Religion has actually convinced people that there's an invisible man living in the sky who watches everything you do, every minute of every day. And the invisible man has a special list of ten things he does not want you to do. And if you do any of these ten things, he has a special place, full of fire and smoke and burning and torture and anguish, where he will send you to live and suffer and burn and choke and scream and cry forever and ever 'til the end of time!
But He loves you. He loves you, and He needs money! He always needs money! He's all-powerful, all-perfect, all-knowing, and all-wise, somehow just can't handle money! Huyu ni mungu wa aina gani?
Mimi ninachopinga humu ni kuwepo kwa kitu/nguvu ama whatever kinacho-control Universal kikiwa mahala fulani ambcho eti wote tunatakiwa tukiabudu,kukiheshimu lakini pia kukitumikia.Wakati huo huo kitu hicho hakijawahi kuonekana zaidi ya masimulizi ya vitabu vya hadithi za maisha ya watu wa mashariki ya kati.
Haiwezekani hata siku koja mungu ambaye ni all-knowing ashindwe kuumba ulimwengu ambao usingekuwa na maovu na huku alikuwa na uwezo huo!,.Niajabu sana kuona mungu(kama yupo)eti anamtupia mzigo kiumbe wake(mwanadamu) et anatakiwa kuyafuata mema ambayo hata hivyo huyo mungu(kama yupo) anajua kabisa kabla kwamba itakuwa ngumu kwa huyu mwanadamu kuweza kuyafuata.
Lakininsio hivyo tu bali huyu mungu eti alishindwa kufikili namna nzur ya kuwasamehe watu wake madhambi zaidi ya kujishisha sijui na kuja eti kufa na kisha kufufuka ili watu wasamehewe dhambi.ni jambo la ajabu sana kuona mungu anashindwa kusamehe mpaka amtese mtoto wake sijui.Halafu hata alichofia hakionekani maana kama ni dhambi mnasema bado zipo sasa sijui ondoleo la dhambi lilikuwa lipi ama dhambi zipi.
Kiufupi mungu wenu haeleweki na inabidi mtafakafi upya,kwa maana ikiwa mungu anapata hasira na huzuni kisha mtu anaropoka humu eti mungu anajua yajayo ni aibu maana ili upate hasira na huzuni lazima upate habar mpya.