Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Unamtetea mungu wa wakristo halafu hujui upendo ni mdudu gani.
Hilarious.
Hujajibu hoja ya kuondoa contrafiction ya mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na mwenye upendo wote kuumba ulimwengu unaowezekana kufanyika mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na mabaya.
Umeiruka hoja hii kwa kujifanya huelewi upendo ni nini, ingawa mtu anayeamini na kumuelewa mungu wa kikristo anatakiwa aelewe upendo ni nini.
Halafu hapo hapo unanituhumu mimi kutojibu hoja na kutiriruka nabyale yaliyomo kichwani mwangu tu.
Huku ukweli ukibakinkwamba wewe ndiye hujibu hoja zangu.
Wanasaikolojia wanaita hii tabia "projection". Havari zako unanitupia mimi.
Unanichosha na kariri zako.NIMEKWAMBIA UPENDO WA MUNGU KWA MUJIBU WA WAKRISTO HAUNA CONTRADICTION SIMPLY NI UPENDO UNAOVUKA MIPAKA YA FALSAFA YA UPENDO WA KIBINADAM.
usichoelewa nini hapo ?
Nipe maana ya upendo wenye contradiction ndiyo nikujibu kuhusu upendo huo na contradiction unayoiona
Unajitapa wewe hutaki kuamini unayaka unayojua tu! Lakini I inapokuja utoe unajua Kama kweli kipo unatumia imani kukwepa.
Kama umeandika upendo wote, uwezo wote pasipo kujua maana zake. Ishia hapa na kariri zako.
Wewe binadamu, huna akili yoyote zaidi ya ya kibinadamu.
Unajuaje kwamba upendo wa mungu unavuka mipaka ya falsafa ya upendo wa kibinadamu?
Upendo wa mungu kama hauna empathy kuliko upendo wa kibinadamu utakuwaje umepita upendo wa kibinadamu?
Binadamu asiye na upendo wote, ujuzi wote wala uwezo wote anajitabidi kuvumbua chanjo za magonjwa kama Polio na kusaidia binadsmu wenzake. Kwa nini mungu hajafikia level hiyo ya empathy ya kufanya kila alichkweza kuhakikisha mabaya hayawapati viumbe wake?
Nilipokwambia kwamba kusema sitaki imani, nataka kujua, na hakuna contradiction kati ya kutotaka imani na kukubali kuwa imani haiepukiki na kitu muhimu kwangu ni convergence from imani towards knowledge, methodically anx logically, ulielewa hapo au pamekupita kimo?
Nikupe mfano wa upendo wdnye contraicgion mara ngapi wakati kila nikikupa mfano unatumia "deus ex machina" ya "upendo wa mungu umepita falsafa ya upendo wa kibinadamu" sakati eewe huna akiki yoyote isiyo ya kubjnadamu kujua hilo?
Una akili gani isiyo ya kibinadamu kujua hilo?
Halafu mbona hueleweki? Mara unasema huelewi upendo ni mdudu gani, mara unasema upenxo wa mungu umepita falsafa ya upendo wa binadamu. Unajuaje hilo wakati hujui hata upendo ni mdudu gani kama ulivyosema? Unaji contradict.
Wenye upendo na uwezo hufanya kila wanaloweza ili kuhakikisha mabaya hayawapati wanaowapenda.
Kwanini mungu mwenye upendo wote na uwezo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Kwa akili ya kiatheist ni kweli, lakini kwa Mkristo yeye amefanywa kuwa mjuzi wa Yale ambayo mmefichwa ninyi wenye hekima za kibinadamu.
Unayo haki ya kuropoka namna hiyo.
Nimekwambia upendo wa Mungu unapita ule wa kibinadamu unaoelezeka kwenye kamusi. Kipi cha ajabu hapo ?
Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa mwanawe afe msalabani ili walimwengu wote wataomwamini wapate kuokolewa. Upendo huo waweza kuupata katika kamusi zenu ?
Swali lako limejaa majinga majinga Sana,
Ni kwanini unafikiri kimantiki Uwezo wote, upendo wote anakinzana na kuumba ulimwengu wenye uwezekano wa mabaya ?
Toa sababu za kimantiki za kuhitimisha hilo.
Kama wewe unavyokataa mwanao asikamuliwe jipu kwa kuwa akikamuliwa atasikia maumivu na wewe Una upendo wote kwake hutaki aumie unafikiri Mungu pia ana upendo wa kijuha namna hiyo ?
Mungu aweza kuruhusu mabaya au mateso yampate MTU ili afikie hali njema kuliko iliyopo. Kumpiga mtoto sindano ya kutibu maradhi yake ni mateso yenye nia njema kwa afya yake.
Narudia ni nini kimekufanya ufikiri Uwezo wa Mungu unakinzana na ulimwengu wenye maovu ?
Akili ya mkristo inatumia brain cells gani ambazo ziko tofauti na akili za watu wengine?
Unajuaje upendo wa mungu unapita upendo wa binadamu kabla hata ya kuweza kuthibitisha kwamba mungu yupo at all?
Brain cell za Bwana Yesu Kristo...kumbe tukisema akili wewe ni mkusanyiko wa Brain cell pekee. Kuna maombi yanatenda kazi sijui kwenye sayansi hixo ni brain cell gani ?
Akili ya mkristo inatumia brain cells gani ambazo ziko tofauti na akili za watu wengine?
Unajuaje upendo wa mungu unapita upendo wa binadamu kabla hata ya kuweza kuthibitisha kwamba mungu yupo at all?
Hujanieleza imekuwaje mpaka mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaamua kuumba ukimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao manaya hayawezekani.
Umeruka swali hili.
Kwa nini mungu ahangaike kumtoa mwana wake aje kuokoa ulimwengu wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ukimwengu ambao hautahitaji yeye kumtoa mwana wake kuuuokoa?
Kwa nini aumbe ulimwengu ambao unaweza kuhitaji yeye kutoa mwana wake auokoe wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao uko sawa kuanzia mwanzo na hautahitaji yeye kumtoa mwanawe ili auokoe?
Kwa noni mungu aliumba ulimwengu ambao uyahitaji yeye amtoe mwana wake ili auokoe wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna makosa wala mabaya tangu mwanzo na hivyo ambao usingehitaji huyo mungu kumtoa mwana wake kuuokoa?
Mungu wako ni fundi mchundo anayekoseakosea na kusahihisha sahihisha kazi yake ili apatie vizuri?
Hakuna swali nililoruka zaidi sana unajifanya huoni hoja dhidi ya swali husika.
Kuhusu kujua namna upendo wa Mungu kuzidi upendo wa binadamu wote.
Nimeangalia maana ya upendo kadri ya kamusi na maana ya upendo kadri ya Habari Njema.
Kuthibitisha kwamba Mungu yupo at all ndiyo mnyama gani ?
Ni uthibitisho gani unataka zaidi ya kuwambia Mungu ninayejibu hoja zake hapa ndiye Muumba wa ulimwengu na mwanzilishi wa uhai.
Wewe mbona umeshindwa kuthibitisha kwamba hayupo ?
Kuhusu hoja yako hii...
"Hujanieleza imekuwaje mpaka mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaamua kuumba ukimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao manaya hayawezekani."
Nimekuhoji uniambie kimantiki umetumia vigezo gani kujua kwamba Uwepo wa Mungu unakinzana na Uwepo wa ulimwengu uliopo ?
Unajifanya huoni swali hapo ?
Hoja ya kwanini kwanini uliyomalizia inategemea hoja utayojibu kuhusu utaalamu wa kimantiki uliyotumia kujua mkinzano wa Mungu na Ulimwengu uliopo...
Jibu hoja ya namna ulivyohitimisha kimantiki kwamba Mungu na Ulimwengu huu wanakinzana. Haya mengine utajibiwa pia
Ulivyoangalia maana ya upendo kwenye kamusi ulitumia akili ya kibinadamu au akili gani?
Kuangalia nilitumia macho
Kwa sababu, wenye upendo hufanya kila wanaloweza kuhakikisha wanaowapenda hawapatwi na mabaya.
Mnasema mungu wenu ana uwezo wote na upendo wote, aliweza kuumba ulimwengu wowote aliotaka, ukiwamo ulimwengu ambao hauna na hauwezekani kiwa na mabaya.
Kwa nini hakuumba huo na kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na upendo wote anapingwa na ulimqengu tunaouona. Ulimwengu huu uliojaa mabaya haiyumkiniki kuwa umeumbwa na mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote.
Hujajibu swali langu la imekuwaje mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote akaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana licha ya kuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Mimi sioni mkizano kimantiki Kati ya Mungu na Ulimwengu huu tulionao.
Wewe unayeona mkinzano niambie kwanza utaalamu wa kimantiki uliokuwezesha kijua kwamba Mungu anakinzana na uuwepo wa ulimwengu huu tulip nao.
Unachosha kwa ulioariri.
Ulivyoangalia maana ya upendo kwenye kamusi ulitumia akili ya kibinadamu au akili gani?
Kuangalia nilitumia macho
Hata swali dogo hili hujalielewa, unajivika uwezo wa kijadili uwepo wa mungu.
Sijakuuliza umetumia nini kuangalia, nimekuuliza umetumia akili gani.
Kama hujaweza kuelewa swali hili, nina shaka huko kwingine unapiga kelele tu.
Mbona nimekueleza kirahisi sana.
1. Wenye upendo hawaachi wanaowapenda wapatwe na mabaya kama wana uwezo wa kuzuia hilo. Baba mwenye upendo hawezi kuacha mtoto wake mchanga aungue na myo kama anaweza kumuokoa. Na huyu ni baba ambaye hana uwezo wote wala upendo wote.
2. Mungu mwenye uwezo wote na upendo wote ana uwezo na upendo kupita binadamu, na hivyo anatakiwa kuwaepusha anaowapenda wasipatwe na mabaya kwa kupita binadamu anavyofanya.
3. Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kutokea (lwa sababu ana uwezo wote) na alikuwa na sababu ya kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani (kwa sababu ana upendo wote na asingetaka viumbe wake wapatwe na mabaya)
Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Unanisumbua tuu. Rejea hoja kuhusu upendo kwa mtoto wako kuogopa kumumiza na kuacha kumkamua jipu. Kuna upendo ambao unaanza na mabaya then mems kufuatea
Kuangalia tunatumia macho. Wewe Kama unaangalia kwa kutumia akili Mimi hainihusu.