COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Kinachokushangaza na kukustaajabusha ni nini?

Hapa kama kuna mtu anapost si kwa kutaka kueleweka basi ni wewe.

Maana sehemu ya kusema "nimeshangazwa na majibu yako kwa kuwa hujajibu hiki na huki, na nilitegemea hivi na vile..." umeacha sintofahamu kwa kunitaka nisome tena kitu ambacho hata baada ya kusoma mara mia siwezi kuingia kichwani mwako na kuona inachofikiri wewe.

Hapo sasa ambaye hataki kueleweka kati yako wewe usiyetaka kueleza unachofikiri na mimi ambaye siwezi kuingia kichwani mwako ni nani?

Bado hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Hujaeleza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

"Unajuaje kwamba wewe fikra zako za kwamba ama ulimwengu umeumbwa na mungu ama kutokea wenyewe si fikra za kufuata kitu kama line ya reli
inayoweza kwenda mbele na nyuma tu bila kujua kwamba kuna juu na chini?"

Maelezo yako hayo ndiyo maana mie nikatika unipe japo mfano tu(si kwamba unielezo ulimwengu umepatikana vp)
 
Hujajibu swali, nimekuuliza swali hujalijibu.

Jibu lake likikuwa "najua kwa sababu hii na hii" au "Sijui kwa kweli hapo nime assume tu na inawezekana assumption yangu ina makosa kwa sababu sikufikiria kwamba kuna vingine ambavyo sijavijua vizuri".

Majibu yote mawili yanaweza kukubalika.

Hujajibu swali.

Unataka kulikwepa.

Jibu swali.
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?

Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.

Ajali,mikosi na adha zote zinatokana na DHAMBI ya mwanzoni kabisa ya uasi,na dhambi inatoka kwa SHETANI. just simple like that mkuu.
 
Kiranga hebu tizama aina ya swali lako lilivyo halafu na jinsi unavyotaka ujibiwe ni mambo mawili tofauti.

Mie niliamua unipe mfano kwa nyie mnaofikiri nje ya line ya reli.
 
Wewe unaonekana hata hufuatilii mjadala, umerukia tu.

Nimeshaeleza hapo awali kwamba swali langu linauliza kuhusu pale mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla ya chochote kuumbwa, alikuwa na uhuru na ujuzi wa kuumba ulimwengu wowote alioutaka yeye kwa mujibu wa mapokeo yenu.

Hapo ni kabla ya kuwepo kwa dhambi, binadamu, shetani etc kama unaamini mungu alikuwepo kabla ya vyote.

Kwa nini mungu ambaye ana uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Ukiongelea habari ya dhambi ya uasi unakuwa hujaelewa swali.

Swali limeuliza, kwa nini mungu ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote alioutaka yeye kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana (mabaya hayo ni pamoja na dhambi ya uasi kuwezekana) wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya (kama vile dhambi na uasi) hayawezekani?

Wewe unanijibu kwamba mabaya yanatokana na dhambi na uasi.

Ukijibu hivi unanionyesha hujui kusoma, hujui kuchambua, hujui kuelewa, unajua kukariri majibu ya dini yako na kuyatapika hivyo hivyo hata kama swali uliloulizwa ni tofauti.

Kama mtu anauliza "kwa nini binadamu anateseka" unaweza kujibu "kwa sababu ya dhambu ya uasi" (hata hili jibu linapwaya, kwa sababh haitymkiniki mungu wa upendo na haki amtese mtoto mdogo aliyezaliwa leo kwa maginjwa kwa sababu ya dhambu ya uasi iliyofanywa na Adam au wazazi waje).

Swali si hilo. Swali si kwa nini binadamu anateseka au anapatwa na mabaya.

Swali ni, mungu alipokuwa anapanga kuumba ulimwengu, kabla ya binadamu kuwepo, kabla ya dhambi (alikuwepo mungu tu, dhambi ingetoka wapi?), ilikuwaje mungu mwebye uwezo wote ambaye aliweza kuumba ulimwengu amvao mabaya na dhambi haviwezekani hakuumba ulimwengu huo na akaumba huu ambao mabaya na dhambi vinawezekana?
 
Unarudia kosa lile lile.

Inawezekana tabia hii iko deep kabisabkatika fikra zako.

Unataka mimi niingie kichwani mwako na kujua unachofikiri bila wewe kukiandika hapa.

Swali lilivyoulizwa na ninavyotaka nijibiwe ni tofauti kwa nini?

Hujathibitisha mungu yupo.

Wala hujajibu imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
 
Wewe umesema mie kufikiri kwangu kuwa mungu ndiyo kaumba ulimwengu au ulimwengu kutokea wenye,ni kwamba inaweza ikawa ni fikira za kufuata kitu kama line ya reli.

Kwa maelezo yako hayo ni wazi kuwa wewe una mtazamo tofauti na hivyo navyofikiri mimi ambavyo umesema inaweza ikawa ni kama line ya reli. Ndiyo maana mie bila kusita nikakwambia unipe mfano kuhusu kuwapo kwa huu ulimwengu, kwa mtazamo tofauti na nazofikiri mie. Ila nashanga unaposhindwa kunielewa ni wapi?
 
Kwanza kabisa umekubali kwamba fikra zako zimejikita katika duality kwenye jambo ambalo ni pana zaidi ya a dual, one track minded approach?
 
Wewe unaonekana hata hufuatilii mjadala, umerukia tu.

Nimeshaeleza hapo awali kwamba swali langu linauliza kuhusu pale mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla ya chochote kuumbwa, alikuwa na uhuru na ujuzi wa kuumba ulimwengu wowote alioutaka yeye kwa mujibu wa mapokeo yenu.

Hapo ni kabla ya kuwepo kwa dhambi, binadamu, shetani etc kama unaamini mungu alikuwepo kabla ya vyote.

Kwa nini mungu ambaye ana uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Ukiongelea habari ya dhambi ya uasi unakuwa hujaelewa swali.

Swali limeuliza, kwa nini mungu ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote alioutaka yeye kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana (mabaya hayo ni pamoja na dhambi ya uasi kuwezekana) wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya (kama vile dhambi na uasi) hayawezekani?

Wewe unanijibu kwamba mabaya yanatokana na dhambi na uasi.

Ukijibu hivi unanionyesha hujui kusoma, hujui kuchambua, hujui kuelewa, unajua kukariri majibu ya dini yako na kuyatapika hivyo hivyo hata kama swali uliloulizwa ni tofauti.

Kama mtu anauliza "kwa nini binadamu anateseka" unaweza kujibu "kwa sababu ya dhambu ya uasi" (hata hili jibu linapwaya, kwa sababh haitymkiniki mungu wa upendo na haki amtese mtoto mdogo aliyezaliwa leo kwa maginjwa kwa sababu ya dhambu ya uasi iliyofanywa na Adam au wazazi waje).

Swali si hilo. Swali si kwa nini binadamu anateseka au anapatwa na mabaya.

Swali ni, mungu alipokuwa anapanga kuumba ulimwengu, kabla ya binadamu kuwepo, kabla ya dhambi (alikuwepo mungu tu, dhambi ingetoka wapi?), ilikuwaje mungu mwebye uwezo wote ambaye aliweza kuumba ulimwengu amvao mabaya na dhambi haviwezekani hakuumba ulimwengu huo na akaumba huu ambao mabaya na dhambi vinawezekana?

Kwanza naona kama una jazba na sijui yanini boss,Then hiyo paragraph ya kwanza tu imetosha kunifanya nikuelewe mkuu,hakukuwa na haja ya kurudia over n over again the same qn to the next paragraphs:

Okay mkuu,nijuavyo ni kuwa Mungu aliamua kuumba dunia na kuruhusu hayo yawepo ili Aweze kujidhihirisha,Hii ni kwasababu tokea mwanzoni kabisa Mungu ana tabia ya kumpa mtu uhuru wa kuchagua aidha jambo jema au baya na kisha anahukumu kulingana na utakachochagua.

KWAHIYO,sababu ya kuumba dunia na kuruhusu hayo ni ili binadamu aweze kuyashinda hayo mabaya kwa kutenda mema ili aweze kuurithi ufalme wake wakati wa hukumu ya mwisho.

Ndivyo ninavyoamini.
 
Kwanza kabisa sina jazba, nina passion. Know the difference.

Pili, ukija kwa kutoelewa kitu very basic, ambacho kishaelezewa, mtu anayerudiarudia kukuelewesha ana justification ya kufanya hivyo. Unaweza kuwa na akili ya guluguja inayohitaji mtu kurudia kitu mara nane nane ili uelewe, atajuaje?

Tatu, mungu alishindwa kujidhihirisha vingine bila kuruhusu mabaya?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayapo lakini una jua liliandikwa "mungu anajidhihirisha kwa viumbe vyake wote" ?

Na kwa nini mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote ahitaji kijidhihirisha? Yeye ni mshindani wa urembo ambaye bila kujidhihirisha anajisikia kakosa kitu fulani? Kwa nini mungu ahitaji kujidhihirisha? Asipojidhihirisha atapungukiwa nini?

Nne, kuhusu uhuru wa kuchagua mema na mabaya. Hili nilishaliandikia hapa, lakini kwa vile hufuatilii mjadala nitaloiandika tena.

Kama mungu kweli anapenda kuwapa viumbe wake uhuru wa kuamua mbona hajatupa uhuru wa kurudi nyuma katika muda?

Kama mungu keeli anaoenda kurupa uhuru wa juamua mbona hajatupa uhuru wa kuamua tuzaliwe au tusizaliwe kabla ya kutuumba?

Na zaidi ya hapo, kwa nini uhuru wa kuamua uwe kati ya mema na mabaya na si mema na mema zaidi bila kuwepo mabaya?
 
Nineshakwambia mini siamini kuhusu Adam. Unaposema sitaki kusema chochote maana yako nini? Unajua kusoma?

Kwa hiyo hilo suala la historia, mungu hakuweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

MOSI:Kwa imani yangu ya dini ya kiislam ni kwamba Mungu alianza kuumba Nuru kisha Ubao kisha akaumba Kalamu baada ya hapo akaamuru kalamu iandike mambo yote yatakayojiri.
Kiranga unaposikia kwamba Mungu aliyapanga haya mambo kwamfano:
dunia ya leo binaadamu ameitengeneza computer kisha akaiwekea program.Lakini ukivitazama vile visetup na vidrive vyake utaona vitu vya ajabuajabu tu.Lakini kwa maandalizi hayo ya program unacomand na kuoparate.
Sasa nikirudi kwenye point yako ya ULIMWENGU WA MABAYA ni kwamba haya mambo yaliandaliwa as OUTOMATIC SETUP. Mema yatakuja baada ya kufanya mema na mabaya yatakuja kwa mabaya au kwa kutahiniwa.

PILI:ilivyopangwa ni kwamba hapa duniani ni kama tumepewa nafasi ya pili kama isingelikuwa Rehema ya Mungu na Fadhila zake asingekuwepo tofyo wala Kiranga.
 
Last edited by a moderator:

Hujajibu swali dogo tu.

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?

Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.

bila mateso kusingekua na huruma
 
Kwanza unajuaje kwamba mimi naamini kwamba mimi ji mwana Adam?

Sali langu linaanziaje kuuliza katikati ya mada wakati linauliza principles alizotumia mungu kuuumba ulimwengu kabla ulimwengu haujaumbwa?

Nimekuuliza, mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kabla ya chochote kiwapo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote ambao aliutaka.

Aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Hakuumba ulimwengu huo.

Akaamua kuumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana.

Huwezi kusema aliamua kuumba hivyo kwa sababu ya wabaya, kwa sababu wabaya hawakuwapo. Kumbuka swali linahusu kabla ulimwengu haujaumbwa.

Hujajibu swali.

Kabla ulimwengu haujaumbwa, kwa mapokeo yenu, mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu wowote alioutaka.

Aliweza kuumba ulimwengu ambao manaya hayawezekani kama vile tusivyoweza jurudi nyuma katika muda.

Hakuumba ukimwengu huo, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana.

Kwa nini?

Kila la kheri .....!!
 
Kwanza kabisa umekubali kwamba fikra zako zimejikita katika duality kwenye jambo ambalo ni pana zaidi ya a dual, one track minded approach?

We unaporojo tupu.

Cha kukushauri tu ni kwamba kuwa makini na unachokiandika.

Unapenda ubishi lakini hauwezi.
 
Back
Top Bottom