Kwenye red, Uko ulipoenda inaonesha unashindwa kunielewa, ebu iko ulicho quote kirudie tena.
Mkuu your logic is delusive!!
Ingekua vema kama maswali unayowahoji watu ama kujihoji maswali ungekua una majibu yake mbadala uku ukiweka proof zako kuonesha Mungu hayupo, sasa proof huna umebaki kujiridhisha kua hayupo sabab huna majibu, na upewi majibu ya kukuridhisha kutoka kwa unaowauliza. Its simple mkuu Ukijiuliza swali na kukosa jibu si prove ya kua Mungu hayupo. (nakukumbusha kua uko juu nilikuambia humu hakuna mwenye majibu ya maswali yako isipokua uyo Mungu mwenyewe)
Kati yangu mimi niliyekuambia kwamba hata nikipenda kuwa na dollar trillioni trillion kwenye akaunti na wewe unayenijibu kwamba hata kama mimi sina hizo hela benki kuna mwingine anazo (wakati hakuna mtu mwenye hela hizo) ni nani ambaye siyo tu hajamuelewa mwenzake, bali pia hajui hata kufikiri?
Unataka proof ya kuonesha mungu hayupo? Ukiuliza swali hilo tu yeyote anayefuatilia mjadala huu atajua umedandia mjadala kwa mbele na hujaufuatilia, swali hili limeulizwa zaidi ya mara moja hapa, na lishajibiwa.
Proof is something that deals in the domain of things that are, not things that are not. Therefore, one cannot prove that god does not exist just as much as one cannot prove that ones house does not have a spliff of Marijuana.
This is why when people are accused of having drugs in their houses, the accuser who poses that this house has drugs (law enforcement) has the burden of proof, they come with a search warrant and invoke the required process to find the drugs.
They don't tell the homeowner who is suspect "prove that your house does not have drugs". Where will he start to prove that his house has no drugs?
Hujaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo ushakimbilia kusema mungu ana majibu yote?
Isn't that circuitous?
Kimsingi hapo unachofanya ni sawa na mimi ninakuuliza "Thibitisha kwamba mungu yupo", unanijibu "Siwezi kuthibitisha, lakini mungu anaweza na ana majibu yote".
Unajuaje kwamba mungu ana majibu yote wakati hata huwezi kuthibitisha kwamba yupo?