[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dhaaaaWatauana kama kuku. Hakuna mijitu mibaguzi kama ya visiwani. Utasikia yule mpemba, yule muunguja. Mara utasikia ule msikiti wa ACT na kuna misikiti ya CCM.
MIBAGUZI SANA HII MIJITU.
Rudisheni maeneo ya Zanzibar mliyopora kijanjaHakuna kitu kama hicho! Karne hii ya 21 kamwe hatuwezi kuipa kipaumbele mikataba ya kizamani ya Heligoland na takataka nyingine!
Zanzibar litabakia daima kuwa Koloni la Tanganyika chini ya usimamizi thabiti wa CCM! Mkifanikiwa kuiondoa CCM madarakani, huenda ndoto zenu za kujitenga zikatimia. Kinyume na hapo, mtaishia tu kulia lia.
Othman Masoud ni wa ACT WAZALENDOMsituharibie nchi jaman...hiv chadema mnataka nin labda mkiulizwa...mnataka kuvunja muungano au..mbona hamna jema nyiny chadema
Naa huu ni uthibitisho kuwa Watanganyika ni wajingaWanatupunja sn
Ipigwe kura ya huu muunganoNaa huu ni uthibitisho kuwa Watanganyika ni wajinga
Ikipigwa na wananchi muunganyiko kwisha. Ikipigwa na viongozi utaendelea kuwepoIpigwe kura ya huu muungano
Tupige wananchiIkipigwa na wananchi muunganyiko kwisha. Ikipigwa na viongozi utaendelea kuwepo
Hivi kuna sheria gani iliyopelekea Masheikh kuja kushtakiwa Tanzania Bara? Kitu pekee ambacho ni cha Muungano ni Mahakama ya Rufaa.Haipendezi kuwa sehemu ya wanaosimamia Sheria halafu unatetea mtuhumiwa openly huko ni kuvuruga mchakato mzima wa mamlaka ya kutoa haki,
Ni kuinfluence outcome ya hukumu.
Jambo ambalo ni kinyume Cha taratibu za Utawala Bora.
Ya Geita ni 17/3Mheshimiwa Makamo wa kwanza wa Rais Othman Masoud Shariff amewaahidi Wazanzibari kwamba atapambana kuhakikisha Zanzibar inaitumia code yake.
Hivi Code ya Geita ni ngapi??
Punguza hasira mkuu,Watauana kama kuku. Hakuna mijitu mibaguzi kama ya visiwani. Utasikia yule mpemba, yule muunguja. Mara utasikia ule msikiti wa ACT na kuna misikiti ya CCM.
MIBAGUZI SANA HII MIJITU.
๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธKufuga majini na kufi.la wake zenu ndio ustaarabu?
Ukiacha Rais wa kwanza wa Zanzibar, wengine wote wamesimikwa na Tanganyika.
mbona una hofu sana !Topic za kijinga unajina hizi code zimewekwa lini? wajinga wajinga ndiyo baada ya miaka 50 mnagundua !!!
CCITT, the predecessor of the ITU Telecommunication Standardization Sector, developed the first formal list of telephone country codes. It was included in the 1964 CCITT Blue
Hamna kitu kama hicho... kama muungano ukivunjika wazenji watabaki na visiwa vyao tu hawawezi thubutu kudai hizo km 20 huku bara... hata wao wanajua wazi haitawzekana!!Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
S.3(1)(b) of the Penal Code Cap 16 R.E 2019.Hivi kuna sheria gani iliyopelekea Masheikh kuja kushtakiwa Tanzania Bara? Kitu pekee ambacho ni cha Muungano ni Mahakama ya Rufaa.
Usiongelee haki kama hujui sheria. Mahakama za Tanzania hazina jurisdiction kwa makosa yaliyofanyika ZNZ
Na huku kuna wasukuma kibao masheha na wenyeviti wa chama Chao cha CCMMkuu wazanzibar mifumo yao ya kiuongoz hasa ya chin n ngumu mtu wa bara kupata nafas
Maajabu nafas za juu zote mara nyingi viongoz wao n toka bara mawazir na marais
Hapa bugurun mtaa wa pandia mjumbe n mmakunduchi wa visiwan
Kigamboni washiraz kibao n wajumbe had madiwan
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app