COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu


Mie nimetoka kupuu...afu najishtukia,sijui Mungu aliniona LOL(Mungu nisamehe)
 

God doesn't begin. The Universe began,

If you are too lame to get the crystal clear logic, that's your fault - not mine.

Exactly! Mungu yupo hata kabla ya Uumbwaji wa ulimwengu.
Anaita sasa!
 

Hujanijibu swali.

Kwa nini mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, mwenye upendo wote na uwepo kote ahitaji sheria au kuwa sheria?

Inakuwaje mungu huyo awe ukomo? Na nje ya ukomo huu kuna nini?

Kama mungu anajihitaji yeye mwenyewe, hilo linasema nini kuhusu uwezo wake wa kuweza yote? Anaweza kutojihitaji mwenyewe? Kama hawezi, je, anaweza yote kweli? Si umeshaonyesha kwamba anajihitaji mwenyewe?

Kwa nini siwezi kuhoji juu ya hizo omnis? Siwezi kuhoji kweli au unasema hivyo tu kwa sababu huna majibu?

Kama siwezi kuhoji, maswali haya nimekuulizaje?

Mbona unasema siwezi kuhoji wakati tayari nimeshahoji?

Unafahamu unakielewa unachoandika kweli wewe?
 
Wengine wanasema Mungu wao Anaongea Kiarabu tu... hajui lugha zingine...
 
Exactly! Mungu yupo hata kabla ya Uumbwaji wa ulimwengu.
Anaita sasa!

Correct, that is perfect logic. In fact self-existence without beginning is rationally NECESSARY. Something must be prime. Something beginning from nothing is irrational. Non theists and God Haters comprehend not this perfect logic.
 
Anakataa bila ya ushihidi, is waste of time to thinkers. The Creator has no beginning. No Creator is required.
The Universe began to exist. A Creator is required.
 
Hapo hapo wanakwambia hakuna asichojua.

Fujo tupu.

Your "non theistic logic" says that everything requires nihilo, in contrast, the creator has no beginning, inter-alia, logic demands that anything that BEGINS to exist requires a cause to explain it's existence. Something cannot come from nothing.

If the invisible created the visible, then the creator who is invisible is omniscient.

Your logic is flawed.
 
Mungu yupo, alikuwapo tena bila kuwa na mwanzo, ni mwenye kudumu asie na ukomo.
 
Mungu yupo,
Wapi? umemuona au umeadithiwa? na kama hujamuona basi ni hadithi tu hiyo uelewe....
alikuwapo tena bila kuwa na mwanzo,
Huu sasa ni Utata hakika hata hapo mwanzo huelewi kulikuwa na nini ni sawa na yai na kuku kipi kilianza?
ni mwenye kudumu asie na ukoma.
Mkuu ukoma unafahamika kama Ugonjwa fulani wa ngozi nadhani kiasi kikubwa umekomkosea heshima kwa kumfananishia na huo ugonjwa... na kwa maneno yako tu unamaanisha anayo ngozi...


Nikuweke wazi tu Kitu ambacho huna uhakika nacho na hata waliokutangulia nao hawana uhakika nacho ni bora uwe na maamuzi yako binafsi kuwa uamini ili siku ukifa either utakikuta au hutokikuta hukumu yako ndio itaamuliwa hivyo... Dini na uwepo wa Mungu ni Imani tu.... Hakuna Udhibitisho period.
 

Hakuna kiumbe anayeweza kudiriki kumjua undani wake Mwenyezi Mungu.

Naamini uwepo wake wa tangu na usio na mwisho.

Hana cha kufananishwa nacho,

hana kinachomshinda, hayawi ispokuwa yale anayoyataka kuwa, yeye yupo hai na kwakuwa kwake na uhai haina maana atakufa, ana nguvu wala yeye hapatwi na kuchoka, Mungu wangu ninaemuamini ni yule alieumba viumbe bila kuhitajia chochote kutoka kwao,

akawapa riziki bila kufilisika, ndie anaetoa uhai wa viumbe wake na ndie atakae wafufua viumbe hao na kuwalipa stahiki zao kulingana na yale waliotenda hapa duniani. Huyo ndie Mungu ninaemuamini mimi,

imani yangu wala haiitajii logic kubwa kufahamu uwepo wake na utukufu wake, kila mwenye kutaka kuchimba akidhania atapata kumuona live ndio aamini uwepo wake namuambia aache kwani majuto yake mbinguni yatakuwa makubwa. Akhsante.
 
CHAMVIGA

Hayo Maneno yote nani aliyekuaminisha? maana umeongea hadi umepitiliza,Utukufu wake hebu dadavua unafananaje au japo kianzio tu? Na Hayo Majuto ya Mbinguni kulikoni tena? maana wengi wanaamini Mbinguni ni raha tupu sasa wewe wasema ni Majuto?

Wewe Upo kwa wale wapigao Wrong Number... Unapiga simu namba unahakika nayo kumbe umekosea...! yaonekana wazi una imani Haba...

Kama Hakuna Kiumbe kinachoweza Kumjua Mungu sasa wewe Imani yako ndio Unaamini sehemu ambapo hutokuja Kuijua... Kuwa Makini akili yako imeoshwa... Kama Hujui ulikotoka na uendako hupajui fresh... nenda kwa Walimu Wako Wakupige Msasa fresh maana Humu utachechemea tu...

Mungu Unamuamini ni yule aliyeumba vitu bila kuhitaji chochote kutoka kwao wewe haupo Sawa... Vitabu vinasema Mungu anataka aabudiwe.... hilo ndio takwa lake kuu wewe Elimu ya Dini nadhani haujaifanyia pratical...

Swali Dogo nikuulize... Mungu wako Anaitwaje? ili nikusaidie katika Imani yako... Maana Miungu yote ina Majina yake.... usipinge katu... wewe nitajie tu jina la Mungu unayemuamini tafadhali.. ukishindwa Omba msaada kwa aliyekuaminisha...
 
Last edited by a moderator:

Kiranga mleta mada is another waste of oxygen alafu he has the audacity to mention the principle of burden of proof..... kumbe wala haijui.... burden ya proof ina lie kwa mtu anaye make knowledge claim....

yeye mwenywewe kwa uzi wake ndio ame make knowledge claim kua anaamin mungu yupo so kwa kutumia iyo principle aliyoitaja ambayo haijui vzr inamtaka atoe ushahidi!!!!!
 

Unajua mambo mengine haya watu wana parrot ili kuonekana wanajua na kutia msisitizo zaidi kqa lugha za kigeni.

Wakati hata kuelewa maana halisi hawaelewi.

The hey end up ahooting, shooting themselves in the foot like Plaxico.
 
Mie nimetoka kupuu...afu najishtukia,sijui Mungu aliniona LOL(Mungu nisamehe)
Huwa nashangazwa sana na mwanamke anayetilia mashaka uwepo wa Mungu, nafanya hivyo kwa kutazama pekee jiografia ya mwili wa mwanamke, utaona kwamba Muumbaji alitumia ufundi sana katika kuuumba. Mfano; Kunyonyesha; inakuwaje mwanamke anaweza kunywa maji , au bia halafu atoe maziwa??ni kwa namna gani mwanamke anaweza punguza damu kiasi fulani kila mwezi lakini isiwe katika hali ya kumfanya kupoteza maisha, au damu yote mwilini kwisha, mimba: kwanini mwanamke anakaa na kiumbe tumboni kwa miezi tisa, kwanini iwe tisa na si tatu atu mbili au moja na ikiwa pungufu au zaidi ya hapo huwa tatizo?? mwanamke ni symbol tosha ya uwepo wa Mungu, unasemaje bidada??
 
kindly elaborate to me the principle of evidence of absence!! hakuna haja ya kulia kama wewe pia huna uelewa kuwa huelewi kuwa huelewi...
 

Alieniaminisha ni yeye mwenyewe Mwenyezi. Unaweza na wewe kuamini kwakuangalia jinsi Mungu aliumba kwa ustadi wa hali ya juu. Mbingu,dunia,bahari,n.k ukijiangalia wewe mwenyewe tu ni ushahidi tosha kwamba aliekufanya hivo ulivo si wa kawaida he own extra power.
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…