bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,440
Narudia kipande hiki kwanza:
....Kumbuka umesha ambiwa kwanini huu ulimwengu upo hivi na kuelezwa kusudio la Mungu, ila wewe unasema mungu hawezi kuumba ulimwengu huu kwa sababu ya sifa yake ya
upendo, uwezo wote na ujuzi.
Nikakuuliza je,mungu angeumba
ulimwengu ambao hauna tabu
yeyote ndiyo ingekuwa hajajipinga? Ukajibu ndiyo, nikakwambia je, vp akitokea mtu na kudai kuwa ulimwengu huo utapingana na sifa ya mungu "adh-dhaaru"?? Ukasema ndiyo maana unasema mungu hawezi kuwepo kwa sababu sifa zake zinajipinga.
tusiongelee kufikirika kwa sababu ndo hajaumba usio na mabaya tayar hayupo so ukitaka tuendelee kuanzia hapo kwanza mwambie aumbe ambao hauna mabaya alafu ndio tuingie hatua ya pili unayoisema hapa!!! au ukiri kwamba unaipunguza sifa ya upendo wote alafu tuanze kumjadili mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote bila upendo wote kama yupo au la???