ni Fitina za Tanganyika kwa Zanzibar ,jamaaa mpaka code number wameizuia
 
Huo ndio ukweli,
Kama WEwe unapambania Plestina ipate uhuru huku unangangania Tanganyika iendelee kuikumbatia Zanzibar basi wewe ni NDUMILAKUWILI.
 
mpaka Morogoro Tanga na Lindi
 
Malizia kuwa ni TV yenye rangi kusini mwa jangwa la Sahara!

Yani MATAGA mnaweza propaganda za mara Jiwe babalao na upuuzi mwingine
Upuuzi wa hali ya juu. So what? Tanganyika ilikuwa ya kwanza kuwa na Telex kabla ya Afrika Kusini, umesikia mtanganyika anajidai kwa hilo? Tanganyika ilikuwa ya kwanza kuwa na shamba la kahawa kuliko Afrika Kusini ..... so what? Hivi mtu mwenye akili anaweza kukaa mahali na kuwaambia watu? Ni akili kweli kusema Tanganyika ilikuwa ya kwanza kuwa hoteli ya nyota tano kuliko Zanzibar, wakati Zanzibar inaweza kujenga ya nyota sita kesho?...au hii ndio elimu inayotolewa Zanzibar?
 
mpaka Morogoro Tanga na Lindi
Hakuna kitu kama hicho! Karne hii ya 21 kamwe hatuwezi kuipa kipaumbele mikataba ya kizamani ya Heligoland na takataka nyingine!

Zanzibar litabakia daima kuwa Koloni la Tanganyika chini ya usimamizi thabiti wa CCM! Mkifanikiwa kuiondoa CCM madarakani, huenda ndoto zenu za kujitenga zikatimia. Kinyume na hapo, mtaishia tu kulia lia.
 
Msituharibie nchi jaman...hiv chadema mnataka nin labda mkiulizwa...mnataka kuvunja muungano au..mbona hamna jema nyiny chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…