Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa "The history of Africa before 1948" yaani ikimaanisha "Historia ya Afrika kabla ya mwaka 1948" wewe unasema ni juzi tu.948 si juzi tu kijana? Soma kijana usiwe mvivu kusoma. Usinhgojee kila kusomea na kujazwa ujinga tu.
"title".Unaambiwa "The history of Africa before 1948" yaani ikimaanisha "Historia ya Afrika kabla ya mwaka 1948" wewe unasema ni juzi tu.
Maisha ya kabla ya mwaka 1948 kurudi nyuma unawezaje kuyaita ni ya juzi tu, ukiulizwa habari za 1901 ulikuwepo wewe?
Elimu huna, ndiomaana unashindwa kuelewa tittle ndogo kama hiyo.
Thibitisha kuwa hii sehemu yote ya Mashariki ya Africa ilikuwa ni Zanzibar, kama ambavyo ulisema kule juu na ilikuwake mkaja kuwa merged na Tanganyika (taifa la wabantu wa kuja)..?"title".
Wabantu ni wakuja mashariki ya Afrika, wanatokea magharibi huko.
Kafanye homework yako vizuri,
Kama shule ulienda kusomea ujinga ni tatizo lako siyo langu.Thibitisha kuwa hii sehemu yote ya Mashariki ya Africa ilikuwa ni Zanzibar, kama ambavyo ulisema kule juu na ilikuwake mkaja kuwa merged na Tanganyika (taifa la wabantu wa kuja)..?
Baki na madrassa yako sasa.Kama shule ulienda kusomea ujinga ni tatizo lako siyo langu.
Nnachoona jua Mimi Kwa Sasa mwanasheria wangu KIBATARA anakesi nyingi anazozisimamia zinamshughulisha ngoja amalizane nazo kwanza then ntakuja kujibu na kuchangia hoja mkuuLeo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.
Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.
Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.
Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?
Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?
Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina
Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.
Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.
Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Urefu wa kamba ni kuridhika na kile unachokipata kihalali.Eleza wewe maana ya msemo huo unaotaka kupindisha hapa.
Hata lugha ya kiswahili nayo inakupa shida, ni kipi sasa ulicho nacho ujuzi. Najua sheria ndio huna kitu ndiyo maana hata hukuweza kuwa ndani ya TLS.
Kuishi kwa utapeli tapeli kuna mwisho wake.
TICTS walikuwepo lakini mkataba wao ulikuwa unaiumiza nchi, wataalam wakaamua kuuvunja ili Tanzania ifaidike.Nimekuuliza TICTS haikuwa hapo? Hao nao walikuwa waswahili?
Usilotaka kujibu ni kuwa ni wapi duniani pasipokuwepo na ufisadi, lakini swali hilo hutaki kulijibu.
Nifahamishe, ni nchi ipi duniani ambayo haina ufisadiSaudi Arabia; China, au wapi?
Huko nako viongozi wa nchi hizo badala ya kupambana na huo ufisadi wanaamua wao wenyewe kuwa sehemu ya ufisadi kama mnavyo fanya nyinyi? Huu ndio uongozi wa kujivunia?
Endelea kuota ndoto mbaya zinazouumiza moyo wako.Machungu pekee ni hayo yanayo wasubiri nyinyi. Mtatoka kwa aibu kubwa na inawezekana mkaburuzwa mbele za sheria na kunyang'anywa mali mlizo iba.
Mwizi na mtenda maovu hata siku moja hawezi kuishi bila ya machungu.
Hiyo ni tafsiri yako inayoinayo zidi kudhihirisha nia yenu mbaya kwa waTanzania.Urefu wa kamba ni kuridhika na kile unachokipata kihalali.
Basi kama TICTS waliondolewa kwa sababu hizo, hawa DPW wawe wa kawanza kabisa kufungashiwa virago mara tu Samia atakapo ondolewa. Mizengwe yote iliyo tumika kumleta huyo DPW inatosha kabisa kumtupilia mbali.TICTS walikuwepo lakini mkataba wao ulikuwa unaiumiza nchi, wataalam wakaamua kuuvunja ili Tanzania ifaidike.
DPW imekuja na mkataba unaofaidisha nchi pia teknolojia zao zipo juu.
Mimi sioti ndoto mbaya kwa sababu nayapinga maovu mnayo fanya.Endelea kuota ndoto mbaya zinazouumiza moyo wako.
Hakuna hofu kwenye masuala ya mikataba ya kimataifa, inahitajika elimu pana kwa maana ya kujua kwa kina nini kinasainiwa.Mimi sioti ndoto mbaya kwa sababu nayapinga maovu mnayo fanya.
Wenye ndoto mbaya ni nyinyi, ambao sasa kila kukicha hamna uhakika mtafika kesho.
Huoni hofu kuu iliyo wazingira kila mahali?
Upana wa biashara anayoifanya DPW hakuna wa kumuondoa. Nimekwambia alianza kusaini mikataba na Tshisekedi kule DRC akaja kusaini na Kagame kisha akamalizia na SSH.Basi kama TICTS waliondolewa kwa sababu hizo, hawa DPW wawe wa kawanza kabisa kufungashiwa virago mara tu Samia atakapo ondolewa. Mizengwe yote iliyo tumika kumleta huyo DPW inatosha kabisa kumtupilia mbali.
Nani kati yenu mama na wewe anayo hiyo elimu unayo izungumzia, maana naona wote ni vihiyo tu. Kazi muhimu mnayo ijua ni kufisadi tu na kuwadharau waTanzania. Hakuna a ziada mnalofanya sasa hivi.Hakuna hofu kwenye masuala ya mikataba ya kimataifa, inahitajika elimu pana kwa maana ya kujua kwa kina nini kinasainiwa.
Na huo sio mkataba wa kwanza kwa serikali kusaini, tulidanganywa na mpaka maaskofu wakaingia kichwakichwa kusambaza waraka makanisani, kumbe hakuna kampuni au taasisi yenye uwezo wa kuzuia serikali isifanye uwekezaji na taasisi nyingine kwenye suala zima la bandari.
Elimu ni silaha ukiwa nayo.
Hata asipo ondolewa yeye, uchafu uliomleta ni lazima usafishwe; hilo ndilo la kwanza. Na zaidi ya hivyo; kazi inayoweza kufanywa na waTanzania ni lazima ifanywe; hatuwezi kusubiri miaka 30 kama hatuna akili vichwani. Miaka mitano anafanyiwa tathmini ikionekana kuna umuhimu wa kurudisha hizo kazi kwa waTanzania walio tayari kuzifanya kwa ufanisi, anaondoka. Mapori yetu mnayogawa, wananchi watapanda miti tuvune hizo 'carbon credits' sisi wenyewe.Upana wa biashara anayoifanya DPW hakuna wa kumuondoa. Nimekwambia alianza kusaini mikataba na Tshisekedi kule DRC akaja kusaini na Kagame kisha akamalizia na SSH.
Haupo uwezekano wa nchi tatu tofauti zenye marais watatu tofauti wasiojua nini wanachokifanya.
Kihiyo ni wewe unayelialia kila serikali inapoingia mkataba wa kibiashara. Ukaenda kutafuta mwanasheria kutoka Kenya ambaye ni kihiyo mwenzako mkadhani mnaweza kuishinda serikali inapokuwa na lengo lake.Nani kati yenu mama na wewe anayo hiyo elimu unayo izungumzia, maana naona wote ni vihiyo tu. Kazi muhimu mnayo ijua ni kufisadi tu na kuwadharau waTanzania. Hakuna a ziada mnalofanya sasa hivi.
Haya unayo yaandika hapa kwa kurudiarudia ni kama unajipotezea muda tu, maana hakuna hata moja linalo eezea jambo la kumfanya mtu atumie akili kulitafakari.
Kwa mfano, tazama huo mstari wa kwanza: "Hakuna hofu kwenye masuala ya mikataba ya kimataifa, inahitaji eimu pana kwa maana ya kujua kwa kina nini kinasainiwa". Halafu mikataba yenyewe hata bunge hawatakiwi kuikagua; kila kitu kinafanyika gizani ili pasihojiwe chochote; mradi tu hao wanaojitambulisha kuwa na "elimu pana" FEKI madudu yao kwenye hiyo mikataba yasitambuliwe.
Sasa kila jambo ni siri. Juzi Gesi imegawiwa wajomba huko Ntorya Mtwara, kimya kimya; eti "elimu pana" imetumika!
Huu ni upumbavu wa aina gani huu.
Sasa hao hao wa "elimu pana" wanawekwa kuwa wakuu wa Sheria ili mikataba hovyo ipite bila ya pingamizi.
Kama nilivyo sema awali, mwisho wa siku, mnastahiri kupata haki yenu kwa maovu haya mnayo yafanya sasa hivi kwa nchi hii.
Fuatilia ni kiasi gani cha pesa kinaingia hazina kila mwezi kutokana na DPW na Adani kuendesha bandari yetu, kabla ya kubweka kama mbwa asiye na mwenyewe.Hata asipo ondolewa yeye, uchafu uliomleta ni lazima usafishwe; hilo ndilo la kwanza. Na zaidi ya hivyo; kazi inayoweza kufanywa na waTanzania ni lazima ifanywe; hatuwezi kusubiri miaka 30 kama hatuna akili vichwani. Miaka mitano anafanyiwa tathmini ikionekana kuna umuhimu wa kurudisha hizo kazi kwa waTanzania walio tayari kuzifanya kwa ufanisi, anaondoka. Mapori yetu mnayogawa, wananchi watapanda miti tuvune hizo 'carbon credits' sisi wenyewe.
Kongo na Rwanda hawana tatizo; wanachotaka ni uanisi tu wa kazi hapo bandarini bila kujali nani anaifanya hiyo kazi.
Nilikwisha kwambia mara kadha humu JF, huyo unaye nihusisha naye hata simjui na wala sijui anashughulika na maswala yapi hasa. Pengine itakusaidia kidogo ukimweleza huyo mtu, maana mimi sihusiki kabisa naye na shughuli zake. Maswala haya ni ya hatari, usije ukawa unamwingiza kwenye matatizo yasiyo muhusu yeye.Kihiyo ni wewe unayelialia kila serikali inapoingia mkataba wa kibiashara. Ukaenda kutafuta mwanasheria kutoka Kenya ambaye ni kihiyo mwenzako mkadhani mnaweza kuishinda serikali inapokuwa na lengo lake.
Serikali inapo kosa uaminifu kwa wananchi wake kama hii yenu, usitegemee watu wanyamaze. Mikataba ya siri siyo sehemu ya serikali kuwa na uwazi na wala haihusiani kivyovyote na utawala bora. Hii yenu imekuwa ni serikali ya majizi.Ungekuwa na uelewa wa nini kinachoendelea usingetanguliza wazo la kupinga kwanza kinachokusudiwa kufanywa, ungetanguliza nia ya kutaka kwa kina kufahamu ni kipi kinachokwenda kufanyika.