The usual malarkey when your lot cannot answer questions logically.
Hujajibu swali.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani wakati alikuwa na uwezo wa kuuumba ulimwengu huo?
Ukiongelea mambo ya roho ya kweli unazusha maswali mengine ya roho ni nini na iko wapi na unajuaje kama ipo na si stories tu.
Kabla hujajibu hili la mungu.
The usual malarkey when your lot cannot answer questions logically.
Hujajibu swali.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani wakati alikuwa na uwezo wa kuuumba ulimwengu huo?
Ukiongelea mambo ya roho ya kweli unazusha maswali mengine ya roho ni nini na iko wapi na unajuaje kama ipo na si stories tu.
Kabla hujajibu hili la mungu.
Obviously upendo mkuu si mkuu hivyo.
Na mungu ni fix tu.
Ndio nakubali kua kuna ajali, mafuriko, matsunami n. K lakini je Hayo mazuri machache unayo yaona kayaumba nani au yameroka wapi?
Ndugu ni mabaya yepi unayoyaongelea? Nadhani mabaya mengi tunajitengenezea sie binadam wenyewe kama vita, ajali na baadhi ya magonjwa tunajitakia wenyewe.
Kivipi?
Huwa nashangazwa sana na mwanamke anayetilia mashaka uwepo wa Mungu, nafanya hivyo kwa kutazama pekee jiografia ya mwili wa mwanamke, utaona kwamba Muumbaji alitumia ufundi sana katika kuuumba. Mfano; Kunyonyesha; inakuwaje mwanamke anaweza kunywa maji , au bia halafu atoe maziwa??ni kwa namna gani mwanamke anaweza punguza damu kiasi fulani kila mwezi lakini isiwe katika hali ya kumfanya kupoteza maisha, au damu yote mwilini kwisha, mimba: kwanini mwanamke anakaa na kiumbe tumboni kwa miezi tisa, kwanini iwe tisa na si tatu atu mbili au moja na ikiwa pungufu au zaidi ya hapo huwa tatizo?? mwanamke ni symbol tosha ya uwepo wa Mungu, unasemaje bidada??
Upendo mkuu wa kimungu unaoweza kufuta magonjwa yote, ajali zote, vita vyote etc umeshindwa na upendo wa kawaida wa binadamu.
Binadamu wengi tu, hata wasio na uwezo sana wala upendo sana, wanawahudumia watoto wao vizuri tu kwa vile wanavyojiweza. Wanahakikisha watoto wanapata nyumba, mavazi, chakula, elimu, afya etc. Kuna kina baba na mama wengi tu wa aina hii ambao hawawezi kuacha mtoto anateseka kama wana uwezo wa kumsaidia.
Mbona huyu mungu mwenye uwezo wote, upendo wote, ujuzi wote anashindwa kwa upendo na hawa wanadamu? Mbona yeye anatuacha tuteseke wakati ana uwezo wa kumaliza mateso yote ya dunia hii?
Huyu mungu yupo kweli au ni hadithi tu?
biolojia nilipata F, siwezi kujibu maswali yako......but am sure yanajibika kisayansi lol..:lol::lol:...mie napenda kusikiliza gospel huwa zinanicalm down nerves,napendaga kuhisi matatizo yangu siku moja kuna ambae anaweza kuyatatua ambae ni God...ila nikisoma bible,uwepo wake na jinsi kristo alivyokufa msalabani....napataga na mushkeli wa kuiamini hii kitu....:noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea:
Plan ya Mungu sio kutatua matatizo yako ya hapa duniani kwasababu ulichagua wewe mwenyewe na ni haki yako kuyapata
Lengo la Mungu ni maisha ya milele aliyokuwa ameyapanga mwanzo ambayo wewe uliyakana na kuchagua haya uliyonayo sasa,kwasababu hiyo kama unayataka yale ambayo Mungu aliyapanga ondoka kwenye kiburi cha mwanzo cha kukaidi maagizo ya Mungu na uyafuate na utakuwa salama milele!
sawa mkuu hata wale wanaosuffer ocean road na cancer walichagua hayo matatizo......kwa hio ukikaidi maagizo ya Mungu unapata matatizo???....hayo matatizo ni hapa duniani?????.....what about the jugment day??? kutakuwa na nini siku hio km tayari nilishadhibiwa hapa duniani vya kutosha,unanichanginyi tu mnh:A S-frusty2:
Hapana,upendo wa binadamu haujashinda upendo wa Mungu
Kwanza fahamu kwamba kumpa kila mmoja kile ambacho anataka ni upendo
Mungu aliumba ulimwengu ambao kila kiumbe kitapata kinachotaka,kwa maana hiyo huo ni upendo,Mungu alipomuumba binadamu na kumuweka duniani alimuambia kwanza ubaya wa kutotii na wema wa kutii,lakini hiyo haikuondoa ukweli kwamba angechagua vinginevyo japokuwa vina madhara kwake angevipata tu kwasababu hivyo ndivyo alivyovitaka basi ni haki yake kupewa kwasababu huo ndio msingi wa upendo
Leo binadamu tunatafuta dawa baada ya kujua ukweli wa maonyo ya Mungu hapo mwanzo ambapo tayari tulikuwa tumeyakaidi,lakini pamoja na kukaidi bado huyu Mungu aliendelea kutafuta namna ya kuturudisha kwenye maisha yale ambayo yeye aliyapanga tangu mwanzo,lakini kwa hiyari bado [upendo mkuu],kwakuwa alishasema atamuadhibu kila mtenda dhambi kwakuwa hiyo ni haki yake kwasababu alikosea kwa kudhamiria na alionywa,Mungu ametengeneza mpango wa kutokumuadhiobu binadamu huyu huyu kwa yeye kuamua kuadhibiwa kwa niaba ya huyu huyu binadamu ambae alionywa kwanza kabla ya kukosea lakini akakaidi na kukosea tena makusudi[bado anaendelea kuonesha upendo mkuu sana]
Kwa maana hiyo,Mungu angeumba ulimwengu ambao kuna mambo hayawezekaniki isingereflect uwezo wake,lakini pia usingekuwa upendo kwasababu kuna watu ambao wasingepata wanachokihitaji na isingekuwa ni upendo kwasababu angewalazimisha wengine kufuata mambo ambayo hawayataki,lakini pamoja na hili usisahau kuwa unapochagua jambo ambalo ni baya madhara yatakupata na utaadhibiwa kwasababu adhabu ni haki yako,hivyo adhabu kwa hawa wanaochagua haya bado ni haki yao kwasababu wamekosea
Mungu ni upendo mkuu sana!
Umesema kumpa kila mmoja kile anachotaka ni upendo.
Mimi nataka uwezo wa kurudi nyuma na kuruka mbele masafa ya mbali katika muda.
Sijapewa uwezo huo.
Kwa kuwa kumpa kila mmoja kile anachotaka ni upendo, kwa mujibu wako mwenyewe, na mimi hicho ndicho ninachotaka, na sijapewa, basi mungu hana upendo.
Inawezekana we muombe tu na utaona .......!!
Aliekuwa na mamlaka ya kuzuia uwezo wa uwepo wa matatizo yote hapa duniani alikuwa ni Adam na alijua kabisa ana uwezo huo,japokuwa Mungu alijua kwamba matatizo yatamuumiza binadamu na atateseka hakumlazimisha binadamu kutokuteseka bali alimuachia aamue mwenyewe kwasababu anampenda sana
Adam alichakuwa kuwepo haya yote na kwasababu sisi ni uzao wake ni lazima kwa namna moja au nyingine tumehusika hivyo yote haya ni haki yetu kwasababu ndicho tulichotaka,hivyo kupata mateso yote haya sio malipo ya kumkosea Mungu bali ni matokeo ya kuchagua aina hii ya maisha lakini kuna kosa na kukaidi maagizo ya Mungu ambayo Mungu aliagiza kuwa atatuadhibu kwayo na hadi leo tupo ambao tunakaidi haya,hivyo hapa kuna mambo mawili
1; Adhabu ya kukaidi maagizo ya Mungu
2; Mateso ya kuchagua aina hii ya dunia mateso
Kimoja hapo juu tunakipata hapa hapa duniani lakini kingine tutakipata wakati wa hukumu ya mwisho
Tupo pamoja Jestina?
Kwa nini ahitaji kuombwa wakati yeye anajua yote?
Sikusema kwamba unaanza duniani kisha unamalizia wakati wa hukumu ya siku ya mwisho Jestinatupo pamoja partly lol......nikikuuliza wapi kny bible panadhihirisha/panapoonyesha nitapata matatizo hapa duniani na judgment day ndio nitamalizia adhabu yangu ...najua hutanionyesha.......lol
Yes,ulizaliwa na kosa tayari na ndio maana unakutana na magonjwa,ajali na mengine mengi sana kwasababu kupitia Adam na sisi tunakuwa washiriki wa yote hayosecond,kwa nini uliniambia nilikaidi ndio maana napata matatizo halafu baadae unanirefer kwa Adam ambae umeonyesha kwa sababu ya makosa yake ndio maana ninapatwa na matatizo....huoni km nimezaliwa tayari nina adhabu lol....
Hahahahaaa .....mwisho kile kifungu pale juu kitoe bana Eiyer lol...si kweli nimekaidi ndio maana ninapata matatizo unless unichimbulie zaidi nikuelewe.....:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
Huwa nashangazwa sana na mwanamke anayetilia mashaka uwepo wa Mungu, nafanya hivyo kwa kutazama pekee jiografia ya mwili wa mwanamke, utaona kwamba Muumbaji alitumia ufundi sana katika kuuumba. Mfano; Kunyonyesha; inakuwaje mwanamke anaweza kunywa maji , au bia halafu atoe maziwa??ni kwa namna gani mwanamke anaweza punguza damu kiasi fulani kila mwezi lakini isiwe katika hali ya kumfanya kupoteza maisha, au damu yote mwilini kwisha, mimba: kwanini mwanamke anakaa na kiumbe tumboni kwa miezi tisa, kwanini iwe tisa na si tatu atu mbili au moja na ikiwa pungufu au zaidi ya hapo huwa tatizo?? mwanamke ni symbol tosha ya uwepo wa Mungu, unasemaje bidada??
Ni kwasababu ana upendo kwa maana ya kutotaka kukulazimisha kukupa kile ambacho hujakitaka,hivyo ndivyo Mungu alivyo,kama unahitaji chochote kutoka kwa Mungu we mwambie tu na atakupa
Mungu hawezi kufanya jambo ambalo hajaombwa kwasababu halazimishi bali watu wanamwendea bila shuruti!