COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Ushoga ni mpango wa mungu,hebu pinga tuone kabla sijathibitisha !
Kwa ulivyo anza, mojakwa moja umejipanga kubisha. Sibishani katika mifano, na wala sina mpango wa kubisha....tupo hapa kuelekezana. Usilete mambo ya sheria kutaka kujibizana jibizana. Kama una hoja lete mezani tujadili
 
Huwezi jusema maamuzi yake wakati hujaweza kuthibitisha kwamba yupo.

Kama hayupo, hawezi hata kufanya maamuzi.

Unaweza kuthibitisha kwamba yupo?

Hilo ni moja.

Pili, kusema "hayo ni maamuzi yake" bila kiweza kuelezea maamuzi hayo kayafikia kwa logic gani ni kukibali kwamba humuwlewi huyu mungu, unamkubali kwa upofu.

Yani ni sawa na mfano wa mtu kuja nyumbani kwako halafu akamuuliza mlizi wa getini kuwa Kiranga amelala au yupo macho?
Mlizi akamjibu amelala,hafla huyo mtu anaanza kulalama kwa mlizi kuwa hajamwambia kama Kiranga yupo ndani au hayupo. Kulikuwa na haja gani ya kuuliza kama Kiranga amelala au hajalala kama labda alikuwa Kiranga hayupo ndani au kwanini kwanza asingeuliza kama Kiranga yupo au hayupo? Huyo mtu bila ya shaka atakuwa na anatatizo.

Hebu jibu kwanza swali langu.

Je,Mungu angefanya hivyo kuwa watu wote wamtambue ndiyo ingekuwaje? Au kuna wajibu gani ambao ndiyo angekuwa ameutimiza kama angefanya hivyo?
 
sasa hapo mjuaji si niwewe unaesema hayupo.ila anaesema yupo sio mjuaji maana kunavitu vingi havielewi ndomana anamueka nadharia mwenyenzi MUNGU..

Hapana,

Anayesema kitu kipo bila uthibitisho ndiye anajifanya mjuaji.

Anajifanya anajua kitu kipo bila kuweza kuthibitisha.

Ukisema kitu hakipo kwa sababu hakina uthibitisho, kisha ukaomba uthibitisho, sio tu uko sawa na hujajifanya mjuaji, bali uko sawa na hujajifanya mjuaji kwa namna mbili.

Namna ya kwanza ni kwa sababu hujasema kitu kipo bila ya kuwa na ithibitisho kwamba kipo.

Namna ya pili, hujafunga mawazo yako kusema kitu hakipo asilani, kwa sababu umeomba uthibitisho kuoneshwa kwamba kipo.

Anayejifanya mjuaji ni yule anayesema kitu kipo, halafu ukimwambia athibiyishe anashindwa.

Anayesema hicho unachosema kipo hakina ithibitisho na kuomba uthibitisho hawezi kuwa anajifanya mjuaji.

Anauliza swali kujuzwa.

Swali ambalo hujalijibu.

Thibitisha mungu yupo.
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?

Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.

kwanini mwalimu anatoa mtihani bila majibu wakati majibu anayo????si aambatanishe maswali na majibu watu tuandike jina yaishe?tafakari bw #Kiranga
 
Kwa ulivyo anza, mojakwa moja umejipanga kubisha. Sibishani katika mifano, na wala sina mpango wa kubisha....tupo hapa kuelekezana. Usilete mambo ya sheria kutaka kujibizana jibizana. Kama una hoja lete mezani tujadili

Hujanielewa ndugu nilitaka ukubali yaishe kwa maana ndiyo ukwel wenyewe tumia mida mwingi kufikiri.
 
Hapana,

Anayesema kitu kipo bila uthibitisho ndiye anajifanya mjuaji.

Anajifanya anajua kitu kipo bila kuweza kuthibitisha.

Ukisema kitu hakipo kwa sababu hakina uthibitisho, kisha ukaomba uthibitisho, sio tu uko sawa na hujajifanya mjuaji, bali uko sawa na hujajifanya mjuaji kwa namna mbili.

Namna ya kwanza ni kwa sababu hujasema kitu kipo bila ya kuwa na ithibitisho kwamba kipo.

Namna ya pili, hujafunga mawazo yako kusema kitu hakipo asilani, kwa sababu umeomba uthibitisho kuoneshwa kwamba kipo.

Anayejifanya mjuaji ni yule anayesema kitu kipo, halafu ukimwambia athibiyishe anashindwa.

Anayesema hicho unachosema kipo hakina ithibitisho na kuomba uthibitisho hawezi kuwa anajifanya mjuaji.

Anauliza swali kujuzwa.

Swali ambalo hujalijibu.

Thibitisha mungu yupo.

Kwani unaweza kuthibitisha vilivyokuwepo?
 
kwanini mwalimu anatoa mtihani bila majibu wakati majibu anayo????si aambatanishe maswali na majibu watu tuandike jina yaishe?tafakari bw #Kiranga

Mwalimu anatoa mitihani japo majibu anayo ndiyo.Lakini kumbuka mwalimu hajui yajayo kwa maana hiyo hajui utafauru vipi mtihani ule.mungu wako anajua kila kitu hata yajayo kabla hajakuumba sasa tuambie mitihani yake ni nn na inamaana gani?
 
mungu wako anajua kila kitu hata
yajayo kabla hajakuumba sasa tuambie mitihani yake ni nn na
inamaana gani?

Kwani waliyofanya mitihani wa elimu ya msingi na wakafeli na sasa wapo mitaani je,waalimu ndiyo wamepata nini?

Na vp wale ambao wanasoma kwa ajiri ya kufaulu mitihani tu na kweli wanafaulu lakini kwn uelewa wa masomo hali tofauti?

Na je,ukifeli mtihani ndiyo inaama mwalimu akutambue wewe ni mjinga?
 
Huajelewa na wala hujajibu kitu ulichoulizwa
 
Mwalimu anatoa mitihani japo majibu anayo ndiyo.Lakini kumbuka mwalimu hajui yajayo kwa maana hiyo hajui utafauru vipi mtihani ule.mungu wako anajua kila kitu hata yajayo kabla hajakuumba sasa tuambie mitihani yake ni nn na inamaana gani?

ndio mwenyezi mungu anayajua yote na alishapanga vyote.Ukiwa unasoma biblia unaweza kugundua kwamba mwenyezi MUNGU alitaka kufuta uwepo wa binadamu hapa duniani(gharika la nuhu,sodoma na gomola).ila hakuona haki kuangamiza wale wema wachache waliomo akawabakiza na kuweka nao maagano..

hivo basi duniani bado tunaishi kwaajili ya wale wema waliopo mpaka ile siku aliyopanga ifike itimie.Na kwaupendo wake mkuu bado kawapa nafasi kwa wale wanaotaka kujiunga na wema wajiunge ili waende mbinguni..

Ndomana unaona manabii walizaliwa lazima wawe manabii,ili watimize mipango yake.Na siovema kujadili mipango yake,ata mwenyewe anasema chungu hakiwezi kumuambia mfinyanzi wake kwanini umenifinyanga na udongo huu na yule umemfinyanga na udongo huu..

hivo tu kama mnavyo sema vyote alishapanga.Ndomana anasema na aliyezaliwa mtumwa na awe mtumwa ila akipata nafasi ya kujitoa utumwani basi atoke...unaweza kuona pia kunawengine wanaroho mbaya kwaajili yakutimiza tu jambo fulani la mwenyezi MUNGU,likishatimia basi ataitwa atubu,..Sio vizuri kabisa kujadili mipango yake kwani hiyo ni kazi ya ibilisi.

na ushawahi kusikia kwamba waabudio shetani husema mwenyezi MUNGU hatendi haki kwani huacha majanga yote yaikumbe dunia wakati yeye anauwezo wakuzuia..kwamantiki hiyo hushawishi watu kumuabudu shetani.

kwani kwashetani kuna haki naam.haki zipo wazi wazi..utatajirika,utapewa uwezo wakutenda miujiza,haki za kibinadamu nyingi mnazijua,haki zipo nyingi sana kwa shetani...

Sikumoja leta mada hivi shetani yupo.Kama bado utakua unaamini MUNGU hayupo kwa mada hiyo itaonesha shetani katenda mema mengi sana tena ya haki..jaribu kumdiscribe shatani without existance of GOD...

kama huamini wote hawapo,jaribu kujidiscribe wewe mwenyewe utajiona binadamu wenzako wametenda mema sana tena yenye haki..

Afu utapitia amri kumi za MUNGU
"ndimi bwana mungu wako husiabudu miungu wengine"

Ahsante...
 
Hii ni aina gani ya mungu?,huyu mungu anayepanga jambo na kisha kuhairisha mbona anapoteza sifa ya uungu kama mnavyo mwelezea?.Mungu ambaye alipanga jambo kisha anakuja kugundua kwamba kuna baadhi wasio na hatia na kisha kuahirisha mpango wake,huyu anajua yajayo kweli?.Hakika hajui kubali!

This is too low ndugu,inaonekana mungu wako hajiamini katika maamuzi yake?right?

Who area manabiis?,thibitisha kwamba kwel walitumwa na huyo mungu!

Aisee this is too low,hueleweki! Kabisa ndugu.
 
yah it must be too low first inorder to be too high..hapangi jambo na kuhairisha mkuu,wala hajapoteza sifa ya umungu..JE unataka kuniaminisha kwamba hujui kama alisema,anaweza fanya lolote alipendalo...

kuhusu kujua yajayo halishadhihilisha hilo,na akasema ebu iambieni hiyo miungu yenu kama inajua yajayo,..

Mwenyezi Mungu alipanga na kupangua bila kupoteza lengo lake nikudhihirisha uwezo wake kwetu..

unajua anauwezo wakuwaua wote wenyedhambi dakika hii,je akifanya hivo wale wema wataenda mbinguni namawazo gani...

unajua anaweza fanya chochote duniani,fikiria icho unachotaka afanye kama kitaleta sifa ya umungu(haki)...

unaweza ukabisha ata upepo haupo kwasababu hauuoni, lkn utautambua kwa kazi yake...

MWENYEZI MUNGU NI MWANZO NA MWISHO....unacho amini wewe ni kwamba hakuna mwanzo wala mwisho..tunacho amini sisi kuna mwanzo na mwisho lkn hatuujui mwanzo wala mwisho..

Ahsante.
 
Kwani unaweza kuthibitisha vilivyokuwepo?

Kuthibitisha ni kitu kilicho katika domain ya vilivyopo.

Kama huwezi kuthibitisha vilivyopo, huwezi kuthibitisha chochote na chochote hakina maana yoyote.

Pamoja na mungu.
 
kwanini mwalimu anatoa mtihani bila majibu wakati majibu anayo????si aambatanishe maswali na majibu watu tuandike jina yaishe?tafakari bw #Kiranga

Mungu wako ni sawa na mwalimu?

Mwalimu anatoa mtihani bila majibu ingawa majibu anayo kwa sababu anataka kujua mwanafunzi anajua nini na nini hajui.

Mungu anayejua kila kitu anatoa mtihani ili iweje?
 
Napokuta mijadala kama hii humu huwa ninaipenda kweli kwa kuwa huwa ninaiangalia kwa jicho la kuwa neutral ili kuweza kuishughulisha akili kujua ukweli kuhusu mungu kwa mtazamo wa kibinadamu na huwa nakwenda mbali zaidi kujiuliza hivi kwanini mie ni mkristo au kwanini mie ni mkatoliki au mlutheri baadae napata jibu au babu yangu alikuwa hivyo au baba yangu then nakwenda mbali zaidi najiuliza tena kwanini sie waafrika tumechelewa kuzipokea hizi dini mpaka kuletewa na wakoloni kama karne moja na ushee ama mbili zilizopita

Haya yote tunayapata humu kwa kuwa tunayajadili kwa akili ya kibinadamu lakini tukienda kule kwenye imani ni utahubiriwa pasipo kutafakari kutokana na kwamba tumevipokea hivi vitu tangu tukiwa watoto wadogo mpaka tumekuwa hivyo fursa ya kuchallenge ili uweze kuelewa kwa undani zaidi tunakosa na hii ndio maana kutokana na utofauti wa kuelewa vitu ndio maana unakuta kuna maeneo watu wanatofautiana uelewa na kunakuwepo dini na madhebu kibao lakini mwisho wa siku wote wanahubiri uwepo wa mungu huku kila mmoja na mbinu yake.

Umeeleza vizuri kwamba wengi wanafuata mapoleo tu na hawatafakari vya kutosha.

Hicho ndicho kitu ninachokataa mimi.

Ukiaema mungu yupo, kimantiki unatakiwa uweze kuthibitisha.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?

Umeelezea imani yako kama ya Ukatoliki, unaweza kuelezea imekuwaje, kwa mujibu wa imani yako, mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Ndipo hapo ujue God at work mtamjua kwa njia mbalimbali ila lengo moja tu! Mungu huwezi mjua mpaka siku akijidhirisha kwako unachoweza fanya ni kumsikia tu katika masimlizi ya walio wahi kumwona kwa njia mbalimbali. Imani inajengwa na masilimlizi ya matendo ya Mungu.

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Hujaonesha kimantiki imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
 
Mkuu wengi wasiyoamini mungu nao walitokewa na hali kama uliyonayo wewe sasa. Na umepoteza muda wako sana ktk umri uliyonao kuwa muumini wa hiyo imani uliyonayo kwa sababu tu et babu yako alikuwa imani hiyo.

Tumia akili vyema acha kuamini kibubusa kama ulivyo sasa. We Utafute ukweli maana hata hao wanaosema hakuna Mungu hawautafuti ukweli, hata ukitizama hoja zao utagundua hilo.

Hili la wengi wasioamini mungu kutokewa na hali hiyo unalijua au unabahatisha tu kama imani yako ya mungu?

Unamuasa mwenzako kutumia akili vyema na kutafuta ukweli wakati ukweli uliofunulowa na maswali yangu kwako unaukimbia?
 
sasa hapo mjuaji si niwewe unaesema hayupo.ila anaesema yupo sio mjuaji maana kunavitu vingi havielewi ndomana anamueka nadharia mwenyenzi MUNGU..

Hapana.

Anayesema mungu yupo ndiye anajifanya mjuaji, kwa sababu anasema kitu kipo wakati hajui lolote kuhusu hicho kitu.

Kama kila kitu usichokielewa jibu lake ni mungu kina makabila ya mosituni huko hayajawahi kuona redio.

Ukiwapelekea redio inatangaza taarifa ya habari, wakasikia sauti ya mtu lakini wasielewenile sauti inatokeaje kwenye kibox hiki cha redio, wakisema huyo anayeongea ni mungu kwa sababu hawajui anayeongea ni nani watakuwa sawa?
 
Kwa ulivyo anza, mojakwa moja umejipanga kubisha. Sibishani katika mifano, na wala sina mpango wa kubisha....tupo hapa kuelekezana. Usilete mambo ya sheria kutaka kujibizana jibizana. Kama una hoja lete mezani tujadili

Hoja namba moja.

Hakuna aliyeweza kuthibitisha kuwapo kwa mungu.

Hoja namba mbili. Haiyumkiniki mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao umejaa mabaya na maovu wakati alikuwa na uwezo, ujuzi na upendo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Hujajibu hoja hizi.
 
Hapana.

Anayesema mungu yupo ndiye anajifanya mjuaji, kwa sababu anasema kitu kipo wakati hajui lolote kuhusu hicho kitu.

Kama kila kitu usichokielewa jibu lake ni mungu kina makabila ya mosituni huko hayajawahi kuona redio.

Ukiwapelekea redio inatangaza taarifa ya habari, wakasikia sauti ya mtu lakini wasielewenile sauti inatokeaje kwenye kibox hiki cha redio, wakisema huyo anayeongea ni mungu kwa sababu hawajui anayeongea ni nani watakuwa sawa?

ndio watakua sawa kama hiyo sauti kwenye kibox wakiifafanua kama mungu wao nakuendana na imani yao watakua sawa..

kwani ata hapo awali walioabudu sanamu walikua sawa.

lkn ambaye amesha kwisha sikia habari za Mungu akitenda hayo hatakua sawa...
 
Back
Top Bottom