Mwalimu anatoa mitihani japo majibu anayo ndiyo.Lakini kumbuka mwalimu hajui yajayo kwa maana hiyo hajui utafauru vipi mtihani ule.mungu wako anajua kila kitu hata yajayo kabla hajakuumba sasa tuambie mitihani yake ni nn na inamaana gani?
ndio mwenyezi mungu anayajua yote na alishapanga vyote.Ukiwa unasoma biblia unaweza kugundua kwamba mwenyezi MUNGU alitaka kufuta uwepo wa binadamu hapa duniani(gharika la nuhu,sodoma na gomola).ila hakuona haki kuangamiza wale wema wachache waliomo akawabakiza na kuweka nao maagano..
hivo basi duniani bado tunaishi kwaajili ya wale wema waliopo mpaka ile siku aliyopanga ifike itimie.Na kwaupendo wake mkuu bado kawapa nafasi kwa wale wanaotaka kujiunga na wema wajiunge ili waende mbinguni..
Ndomana unaona manabii walizaliwa lazima wawe manabii,ili watimize mipango yake.Na siovema kujadili mipango yake,ata mwenyewe anasema chungu hakiwezi kumuambia mfinyanzi wake kwanini umenifinyanga na udongo huu na yule umemfinyanga na udongo huu..
hivo tu kama mnavyo sema vyote alishapanga.Ndomana anasema na aliyezaliwa mtumwa na awe mtumwa ila akipata nafasi ya kujitoa utumwani basi atoke...unaweza kuona pia kunawengine wanaroho mbaya kwaajili yakutimiza tu jambo fulani la mwenyezi MUNGU,likishatimia basi ataitwa atubu,..Sio vizuri kabisa kujadili mipango yake kwani hiyo ni kazi ya ibilisi.
na ushawahi kusikia kwamba waabudio shetani husema mwenyezi MUNGU hatendi haki kwani huacha majanga yote yaikumbe dunia wakati yeye anauwezo wakuzuia..kwamantiki hiyo hushawishi watu kumuabudu shetani.
kwani kwashetani kuna haki naam.haki zipo wazi wazi..utatajirika,utapewa uwezo wakutenda miujiza,haki za kibinadamu nyingi mnazijua,haki zipo nyingi sana kwa shetani...
Sikumoja leta mada hivi shetani yupo.Kama bado utakua unaamini MUNGU hayupo kwa mada hiyo itaonesha shetani katenda mema mengi sana tena ya haki..jaribu kumdiscribe shatani without existance of GOD...
kama huamini wote hawapo,jaribu kujidiscribe wewe mwenyewe utajiona binadamu wenzako wametenda mema sana tena yenye haki..
Afu utapitia amri kumi za MUNGU
"ndimi bwana mungu wako husiabudu miungu wengine"
Ahsante...