Unanichosha na kariri zako.NIMEKWAMBIA UPENDO WA MUNGU KWA MUJIBU WA WAKRISTO HAUNA CONTRADICTION SIMPLY NI UPENDO UNAOVUKA MIPAKA YA FALSAFA YA UPENDO WA KIBINADAM.
usichoelewa nini hapo ?
Nipe maana ya upendo wenye contradiction ndiyo nikujibu kuhusu upendo huo na contradiction unayoiona
Unajitapa wewe hutaki kuamini unayaka unayojua tu! Lakini I inapokuja utoe unajua Kama kweli kipo unatumia imani kukwepa.
Kama umeandika upendo wote, uwezo wote pasipo kujua maana zake. Ishia hapa na kariri zako.
Wewe binadamu, huna akili yoyote zaidi ya ya kibinadamu.
Unajuaje kwamba upendo wa mungu unavuka mipaka ya falsafa ya upendo wa kibinadamu?
Upendo wa mungu kama hauna empathy kuliko upendo wa kibinadamu utakuwaje umepita upendo wa kibinadamu?
Binadamu asiye na upendo wote, ujuzi wote wala uwezo wote anajitabidi kuvumbua chanjo za magonjwa kama Polio na kusaidia binadsmu wenzake. Kwa nini mungu hajafikia level hiyo ya empathy ya kufanya kila alichkweza kuhakikisha mabaya hayawapati viumbe wake?
Nilipokwambia kwamba kusema sitaki imani, nataka kujua, na hakuna contradiction kati ya kutotaka imani na kukubali kuwa imani haiepukiki na kitu muhimu kwangu ni convergence from imani towards knowledge, methodically anx logically, ulielewa hapo au pamekupita kimo?
Nikupe mfano wa upendo wdnye contraicgion mara ngapi wakati kila nikikupa mfano unatumia "deus ex machina" ya "upendo wa mungu umepita falsafa ya upendo wa kibinadamu" sakati eewe huna akiki yoyote isiyo ya kubjnadamu kujua hilo?
Una akili gani isiyo ya kibinadamu kujua hilo?
Halafu mbona hueleweki? Mara unasema huelewi upendo ni mdudu gani, mara unasema upenxo wa mungu umepita falsafa ya upendo wa binadamu. Unajuaje hilo wakati hujui hata upendo ni mdudu gani kama ulivyosema? Unaji contradict.
Wenye upendo na uwezo hufanya kila wanaloweza ili kuhakikisha mabaya hayawapati wanaowapenda.
Kwanini mungu mwenye upendo wote na uwezo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?