Wameanza kuotesha mimea jangwaniChina ardhi yao kubwa wameweka viwanda vingi sana na kuna sehemu serikali ililazimika iwauwe wananchi na kuwavunjia nyumba zao ili wasonge mbele kwa kujitanua kiuchumi
Hakufika hapo kwa kucheka
Sasa mashamba hakuna ya kutosha kwa kukidhi mahijaji yao na hata chakula cha mifugo yao
Unajua wanalenga wapi ili wazalishe chakula chao?
JPM aliyeamua kubakia humu ndani akishindwa kuvuka hapo mediterannean ndio aliyezijua geopolitics!.Samia mweupe sana kwenye masuala ya geopolitics, aendelee kutembelea shows za taarab huko Z'bar... Na kuwapiga mipasho wapinzani...
Kumuua Membe lilikuwa kosa kubwa mno sasahivi hawaoni future ya maslahi yao!!Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.
Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.
Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?
Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?
Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina
Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.
Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.
Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Kwa hiyo hapa unajisikia ume andika jambo la maana sana litakalo wasaidia waTanzania kutoingizwa kwenye utwana? DPW waombe sana na watoe hela nyingi sana za kununua serikali ya genge lenu ili iendelee kuwepo na kuhujumu. Viginevyo uamzi wa wao kuendelea hapo utategemea maslahi ya nchi na siyo ya genge lenu. Si ulizungumzia TICTS mlivyo wanyang'anya mfupa mdomoni; halafu wakati huo huo unashindwa kuona hayo yakiwatokea DPW?DPW wapo bandarini mpaka mkataba wao utakapomalizika.
Viwanda vingi vinaanzishwa muda huu wewe huwezi kuvijua kwa sababu unabii wa majanga ni tatizo lako kuu kuliko mengine yote.
Akili finyu unayo wewe mwenye mawazo yale yale ya kuona kazi inafanywa na watu wengi, kuna teknolojia za kisasa zinaondoa nguvu kazi nyingi kwenye ajira muda huu, mitambo ya kisasa inafukuza watu makazini.
Ujerumani wamegundua teknolojia za kujenga nyumba bila ya uwepo wa mafundi kwenye site, ni mitambo tu ipo kazini, maana yake wote wanaosomea vyuoni masuala ya uhandisi wa majengo wanakwenda kukosa kazi siku teknolojia hizo zikifika hapa Tanzania.
Akija mwekezaji kwenye sekta ya uhandisi na mitambo yake ya kujenga, kina Kalamu wenye akili za kizamani watampinga kwa nguvu zote.
Dunia inakwenda kasi sana jitahidi uende nayo kwa kasi hiyo hiyo ili usibakie kuchekesha watu humu kwenye jamvi.
Ninacho kueleza ni kuwa hayo magawiwo unayo yazungumzia hapa ni kabla ya DPW kufanya kazi hapo. Bandari tayari ilikuwa imeanza kufanya kazi vizuri baada ya ukarabati mkubwa ulio fanyika hapo.Nenda hazina kaulize mchango wa Bandari kwenye magawio ya serikali mwaka huu ni kiasi gani kimeongezeka.
Hakuna haja ya kuandikia mate, wino upo.
Yani kuna mijitu ikiona comment ya faiza tu basi lazim watatia udini hebu dada jiaribu kuondoa hio profile picha yko angalau usiwaumize baadhi ya watuUnataka nitetee mlioishiwa? .
Jangwani wanaotesha kwa ajili ya nini bossWameanza kuotesha mimea jangwani
Tanzania haijawahi kuwa mbali na wachina tangu tupate uhuruLeo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.
Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.
Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?
Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?
Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina
Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.
Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.
Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Kusaidia kupunguza joto ma eneo mengi yamekaliwa na watu... Pamoja na kuweka shughuli za kilimoJangwani wanaotesha kwa ajili ya nini boss
Safi sanaKusaidia kupunguza joto ma eneo mengi yamekaliwa na watu... Pamoja na kuweka shughuli za kilimo
Hujui unaloliongea, bandari licha ya ukarabati mkubwa kuna vitu ambavyo vilikuwa vikiikoseshea ufanisi wake.Ninacho kueleza ni kuwa hayo magawiwo unayo yazungumzia hapa ni kabla ya DPW kufanya kazi hapo. Bandari tayari ilikuwa imeanza kufanya kazi vizuri baada ya ukarabati mkubwa ulio fanyika hapo.
Hata hivyo, bado upo nje ya maswala tunayo jadili kama ilivyo kawaida yako. Wewe jambo pekee unalojuwa ni DPW, basi, nje ya hapo huna lingine.
Na DPW sio mwekezaji wa mwisho ndani ya Tanzania, wanakuja wengi tu na teknolojia zao, sisi wazalendo tukiendekeza maneno mengi na ujuaji mwingi bila ya kukuza elimu zetu kwa masuala mbalimbali, tutaishia kuwa na akili sawa na za Kalamu, zenye kupenda kulialia na kulalamika.Kwa hiyo hapa unajisikia ume andika jambo la maana sana litakalo wasaidia waTanzania kutoingizwa kwenye utwana? DPW waombe sana na watoe hela nyingi sana za kununua serikali ya genge lenu ili iendelee kuwepo na kuhujumu. Viginevyo uamzi wa wao kuendelea hapo utategemea maslahi ya nchi na siyo ya genge lenu. Si ulizungumzia TICTS mlivyo wanyang'anya mfupa mdomoni; halafu wakati huo huo unashindwa kuona hayo yakiwatokea DPW?
Sasa nikuulize wewe kwa akili hiyo ndogo ya kudhani teknolojia inakuwepo kuwaondoa watu kazini bila ya uwepo wa mbadala watu hao watafanya na kufaidika na nini kutokana na hiyo teknolojia.
Hivi wewe unadhani haya mambo unayo okoteza huko kuwa ni mageni kwangu, au siyo? Umesoma kijarida gani ukaiona habari hiyo leo. Unapo sikia' Artificial Intelligence' (AI), unaelewa maana yake ni nini hasa?
Kwa hiyo achana na kujaribu kunifanya kama mtu asiye na uelewa mpana kuhusu haya mambo. Nipo mbele yako sana kuhusu haya.
Hapa tujadili tu hali ya waTanzania wetu hawa maskini, mnaofanya kila juhudi kuwatumbukiza tena katika enzi za utwana na utumwa. Fahamu kuwa hilo halitawezekana tena.
Intelegensia ya Tanzania ni kubwa sana, inatumalizia fedha zetu kuihudumia lakini inatudaidia sana kutubakisha salama. Wakati wa ukombozi wa bara la Afrika, azimio la Arusha, na sera ya ujamaa na kujitegemea Tanzania ilikuwa imejioatia maadui wengi sana kutoka nchi za mabeberu na makaburu lakini intelegensia yetu ilitusaidia na kumsaidia mwl Nyerere awe hai.Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.
Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.
Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?
Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?
Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina
Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.
Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.
Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Miaka 30 ndio kipimo mlicho wawekea waTanzania kuwa watakuwa wamepata ujuzi?Pia DPW katika mkataba wake kuna kipengele kinachomtaka awape ujuzi wafanyakazi wa bandari wazalendo. ukizisikiliza nadharia zetu wazalendo ni kwamba tunao uwezo wa kujiendeshea bandari yetu sisi wenyewe ukweli na uhalisia haupo hivyo, bado kiwango chetu cha kupata wataalam wapya ni kidogo sana na hata uwezo wa kukuza maarifa ya wafanyakazi waliokwisha kuajiliwa tayari ni mdogo pia..
Sasa angalia upumbavu huu hapa unao uandika bila ya kuutilia maanani. Unataka nani "akuze elimu zetu kwa maswala mbalimbali" wakati ni Samia na genge lenu mnao fanya kila jitihada kudhoofisha kila kitu ili waTanzania wabaki kuwa watwana wenu?Na DPW sio mwekezaji wa mwisho ndani ya Tanzania, wanakuja wengi tu na teknolojia zao, sisi wazalendo tukiendekeza maneno mengi na ujuaji mwingi bila ya kukuza elimu zetu kwa masuala mbalimbali, tutaishia kuwa na akili sawa na za Kalamu, zenye kupenda kulialia na kulalamika.
Sasa unamwambia nani haya, badala ya kwenda kwa Samia na kumweleza kuwa anawahujumu waTanzania kwa kudhani kuwa watu wanao weza ni kutoka huko nje na siyo waTanzania walio andaliwa kuchukua jukumu la kuiendeleza nchi yao?Mfumo wa maisha wa sasa ni hauna lelemama hata kidogo. Ukizubaa umeachwa na wenzako wanakimbilia fursa mbalimbali za uwekezaji.
Samia anajenga mashule na zahanati nchi nzima, anajenga viwanda nchi nzima, miaka michache ijayo ataanza kuifufua reli ya TAZARA, tutakuwa na reli mbili ya SGR inayokwenda huko kanda ya ziwa na huyo reli kongwe.Sasa unamwambia nani haya, badala ya kwenda kwa Samia na kumweleza kuwa anawahujumu waTanzania kwa kudhani kuwa watu wanao weza ni kutoka huko nje na siyo waTanzania walio andaliwa kuchukua jukumu la kuiendeleza nchi yao?
Wajibu wa Samia na serikali yake kwa waTanzania ni upi, kunadi mali asili za nchi yao, au kuhakikisha kwamba wananchi wamewezeshwa kuchukua jukumu la maendeleo ya nchi yao?
Ulisikia mChina akienda kutafuta wawekezaji toka nje na kusahau kuwaandaa wananchi wake. Korea Kusini, walisubiri wawekezaji waingie ndipo makampuni yao makubwa yaanzishwe? Nitajie hata nchi moja ambayo imebweteka tu ikisubiri viongozi wake wakatafute akina DPW wa dunia wakawaletee maendeleo!
Samia anagusa kila sekta muhimu, hata hiyo elimu pia inaguswa kwa kuongeza malipo ya wanavyuo vyetu kwa njia ya mikopo.Sasa angalia upumbavu huu hapa unao uandika bila ya kuutilia maanani. Unataka nani "akuze elimu zetu kwa maswala mbalimbali" wakati ni Samia na genge lenu mnao fanya kila jitihada kudhoofisha kila kitu ili waTanzania wabaki kuwa watwana wenu?
Hakuna mtu anayeudharau uwezo wa watanzania, ni sisi wenyewe tunajidharau kwa kuendekeza tabia za ufisadi na wizi wa kila aina.Miaka 30 ndio kipimo mlicho wawekea waTanzania kuwa watakuwa wamepata ujuzi?
Hizi ni sababu zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Ile bandari pakiwepo na uongozi unaotambua maslahi ya nchi, waTanzania wenyewe wapo hata leo kuiendesha hiyo bandari kwa ufanisi mkubwa.
Tatizo lako na mama yenu ni lile lile,kudharau uwezo wa waTanzania, na kujiona nyinyi na wajomba zenu ndio bora kuliko waTanzania. Sasa sijui nilieleze hili nilieleze vipi ili liweze kuingia akilini mwako.
Lakini najua, hata kama unaelewa huwezi kukubali ukweli huo kwa sababu ya manufaa yenu mnayo yalinda kwa kila njia.
Ngoja niseme hivi kama kumalizana na wewe: Wewe siyo hawa mapunguani wengi tunao waona humu JF; ila wewe ni fisadi anaye endeshwa tu na maslahi.Hao Wachina na Wakorea walijengewa na wanaendelea kujengewa misingi ya kuwa wamiliki wa rasilimali zao kupitia mashuleni, tusifanye mchezo na elimu.