COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Nakubari kabisa.

Pia soma Qur'an 2:30.

Kwa hiyo na mabaya yanayotokea duniani yameachiwa kwa makusudi na mungu, ingawa alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya.

Unakubali hilo pia?
 
Mkuu hivi unachokiandika unakielewa ama ni macho yangu tu??Kwenye red humo, Je Unaanzaje kukipenda kitu ambacho unaamini HAKI EXIST. Tatizo liko hapo tu, binafsi Nadhani ukiweza kutatua ilo tatizo utapata majibu mengi ya maswali yako, ila watu wa humu hawataweza kukupa majibu yatakayokushawishi maana labda hata wao hawana majibu ya maswali yako ila anayo uyo uliyesema UNAMPENDA wakati huamini kua yupo

Asante, Mkuu.

Umesoma in context au umefumba macho na kuruka?

The context of the post is such that I would very much like for there to be an all knowing, all capable and all loving godhead.

Aftwr all, ukiwa kwenye meli ambayo hujui inaendeshwaje, utapenda awepo kapteni anayejua kuiendesha na anayekuoenda na hivyo kutaka kukufikisha salama.

That is only natural.

Lakini hilo halimaanishi kwamba ukiwa katika meli, ukafanya uchunguzi, hata kama unaoenda kapteni awepo, ukagundua kapteni hayupo ma hamna anayejua meli inaendaje, hilo litafanya kapteni awepo.

Kupenda kapteni awepo hakufanyi kapteni awepo kama hayupo.

Napemda idea ya kuwapo mungu ingekuwa kweli. Kwa kuwa ukweli huo i gemaanisha mungu ndiye ana wajibu wote wa ulimwengu aliouumba mwenyewe bula kushurutishwa.

Lakini kupenda mungu awepo hakuna maana mungu yupo.

On the same sibject, ningependa pia niwe na a couple trillion trillion dollars kwenye a secret bank account.

Lakini kipenda hilo hakufanyi akaunti hiyo iwepo.

Ushaelewa?

Au unahitaji twisheni?
 
Kwa hiyo na mabaya yanayotokea duniani yameachiwa kwa makusudi na mungu, ingawa alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya.

Unakubali hilo pia?

Bado umerudia yaleyale tu. Narudia tena kusema kwamba mabaya hufanywa na wanadamu na wala hakuna mahusiano na ulimwengu hapo. Hoja yako inahusu uwovu ambao unafanywa na wanadamu ktk ulimwengu na si kwamba ulimwengu ndiyo unamaovu.

Hebu pitia andiko hili Qur'an 2:30. Utaelewa nachokizungumza mkuu.
 
Ushakubali kwamba hakuna linalotokea duniani bila kuruhusiwa na mungu.

Kama mabaya yanatokea duniani, binadamu anatenda mabaya, ni kwa sababu tu mungu aliruhusu uwezekano wa binadamu kutenda mabaya wakati anaumba ulimwengu, kabka ya binadamu kuwepo.

Kama angetaka kuondoa uwezekano wa binadamu kufanya mabaya, angeweza kuondoa uwezo huo kama alivyoondoa uwezo wa binadamu kuweza kurudi nyuma katika muda.

Unakubali au unakataa hilo?
 
Ushakubali kwamba bakuna linalotokea duniani bila kuruhusiwa na mungu.

Kama mabaya yanatokea duniani, binadamu anatenda mabaya, ni kwa sababu tu mungu aliruhusu uwezekano wa binadamu kutenda mabaya wakati anaumba ulimwengu, kabka ya binadamu kuwepo.

Kama angetaka kuondoa uwezekano wa binadamu kufanya mabaya, angeweza kuondoa uwezo huo kama alivyoondoa uwezo wa binadamu kuweza kurudi nyuma katika muda.

Unakubali au unakataa hilo?

Eh! Leo kazi. Ndiyo nakubali.

Qur'an 2:30.
 
Umesoma in context au umefumba macho na kuruka?

The context of the post is such that I would very much like for there to be an all knowing, all capable and all loving godhead.

Aftwr all, ukiwa kwenye meli ambayo hujui inaendeshwaje, utapenda awepo kapteni anayejua kuiendesha na anayekuoenda na hivyo kutaka kukufikisha salama.

That is only natural.

Lakini hilo halimaanishi kwamba ukiwa katika meli, ukafanya uchunguzi, hata kama unaoenda kapteni awepo, ukagundua kapteni hayupo ma hamna anayejua meli inaendaje, hilo litafanya kapteni awepo.

Kupenda kapteni awepo hakufanyi kapteni awepo kama hayupo.

Napemda idea ya kuwapo mungu ingekuwa kweli. Kwa kuwa ukweli huo i gemaanisha mungu ndiye ana wajibu wote wa ulimwengu aliouumba mwenyewe bula kushurutishwa.

Lakini kupenda mungu awepo hakuna maana mungu yupo.

On the same sibject, ningependa pia niwe na a couple trillion trillion dollars kwenye a secret bank account.

Lakini kipenda hilo hakufanyi akaunti hiyo iwepo.

Ushaelewa?

Au inahitaji twisheni?

Mkuu
Unaleta habari za kupenda uwepo/existance ya dola kwenye akaunti (Ukiona ivyo ujue tayari umeamini kua dola ipo ina exist sema tu si kwenye iyo akaunti yako). Mungu naye Yupo ndio maana umesema unampenda tatizo linakuja hayupo katika maisha yako kama vile hizo dolali zilivyokua hazipo kwenye akaunti yako though unapenda zingekuwepo, Mtafute tu
All in all naona kama hapa tutakesha, ikiwa hata maneno yako uliyoyatamka unayakataa.
Mjadala mwema, Mkuu!
 
Vitabu vya dini vyaweza kukuchanganya, ila hata ukiondoa hizi dini still Mungu yupo. Biologia itashindwa kukujibu wewe umetokea wap, mbwa, paka wametokea wapi kwanini wamefanana nawewe viungo na namna waishivyo nk. Aisee yupo aliyeviweka hivi viumbe vyote akaviumba vyenye ufanano wa aina yake.

Kwa hiyo ili kitu kinachoonekana kuwa kimepangika na kina intelligence kiwepo ni lazima kuwa kimewekwa hivyo maalum?
 
Eh! Leo kazi. Ndiyo nakubali.

Qur'an 2:30.

Ukishakubali hilo imeshakubali kwamba mabaya yameruhusiwa kuwepo na mungu, kabla binadamu hajakuwepo.

Kwa maana yasi geruhusiwa na mungu, binadamu hata asingeweza kuyafanya.

Sasa swali langu mimi linahusu hapo ambapo mungu alikuwa anaumba ukimwengu, kabla ya binadamu kuwepo.

Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Mkuu
Unaleta habari za kupenda uwepo/existance ya dola kwenye akaunti (Ukiona ivyo ujue tayari umeamini kua dola ipo ina exist sema tu si kwenye iyo akaunti yako). Mungu naye Yupo ndio maana umesema unampenda tatizo linakuja hayupo katika maisha yako kama vile hizo dolali zilivyokua hazipo kwenye akaunti yako though unapenda zingekuwepo, Mtafute tu
All in all naona kama hapa tutakesha, ikiwa hata maneno yako uliyoyatamka unayakataa.
Mjadala mwema, Mkuu!

Kama kila kinachofikirika kipo (kama dola ikiweza kufikirika ipo, hata kama si kwenye akaunti yangu) basi unajileta katika wakati mgumu wa kuwa na ulimwengu ambao una na hauna mungu kwa wakati huo huo.

Kwa maana inafikirika kwamba mungu hayupo, ndiyo maana mimi napinga kuwapo kwa mungu muda wote huu.

Na pia vile vile inafikirika kwamba mungu yupo, ndiyo maana kuna watu wananipi ga mimi.

Your logic is fallacious and circuitous.

It is neither here, nor there.

Na sijawahi kusikia mtu mwenye dola trillioni trillioni kwenye akanti yake.

Wametangaza matajiri wa dunia, wakio gozwa na Bill Gates ambaye ana dola bilioni sabini na kitu.

Jaribu tena.
 
Kama kila kinachofikirika kipo (kama dola ikiweza kufikirika ipo, hata kama si kwenye akaunti yangu) basi inajileta katika wakati mgumu wa kuwa na ulimwengu ambao ina na hauna mungu kwa wakati huo huo.

Kwa maana inafikirika kwamba mungu hayupo, ndiyo maana mimi napinga kuwapo kwa mungu muda wote huu.

Na pia vile vile inafikirika kwamba mungu yupo, ndiyo maana kuna watu wananipi ga mimi.

Your logic is fallacious and circuitous.

It is neither here, nor there.

Na sijawahi kusikia mtu mwenye dola trillioni trillioni kwenye akanti yake.

Wametangaza matajiri wa dunia, wakio gozwa na Bill Gates ambaye ana dola bilioni sabini na kitu.

Jaribu tena.

Kwenye red, Uko ulipoenda inaonesha unashindwa kunielewa, ebu iko ulicho quote kirudie tena.
Mkuu your logic is delusive!!
Ingekua vema kama maswali unayowahoji watu ama kujihoji maswali ungekua una majibu yake mbadala uku ukiweka proof zako kuonesha Mungu hayupo, sasa proof huna umebaki kujiridhisha kua hayupo sabab huna majibu, na upewi majibu ya kukuridhisha kutoka kwa unaowauliza. Its simple mkuu Ukijiuliza swali na kukosa jibu si prove ya kua Mungu hayupo. (nakukumbusha kua uko juu nilikuambia humu hakuna mwenye majibu ya maswali yako isipokua uyo Mungu mwenyewe)
 
Ukishakubali hilo imeshakubali kwamba mabaya yameruhusiwa kuwepo na mungu, kabla binadamu hajakuwepo.

Kwa maana yasi geruhusiwa na mungu, binadamu hata asingeweza kuyafanya.

Sasa swali langu mimi linahusu hapo ambapo mungu alikuwa anaumba ukimwengu, kabla ya binadamu kuwepo.

Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Ulimwengu ambao mabaya yanawezekana ndiyo nini mkuu?

Kwani watu wanafanya mabaya kwa sababu ya ulimwengu au ni nafsi zao tu?
Tatizo sio ulimwengu ila tatizo ni wanadamu wenyewe.

Halafu pia sioni cha maana ktk hiyo hoja yako,kwa sababu kama mungu ndiye aliwapa wanadamu mtihani kwa watakaofanya maovu na mema,sasa hapo ulitaka ulimwengu ufanyaje?

Q 2:30.
 
Kwenye red, Uko ulipoenda inaonesha unashindwa kunielewa, ebu iko ulicho quote kirudie tena.
Mkuu your logic is delusive!!
Ingekua vema kama maswali unayowahoji watu ama kujihoji maswali ungekua una majibu yake mbadala uku ukiweka proof zako kuonesha Mungu hayupo, sasa proof huna umebaki kujiridhisha kua hayupo sabab huna majibu, na upewi majibu ya kukuridhisha kutoka kwa unaowauliza. Its simple mkuu Ukijiuliza swali na kukosa jibu si prove ya kua Mungu hayupo. (nakukumbusha kua uko juu nilikuambia humu hakuna mwenye majibu ya maswali yako isipokua uyo Mungu mwenyewe)

Kati yangu mimi niliyekuambia kwamba hata nikipenda kuwa na dollar trillioni trillion kwenye akaunti na wewe unayenijibu kwamba hata kama mimi sina hizo hela benki kuna mwingine anazo (wakati hakuna mtu mwenye hela hizo) ni nani ambaye siyo tu hajamuelewa mwenzake, bali pia hajui hata kufikiri?

Unataka proof ya kuonesha mungu hayupo? Ukiuliza swali hilo tu yeyote anayefuatilia mjadala huu atajua umedandia mjadala kwa mbele na hujaufuatilia, swali hili limeulizwa zaidi ya mara moja hapa, na lishajibiwa.

Proof is something that deals in the domain of things that are, not things that are not. Therefore, one cannot prove that god does not exist just as much as one cannot prove that ones house does not have a spliff of Marijuana.

This is why when people are accused of having drugs in their houses, the accuser who poses that this house has drugs (law enforcement) has the burden of proof, they come with a search warrant and invoke the required process to find the drugs.

They don't tell the homeowner who is suspect "prove that your house does not have drugs". Where will he start to prove that his house has no drugs?

Hujaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo ushakimbilia kusema mungu ana majibu yote?

Isn't that circuitous?

Kimsingi hapo unachofanya ni sawa na mimi ninakuuliza "Thibitisha kwamba mungu yupo", unanijibu "Siwezi kuthibitisha, lakini mungu anaweza na ana majibu yote".

Unajuaje kwamba mungu ana majibu yote wakati hata huwezi kuthibitisha kwamba yupo?
 
Ulimwengu ambao mabaya yanawezekana ndiyo nini mkuu?

Kwani watu wanafanya mabaya kwa sababu ya ulimwengu au ni nafsi zao tu?
Tatizo sio ulimwengu ila tatizo ni wanadamu wenyewe.

Halafu pia sioni cha maana ktk hiyo hoja yako,kwa sababu kama mungu ndiye aliwapa wanadamu mtihani kwa watakaofanya maovu na mema,sasa hapo ulitaka ulimwengu ufanyaje?

Q 2:30.

Ukishakubali kwamba hakuna kinachotokea duniani bila ya kuruhusiwa na mungu, na ukishakubali kwamba mungu alivyokuwa anaumba ulimwengu, kabla hata ya binadamu kuwepo, alikuwa na uhuru wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, lakini akaamua kuumba ulimwengu huu, baadaye binadamu akafanya mabaya (kwa sababu mungu aliruhusu mabaya kuwezekana), utakuwa umekubali kwamba mabaya yanayofanywa na binadamu yasingewezekana kama yasingeachiwa kuwezekana na mungu.

Kama vile binadamu ambavyo hawezi kurudi nyuma katika muda akarudi jana na juzi, mungu angeamua - kwa mujibu wa mapokeo yenu- angeweza kufanya ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Lakini hakuamua hivyo.

Aliamua kuumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana.

Kwa hiyo hata kabla ya binadamu kuumbwa, mungu alisharuhusu mabaya kuwezekana. Na asingeruhusu mabaya kuwepo, hata binadamu asingeweza kufanya mabaya.

Unakubali au unakataa hayo?
 
"Aliamua kuumba ulimwengu huu
ambao mabaya yanawezekana."

Hapo ndiyo tunaposhindwa kuelewana. Ulimwengu hauwezi kuruhusu wala kuzuia maovu.

Kiranga huo ujanja wa maneno unaotaka kuuleta tutakesha hapa.

Q 2:30
 
Twende polepole.

Kwa mujibu wa uelewa wako:

Mungu aliuumba ulimwengu au hakuuumba?
 
Twende polepole.

Kwa mujibu wa uelewa wako:

Mungu aliuumba ulimwengu au hakuuumba?

Naelewa unavyoelewa na hadi unavyotaka unieleweshe na ndiyo maana nikakwambia tutakesha hapa. Tusipoteze muda eleza hasa unachotaka kukieleza.
 
Katika suala hili, ni kwamba kuna watu hawajui chochote na ujifanya wajuaji. Hii inanikumbusha wakati nasoma ,,nilipokuwa darasa la kwanza nilijiona mi ndo msomi kuzidi wenzake, halikadhalika kila ninapokuwa level nilijiona kuwa nime elimika sana...ila ukweli sivyo. Katika suala la Mungu ni kwamba binadamu hawezi kulichunguza na kupata majibu anayotaka yeye. Kwa sababu binadamu kuna point ikiwa hawezi fanya jambo fulani....mfano kuna kiwango maalum binadamu anaweza kusikia sauti au mlio wa kitu, hiko kiasi kikizidi au kupungua hawezi sikia huo mlio ( audible range). Na pia kuna visible range ya binadamu, ikiwa kitu kitakuwa nje ya hiyo range hawezi kuona colour yoyote. Pia hata ktk uwezo wetu wa kukimbia pia upo limited, huwezi fananisha kukimbia kwa cheetah na binadamu. Nasuala la kufikiri pia, kuna range yetu ya kufikiri.....ukifika hapo huwezi kuendelea kufikiria tena, ila kifuatacho kitakuwa ni kufur au kuamua kuwaza vitu vingine. Mungu awabariki..
 
Blah blah miiingi
Huyo Mungu mbona najificha ficha hivi na haelewiki?
 
Naelewa unavyoelewa na hadi unavyotaka unieleweshe na ndiyo maana nikakwambia tutakesha hapa. Tusipoteze muda eleza hasa unachotaka kukieleza.

Hujajibu swali. Kwa nini hujibu maswali wakati mimi maswali yako najibu?

Mungu aliuumba ulimwengu au hakuuumba?
 
Back
Top Bottom