COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Unafahamu maana ya uthibitisho kwamba mungu yupo?

Kusema mwenyezi mungu ni mwanzo na mwisho si uthibitisho kwamba yupo, kwa sababu kama issue ni kisema tu, mwingine anaweza kusema opposite na wewe ukivyosema. Kwanza mwenyezi mungu hawezi kuwa mwanzo na mwisho kabla hujathibitisha kwamba yupo.

Kwanza thibitisha yupo, ukighibitisha unaweza kuanza kusema ni mwanzo na mwisho au vipi.

Mimi kutokujua fakika mbili mbele hakuthibitishi kuwepo kwa mungu, in logic they call that kind of reasoning "non sequitur". Kiingereza wanasema "It doesn't follow". It doesn't follow logically jwamba kwa sababu aijui dakika mbili zijazo zitakuwaje, basi mungu yupo.

Unaweka vipi uhusiano kati ya mimi kutokujua dakika mbili zijazo zitakuwaje na uwepo wa mungu?

Kwa jibsi ulivyounganisha mambo mawili yasiyohusiana, you might as well tell me kwamba sijui njia ya kutoka Kivukoni mpaka Mwenge kwa sababu sijui square root ya mbili. Viwili hivi vinahusiaje?

Nishakwambia siko interested na imani. Sojui kwa nini unaendelea kujikita kwenye imani.

Thread imeuliza kuhusu ushahidi. Imani haitaki ishahidi. Imani ni kukunali kitu kabla ya kupata ushahidi. Mbina unachanganya madawa? Unataka kujikita kwenye mambo ya imani katika thread inayotaka ushahidi?

Hujatoa uthibitisho kwamba mungu wako yupo.

Hujanieleza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, vitoto vidogo vinakufa kwenye mafuriko, matetemeko, magonjwa yasiyo tiba kama UKIMWI, matetemeko ya ardhi etc etc, wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

husinambie kwamba hujui uthibitisho au ushaidi ninini...mtu anapotoa ushaidi wajambo fulani kinacho fata nini kama sio kuamini au kuchunguza..mtu anapo kupa uthibitisho wajambo fulani kinacho fata nini kama sio kuamini au kuchunguza kwanza...

kwenye swala la ushaidi au uthibitisho huwezi kuacha kitu imani...hivo unapo ng'ang'ania uthibitisho nakati unaimani yako tayar...hakuna binadamu anaye ishi bila imani...kujiamini pia ni imani...

ndomana nkasema ww ndo unatoka nje ya thread,unapewa vithibitisho unavikataa kwa imani yako..afu unataka mtu aelezee bila imani wakati ww unapinga kwa imani...ungekua na ww unapinga kwa vithibitisho basi hapo hapo ndo ungekua ndani ya thread yako....

hilo swali la mwisho tusha lijibu sana sema imani yako hisiyo na vithibitisho ndo haielewi...

Ahsante...
 
husinambie kwamba hujui uthibitisho au ushaidi ninini...mtu anapotoa ushaidi wajambo fulani kinacho fata nini kama sio kuamini au kuchunguza..mtu anapo kupa uthibitisho wajambo fulani kinacho fata nini kama sio kuamini au kuchunguza kwanza....

kwenye swala la ushaidi au uthibitisho huwezi kuacha kitu imani...hivo unapo ng'ang'ania uthibitisho nakati unaimani yako tayar...hakuna binadamu anaye ishi bila imani...kujiamini pia ni imani...

ndomana nkasema ww ndo unatoka nje ya thread,unapewa vithibitisho unavikataa kwa imani yako..afu unataka mtu aelezee bila imani wakati ww unapinga kwa imani...ungekua na ww unapinga kwa vithibitisho basi hapo hapo ndo ungekua ndani ya thread yako....

hilo swali la mwisho tusha lijibu sana sema imani yako hisiyo na vithibitisho ndo haielewi...

Ahsante...

Ukishapata uthibitisho, kinachofuata hakiwezi kuwa kuamini.

Ukipata uthibitisho, kinachofuata ni kujua.

Kuamini ni kukubali kitu bila kuwa na uthibitisho.

Inaonekana huelewi tofauti ya uthibitisho, kuamini na kujua. Na huelewi kipi kinaanza na kipi kinafuatia.

Kama huelewi mambo basic kama haya, huwezi kujadiliana nami kuhusu nature ya mungu na kama yupo au hayupo.

Itakuwa kama mtu asiyeweza kuhesabu aanze kujidai anaweza kupata a non-Perelman based solution to the Poincare's Conjecture.

Unataka nipingeje kwa vithibitisho zaidi ya logic kwa kitu ambacho hakipo?

Unaweza kupinga kwa uthibitisho kwamba nyumba unayoishi hakuna kikombe cha dhahabu kisichoonekana kinaelea hewani?
 
kila mmoja anaimani kwa jambo fulani,..kwasababu hamna mtu anayeweza weza kuumba basi yupo aliyeumba

Another non sequitur.

You might as well say 'kwa sababu hakuna mtu aliyewahi kuiona pembetatu duara, basi yupo aliyeiumba".

You are making arguments out of totally disconnected points that have no relation

huo ni uthibitisho wa MUNGU kuepo..

Hujathibitisha kwamba unaelewa ulichoandika, achilia mbali kuthibitisha kwamba mungu yupo.

ndomana hatuamini huyo funza,wala sanamu wala binadamu hapa duniani lkn tuna amini kuna MUNGU muumbaji...

Bora hata anayeamini huyo funza anaweza kumtoa kidoleni akatuonesha huyu hapa, au hilo sanamu akatuonesha, wewe mungu wako anasemekana tu, lakini hata hututhibitishii kwamba yupo.

Nimekuuliza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaowezekana kuwa na mabaya, huku watoto wachanga wakifa katika matetemeko ya ardhi, kwa magonjwa yasiyo tiba, mafuriko, vita etc. Hususan kama huyu mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote na uwezo huo ulijumuisha uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na maovu?

Hujajibu swali hili, na zaidi ya kutojibu, nina mashaka kama unaweza kulielewa.

hivo jaribu kuilewa thread yako vithibitisho vipo ila nikazi yako kuviamini au usiviamini..kama unaweza kumbingana na hivo vithibitisho tunavyo kupa basi anzisha thread nyingine manake hii thread tutakua tushajibu..ndomana nasema ww ndo unatoka nje ya thread...

Akhasante..

Vithibitisho gani? Vya kusema by fiat kwamba "mungu ni mwanzo na mwisho"?

Unafahamu uthibitisho ni nini?

Kama hujui imani na uthibitisho nini kinaanza na nini kinafuata nitajuaje kwamba uko qualified kuongelea falsafa ya uwepo wa mungu?
 
Ubishani wa namna hii unakuwa hauna mwisho kwa kuwa vitu vingi vipo kiimani zaidi na si halisia...
Tuliochagua kuamini na tuamini...waliochagua kutoamini na wasiamini...
 
Ubishani wa namna hii unakuwa hauna mwisho kwa kuwa vitu vingi vipo kiimani zaidi na si halisia...
Tuliochagua kuamini na tuamini...waliochagua kutoamini na wasiamini...

Aliyechagua kuamini akiingia thread hii kapotea njia.

Kwa sababu hii ni thread ya kutafuta ushahidi.

Ukishakubali kuamini ushahidi wa nini?

Ukiona unatafuta ushahidi, kama ulifikiri una imani jua imani yako pungufu. Wenye imani hawatafuti ushahidi.
 
Kama nilivyoeleza kwamba sababu ni ili iwe mtihani kwetu kwa atakayefaulu basi amemuandalia makazi yake na kwa atakaye feli pia amemuandalia makazi yake. Kwahiyo utaona haya maisha hapa ulimwenguni ni kama safari tu.

Mkuu unatumia nguvu nyingi kumjibu swali ambalo hata wewe huna jibu sahihi, Sidhani kama unaweza mjibia Mungu ilo swali, uko juu uyu tulishamwambia hakuna mwanadamu atakaye mjibia Mungu maana hakuna aliyepiga story na Mungu kisha akapewa sababu za Mungu kuimba dunia ikiwa ivyo.
Mfano : Yani hapa ni sawa na jirani yako hapo kwenu ajenge nguzo ndefu na akae kimya asikuambie kwanini alijenga nguzo kinamna iyo. Kisha atokee mtu akuulize kwanini wewe jirani yako ametengeneza nguzo iyo ndefu, Je wewe utakua na majibu ya jirani yako ikiwa hakuwahi kukupa wewe wala mtu yeyote sababu za kujenga iyo nguzo iyo.

Pl'se Wakuu ebu tutumie akili zetu tu aya maswali ya "WHY GOD Hakufanya hiki na hiki.....????" Hayana majibu toka kwetu wanadamu, Hakuna mwanadamu wa kumjibia Mungu. Vyote mtakavyojibu kwa niaba ya Mungu itakua ni ku guess tu.
 
Another non sequitur.

You might as well say 'kwa sababu hakuna mtu aliyewahi kuiona pembetatu duara, basi yupo aliyeiumba".

You are making arguments out of totally disconnected points that have no relation

Hujathibitisha kwamba unaelewa ulichoandika, achilia mbali kuthibitisha kwamba mungu yupo.

Bora hata anayeamini huyo funza anaweza kumtoa kidoleni akatuonesha huyu hapa, au hilo sanamu akatuonesha, wewe mungu wako anasemekana tu, lakini hata hututhibitishii kwamba yupo.

Nimekuuliza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaowezekana kuwa na mabaya, huku watoto wachanga wakifa katika matetemeko ya ardhi, kwa magonjwa yasiyo tiba, mafuriko, vita etc. Hususan kama huyu mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote na uwezo huo ulijumuisha uwezo wa kuumba ulimwengu usiowezekana kuwa na maovu?

Hujajibu swali hili, na zaidi ya kutojibu, nina mashaka kama unaweza kulielewa.

Vithibitisho gani? Vya kusema by fiat kwamba "mungu ni mwanzo na mwisho"?

Unafahamu uthibitisho ni nini?

Kama hujui imani na uthibitisho nini kinaanza na nini kinafuata nitajuaje kwamba uko qualified kuongelea falsafa ya uwepo wa mungu?[

isaya;43:8-
/QUOTE]
Lead out those who have eyes
but are blind,
8
who have ears but are
deaf.
All the nations gather together 9
and the peoples
assemble.
Which of their gods foretold
this
and proclaimed to us the
former things?
Let them bring in their
witnesses to prove they were
right,
so that others may hear
and say, “It is true.”
“You are my witnesses,”
declares the LORD,
10
“and my servant whom I
have chosen,
so that you may know and
believe me
and understand that I
am he.
Before me no god was formed,
nor will there be one
after me.
I, even I, am the LORD, 11
and apart from me there
is no savior.
I have revealed and saved and
proclaimed—
12
I, and not some foreign
god among you.
You are my witnesses,”
declares the LORD, “that I am
God.
Yes, and from ancient
days I am he.
13
No one can deliver out of my
hand.
When I act, who can
reverse it?”
 
kama umesoma hadithi ya MUSA ama kuangalia muvi yake, utaona MUSA alikua na maswali mengi juu ya MUNGU na alijibuwa maswali hayo...KUTOKA 3;13-' KUTOKA 4:1- KUTOKA 5;22-,...
maswali yako kiranga biblia imeyajibu yote...

ntakuandikia baadhii.......
 
First thing first, suala la tabu kama mtihani nilishalipangua.

Mungu mwenye haki yote, upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote hatatoa mtihani unaomuua mtpto wa mwaka mmoja.

Especially kama anaweza kutoa mtihani bila kumuua mtoto wa mwaka mmoja.

Ukimuua mtoto wa mwaka mmoja hujatoa mtihani kwa huyo mtoto kwa hiyo suala la maovu kama mtihani likichunguzwa linakosa ukweli.

So, kwanza kabisa suala la mtihani liondoe katika jibu lako. Kwa sababu halina ukweli. Kama mungu angetaka kutoa mtihani kwa haki, watoto wadogo wasingekufa kabla ya kupata uwezo wa kuamua mema na mabaya.

Nilishaeleza kwamba kuna majanga ambayo yanatukuta kwa sababu ya watu kufanya maovu sana. Mungu anaweza kuamua kutoa adhabu kwa watu endapo itatokea sehemu ambayo watu wamezidisha kufanya maovu na pengine pahali hapo hata wale watu wenye kufanya mema hawawausii wenzao kuacha hayo maovu au pia hao watu wenyekufanya maovu wameusiwa sana ila wanafanya kiburi.

Kwahiyo ktk hali kama hiyo endapo Mungu atatoa adhabu basi yaweza kuwakumba hata wale wasiofanya maovu,ndiyo hapo watoto pia hukumbwa na majanga.

Ila kama utakuwa unauliza kuhusu watoto kufa hata ktk vifo vya kawaida,kufa ni jambo la lazima si suala la mtihani. Watoto wadogo hawajui zuri wala baya hivyo hawana suala la mtihani.

Baada ya kufa ndiyo yanafanywa mahesabu ya mtu,yapi mazuri na yapi mabaya.
 
JR said:

Aisee!,sikia ndugu kiukweli unajichanganya kwa jinsi unavojieleza labda kama hujui Kiranga anachomaanisha,nhoja nami nikupe darasa maana ni kazi yetu,

Ikiwa mungu wako anaamua jambo fulani baada ya kuona watu wamekosa kumtii basi unampunguzia sifa ya kujua yajayo!,kwa sababu ikiwa anajua yajayo hawezi toa adhabu baada ya kuona kosa!,kuna baadhi ya mistari katika vitabu vyenu mnavyoviita vitakatifu inampunguzia sifa ya huyo mnayedhani yupo,.,HAKUNA mungu anayepata hasira,huzuni ,ghadhabu na manung'uniko .Ikiwa kuna mungu wa aina hiyo basi hana sifa ya kujua yajayo kwa maana ili ukasirike lazima upate habar mpya.

JR said:
Kwahiyo ktk hali kama hiyo endapo Mungu atatoa adhabu basi yaweza kuwakumba hata wale wasiofanya maovu,ndiyo hapo watoto pia hukumbwa na majanga.

This is too low ndugu,inamaana mungu hajui kwamba kuna watoto hapo ambao hawana hatia?.Lakini mbona ni kawaida yake huyo mungu wenu kwan hukumbuki alikuwa akiwatuma wale mnaowaita taifa teule waue kila kitu njian on their way back.

JR said:
Ila kama utakuwa unauliza kuhusu watoto kufa hata ktk vifo vya kawaida,kufa ni jambo la lazima si suala la mtihani.

Kwa nn kufa iwe lazima?kufa maana yake nini katika imani zenu?kifo si ni adhabu kwa vitabu vyenu?,
JR said:
Watoto wadogo hawajui zuri wala baya hivyo hawana suala la mtihani.

Aisee !!

Baada ya kufa ndiyo yanafanywa mahesabu ya mtu,yapi mazuri na yapi mabaya.[/QUOTE]

Hizi zote ninhadihi hakuna ukweli wowote,..thibitisha kwamba mungu yupo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unatumia nguvu nyingi kumjibu swali ambalo hata wewe huna jibu sahihi, Sidhani kama unaweza mjibia Mungu ilo swali, uko juu uyu tulishamwambia hakuna mwanadamu atakaye mjibia Mungu maana hakuna aliyepiga story na Mungu kisha akapewa sababu za Mungu kuimba dunia ikiwa ivyo.
Mfano : Yani hapa ni sawa na jirani yako hapo kwenu ajenge nguzo ndefu na akae kimya asikuambie kwanini alijenga nguzo kinamna iyo. Kisha atokee mtu akuulize kwanini wewe jirani yako ametengeneza nguzo iyo ndefu, Je wewe utakua na majibu ya jirani yako ikiwa hakuwahi kukupa wewe wala mtu yeyote sababu za kujenga iyo nguzo iyo.

Pl'se Wakuu ebu tutumie akili zetu tu aya maswali ya "WHY GOD Hakufanya hiki na hiki.....????" Hayana majibu toka kwetu wanadamu, Hakuna mwanadamu wa kumjibia Mungu. Vyote mtakavyojibu kwa niaba ya Mungu itakua ni ku guess tu.

This should be played at high volume.

Preferrably in a residential area.

Thanks mkuu, you nailed it.
 
Lead out those who have eyes
but are blind,
8
who have ears but are
deaf.
All the nations gather together 9
and the peoples
assemble.
Which of their gods foretold
this
and proclaimed to us the
former things?
Let them bring in their
witnesses to prove they were
right,
so that others may hear
and say, "It is true."
"You are my witnesses,"
declares the LORD,
10
"and my servant whom I
have chosen,
so that you may know and
believe me
and understand that I
am he.
Before me no god was formed,
nor will there be one
after me.
I, even I, am the LORD, 11
and apart from me there
is no savior.
I have revealed and saved and
proclaimed-
12
I, and not some foreign
god among you.
You are my witnesses,"
declares the LORD, "that I am
God.
Yes, and from ancient
days I am he.
13
No one can deliver out of my
hand.
When I act, who can
reverse it?"gfdcfcvcd

Aya zako hazithibitishi kwamba mungu yupo
 
Nilishaeleza kwamba kuna majanga ambayo yanatukuta kwa sababu ya watu kufanya maovu sana. Mungu anaweza kuamua kutoa adhabu kwa watu endapo itatokea sehemu ambayo watu wamezidisha kufanya maovu na pengine pahali hapo hata wale watu wenye kufanya mema hawawausii wenzao kuacha hayo maovu au pia hao watu wenyekufanya maovu wameusiwa sana ila wanafanya kiburi.

Kwahiyo ktk hali kama hiyo endapo Mungu atatoa adhabu basi yaweza kuwakumba hata wale wasiofanya maovu,ndiyo hapo watoto pia hukumbwa na majanga.

Ila kama utakuwa unauliza kuhusu watoto kufa hata ktk vifo vya kawaida,kufa ni jambo la lazima si suala la mtihani. Watoto wadogo hawajui zuri wala baya hivyo hawana suala la mtihani.

Baada ya kufa ndiyo yanafanywa mahesabu ya mtu,yapi mazuri na yapi mabaya.

Kwa nini mungu wa haki awape wengine mtihani, na wengine asiwape hata nafasi ya kufanya mtihani kwa kuwaua wakiwa wachanga?

Wakati kama kweli nia yake ni kutupa mtihani angeweza kuwapa wote nafasi ya kufanya mtihani.

Pia hujaelezea kwa nini mungu mjuzi wa yote ahitaji mtihani in the first place. Na kwa nini anauhitaji sana kiasi cha kukubali mtihani ufanywe kwa maovu makubwa kuwapata viumbe wake ambao anawapenda.

Kama mungu kweli nia yake ni kutoa mtihani tu, alishindwa kutoa mtihani katika mazuri na mazuri zaidi?

Ilimlazimu kuwa na matetemeko ya ardhi na magonjwa mabaya kabisa, vita na njaa, ili kuwa na mtihani?

Huyu mungu mbona anaonekana kama anapenda sana kutesa viumbe wake wakati alikuwa na kila uwezo wa kuumba ulimwengu usio na mateso?

Kwa nini kauuumba ulimwengu wenye mateso?

Jibu la mtihani halitoshi kwa sababu angeweza kutoa mtihani bila maovu na mateso.

Hujajibu swali.
 
kama umesoma hadithi ya MUSA ama kuangalia muvi yake, utaona MUSA alikua na maswali mengi juu ya MUNGU na alijibuwa maswali hayo...KUTOKA 3;13-' KUTOKA 4:1- KUTOKA 5;22-,...
maswali yako kiranga biblia imeyajibu yote...

ntakuandikia baadhii.......

Hujanipa jibu la kutoka kwenye biblia kuhusu swali langu la kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya.
 
Ningependa kueleza jambo kuhusu hili suala la kuamini uwepo wa Mungu na kutokuamini uwepo wake.

Najua humu kuna ambao wanafuatilia huu mjadala lakini hawachangii. Wapo ambao wanatafuta ukweli kuhusu imani ya uwepo wa Mungu na pia wapo ambao wasioamini mungu lakini hawajizuii kwa kujifunza zaidi kuhusu haya masuala. Na pia wapo ambao hawaamini mungu na wametosheka kuamini hivyo wala hawataki kusikia chochote.

Wachangiaji wengi wa humu ambao hawaamini Mungu wao wanachokifanya ni kupinga hoja na kuuliza maswali tu, na maswali yenyewe wanayouliza ni yale ya kiubishi na si kwa kutaka kufahamu kuhusu imani ya Mungu. Hivyo wanauliza maswali ambayo wanaona kama utashindwa kujibu basi ionekane imani ya mungu ni ya uzushi si kweli,lakini endapo ukiwauliza wao swali ambao watakosa jibu lake basi watasema "hata kama sijui jibu la hilo swali haifanyi kuwa mungu yupo". Ila wewe ukishindwa kuwajibu ni tatizo.

Lakini maswali wanayouliza wao (ambayo ukishindwa kujibu au kutokujibu kama watakavyo ndiyo hufanya waseme imani ya mungu ni uzushi) ni maswali ambayo hata kama mungu angekuwa anaonekana yasingekuwa na maana. Sababu ni maswali ya kwanini mungu ameamua hivi na et kwanini asingeamua vile?

Sasa mie natoa mfano ambao utaonesha wanaoamini mungu wanasimamia upande gani na wasioamini mungu wanasimamia upande gani.

Suala la kuwepo na kutokuwepo kwa mungu, ni sawa na kuwepo kwa nyumba porini ambayo ni nzuri tu yenye umeme na kuna kila kitu ndani ambacho kinahitajika kuwepo.
Lakini hiyo nyumba hakuna aliyewahi kuona wakati ikijengwa na ni muda mrefu umepita haijawahi kuonekana mtu akiingia wala kutoka. Ktk hali hiyo kukawa na watu wenye kusema hiyo nyumba haina mwenyewe na wengine wakasema hiyo nyumba inayo mwenyewe.

*Katika huo mfano kuna watu husema hiyo nyumba ina mwenyewe,lakini hajawahi kuonekana huyo mwenyewe.
Na wengine husema hiyo nyumba haina mwenyewe,lakini nyumba ina kila kitu ndani na imejengwa vizuri tu na ina hadi umeme.

Hivyo hapo kila mtu anatakiwa aeleze kuhusu msimamo wake ktk hilo jambo. Kwahiyo ningependa kuwaambia wanaofuatilia huu mjadala, ufikirie huo mfano kwa makini halafu uamue wewe msimamo wako ni upi hapo.
 
Hujanipa jibu la kutoka kwenye biblia kuhusu swali langu la kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya.

Kwa nini mungu aruhusu watoto zeruzeru wakatwe viungo vyao vya mwili na kupewa vilema vya maisha huku wengine wakiuliwa kabisa kisa tu eti kuna watu wenye imani ya kwamba vipande vya miili ya hao watu wenye ulemavu wa ngozi sijui huleta utajiri...(halafu, kama hiyo imani ingekuwa ni ya kweli basi hao zeruzeru si ndo wangekuwa matajiri wakubwa sana hapa duniani...?)

Kwanza, kwa nini hata huyo mungu aruhusu kuwepo na watu wenye ulemavu wa ngozi? Kama anajua huo ulemavu wao wa ngozi utawaletea kila aina ya madhila hapa duniani kwa nini asiliepushe hilo tokea mwanzo?

Yeye si ni muweza wa yote? Yeye si ndo muumba wetu? Sasa kwa nini wengine awaumbe na kasoro zitakazokuja kuwaletea shida chungu nzima hapa duniani?

Kwa kweli hizi habari za uwepo wa mungu pamoja na uwezo wake ukizipitisha kwenye jaribio la kimantiki zinafeli vibaya mno!
 
Mkuu unatumia nguvu nyingi kumjibu swali ambalo hata wewe huna jibu sahihi, Sidhani kama unaweza mjibia Mungu ilo swali, uko juu uyu tulishamwambia hakuna mwanadamu atakaye mjibia Mungu maana hakuna aliyepiga story na Mungu kisha akapewa sababu za Mungu kuimba dunia ikiwa ivyo.
Mfano : Yani hapa ni sawa na jirani yako hapo kwenu ajenge nguzo ndefu na akae kimya asikuambie kwanini alijenga nguzo kinamna iyo. Kisha atokee mtu akuulize kwanini wewe jirani yako ametengeneza nguzo iyo ndefu, Je wewe utakua na majibu ya jirani yako ikiwa hakuwahi kukupa wewe wala mtu yeyote sababu za kujenga iyo nguzo iyo.

Pl'se Wakuu ebu tutumie akili zetu tu aya maswali ya "WHY GOD Hakufanya hiki na hiki.....????" Hayana majibu toka kwetu wanadamu, Hakuna mwanadamu wa kumjibia Mungu. Vyote mtakavyojibu kwa niaba ya Mungu itakua ni ku guess tu.

This should be played at high volume.

Preferrably in a residential area.

Thanks mkuu, you nailed it.

Papa Francis alishalisema hilo.

Papa Francis asema hajui
 
Aya zako hazithibitishi kwamba mungu yupo

kiranga sio useme tu hazithibitishi ni bora useme haujui kama yupo au hayupo na sio kuconclude tu hayupo ndo nnacho kataa mimi..naweza kukuuliza kati ya haya upo upande gani..

1.Mungu yupo...
2.haijulikani mungu yupo au hayupo
3.mungu hayupo...

mimi nipo namba moja ww je..vithibitisho nitavitoa kulingana na mantiki,maono na ufafanuzi mwepesi...ww je unaweza kunipa vithibitisho vya jibu lako na viwe kwenye mantiki...

kuna mambo mawili,yakimaumbile na yakiroho...mambo yakimaumbile yanakasoro nyingi lkn mambo yakiroho yamekamilika

mambo yakimaumbile ni yamuda mfupi lkn ya kiroho ni ya milele..huwezi kumuelezea MUNGU kwa mambo yakimaumbile kwani yanakasoro nyingi nawala hayawezi kuelezea kitu kwa mantiki kamili...lkn mambo yakiroho yamekamilika nayanaweza kueleza kitu kwa mantiki kamili..na ndipo tunapo gundua kwamba kweli MUNGU yupo...

mnapo hitajikuzijua sifa za mwenyezi MUNGU zipo wazi nawala hapana mtu ataye weza kuzipinga kwa mantiki hata awe msomi waaje...lkn je sifa za MUNGU kutokuepo ni zipi na ninani atashindwa kuzipinga na zinamantiki gani.....

mwenyezi MUNGU anamamlaka yakufanya chochote apendacho ilijina lake liabudiwe...ndio aliye wapeleka waisrael utumwani na ndiye aliye watoa utumwani...kwaakili finyu zakina kiranga watauliza kwann MUNGU mwenye upendo awapeleke utumwani afu awatoe tena,MUNGU gani anajipinga..

huko sio kujipanga bali anadhuhilisha uwezo wake kwetu na mamlaka alionayo juu ya miili yetu...

ndiye aliye ruhusu magonjwa yawepo duniani na ndiye aliye wapa watu akili ya kuyatibu..sio kijipinga ni kudhihilisha uwezo wake kwetu....

ni kiasi gani mwenyezi MUNGU anatupenda,anatupenda mno tena sana hata na kiburi chetu hiki bado anatupenda...

alimuumba binadamu wakwanza akampa kila kitu na kuishi apendavyo yeye lkn wakati anataka kumpa binadamu maisha atakayo ishi....alimuekea miti miwili katikati ya bustani,mti wa uhai na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.na akamwambia kabisa ukila mti wa ujuzi wa mema na mabaya hakika utakufa kwa uhuru akamwachia achague na matokeo yake kwa kudanganywa akachagua alio katazwa...

lkn mwenyezi MUNGU alimlaani yule nyoka mdanganyifu,..na binadamu akawapa walicho chagua..lkn kwaupendo wake akahaidi kumpa binadamu kile alicho mkusudia uhai wa milele...

lkn kwa kupitia maisha haya ya mema na mabaya tuliochagua...uovu ulizidi sana duniani na kutaka kumfutilia mbali binadamu lkn kwaajili ya wachache alikibakiza kizazi cha binadamu,hapa hajapoteza sifa ya UMUNGU bali kaonesha sifa zake mbili kati ya nyingi alizo bazo..upendo,mamlaka..

na kwakudhihirisha uwepo wake alifanya tofauti na miungu yakibinadamu,kutabiri yajayo..hapa inaonesha uwezo wake na uwepo wake..na hapa ndipo hampaelewi..

alipo sema na manabii kawaambieni hiki kitatokea,na kweli kili tokea lkn pale alipo takakufanya jambo alilisema ntafanya hivi lkn mkifanya hivi sitalifanya hivo...ndivo alivoonesha uwezo wake..alipanga na kupangua..hakupoteza sifa yake ya UMUNGU lkn alionesha moja kati ya sifa zake MAMLAKA...

nadhani atleast nimekuelewesha......ntaendelea ukihitaji....

Ahsante
 
Ningependa kueleza jambo kuhusu hili suala la kuamini uwepo wa Mungu na kutokuamini uwepo wake.

Najua humu kuna ambao wanafuatilia huu mjadala lakini hawachangii. Wapo ambao wanatafuta ukweli kuhusu imani ya uwepo wa Mungu na pia wapo ambao wasioamini mungu lakini hawajizuii kwa kujifunza zaidi kuhusu haya masuala. Na pia wapo ambao hawaamini mungu na wametosheka kuamini hivyo wala hawataki kusikia chochote.

Wachangiaji wengi wa humu ambao hawaamini Mungu wao wanachokifanya ni kupinga hoja na kuuliza maswali tu, na maswali yenyewe wanayouliza ni yale ya kiubishi na si kwa kutaka kufahamu kuhusu imani ya Mungu. Hivyo wanauliza maswali ambayo wanaona kama utashindwa kujibu basi ionekane imani ya mungu ni ya uzushi si kweli,lakini endapo ukiwauliza wao swali ambao watakosa jibu lake basi watasema "hata kama sijui jibu la hilo swali haifanyi kuwa mungu yupo". Ila wewe ukishindwa kuwajibu ni tatizo.

Lakini maswali wanayouliza wao (ambayo ukishindwa kujibu au kutokujibu kama watakavyo ndiyo hufanya waseme imani ya mungu ni uzushi) ni maswali ambayo hata kama mungu angekuwa anaonekana yasingekuwa na maana. Sababu ni maswali ya kwanini mungu ameamua hivi na et kwanini asingeamua vile?

Sasa mie natoa mfano ambao utaonesha wanaoamini mungu wanasimamia upande gani na wasioamini mungu wanasimamia upande gani.

Suala la kuwepo na kutokuwepo kwa mungu, ni sawa na kuwepo kwa nyumba porini ambayo ni nzuri tu yenye umeme na kuna kila kitu ndani ambacho kinahitajika kuwepo.
Lakini hiyo nyumba hakuna aliyewahi kuona wakati ikijengwa na ni muda mrefu umepita haijawahi kuonekana mtu akiingia wala kutoka. Ktk hali hiyo kukawa na watu wenye kusema hiyo nyumba haina mwenyewe na wengine wakasema hiyo nyumba inayo mwenyewe.

*Katika huo mfano kuna watu husema hiyo nyumba ina mwenyewe,lakini hajawahi kuonekana huyo mwenyewe.
Na wengine husema hiyo nyumba haina mwenyewe,lakini nyumba ina kila kitu ndani na imejengwa vizuri tu na ina hadi umeme.

Hivyo hapo kila mtu anatakiwa aeleze kuhusu msimamo wake ktk hilo jambo. Kwahiyo ningependa kuwaambia wanaofuatilia huu mjadala, ufikirie huo mfano kwa makini halafu uamue wewe msimamo wako ni upi hapo.

1.Umeulizwa maswali ya msingi kabisa kubusu nature na motive ya huyo mungu unayemuamini kuwa yupo.

2. Umeshindwa kujibu maswali haya.

3. Kushindwa kwako kujibu maswali haya kunaonesha humuelewi mungu huyu katika mambo ya msingi kabisa.

4. Kutomuelewa mungu huyu katika mambo ya msingi kabisa kunatupeleka katika uwezekano mkubwa kabisa wa wewe kuamini katika kuwapo mungu asiyekuwapo.

5. Ili kutuondolea shaka kwamba unaamini katika mungu asiyepo, inabidi ujibu maswali uliyoulizwa.

6. Mpaka sasa hujajibu maswali haya na hivyo hujaondoa hoja ya kwamba mungu unauemuamini hayupo.

Thibitisha kwamba mungu yupo kimantiki.

Tueleze kimantiki kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Kwa niji mungu wa haki na upendo aachie watoto wachanga wasio na hatia wafe kwenye matetemeko ya ardhi na mafuriko wakati ma Nazi walioua maelfu kwa maelfu wakimbie kutoka Ujerumani na kwenda kustaafu na vifurushi vya dhahabu huko Argentina.

Huyu mungu alishindwa kuumba ulimwengu mzuri zaidi ya huu ambao mabaya hayawezekani?

Kama alishindwa, ni kweli anaweza yote?

Kama aliweza ila hakutaka tu, je, ni kweli anatupenda?
 
Aisee!,sikia ndugu kiukweli unajichanganya kwa jinsi unavojieleza labda kama hujui Kiranga anachomaanisha,nhoja nami nikupe darasa maana ni kazi yetu,

Ikiwa mungu wako anaamua jambo fulani baada ya kuona watu wamekosa kumtii basi unampunguzia sifa ya kujua yajayo!,kwa sababu ikiwa anajua yajayo hawezi toa adhabu baada ya kuona kosa!,kuna baadhi ya mistari katika vitabu vyenu mnavyoviita vitakatifu inampunguzia sifa ya huyo mnayedhani yupo,.,HAKUNA mungu anayepata hasira,huzuni ,ghadhabu na manung'uniko .Ikiwa kuna mungu wa aina hiyo basi hana sifa ya kujua yajayo kwa maana ili ukasirike lazima upate habar mpya.

This is too low ndugu,inamaana mungu hajui kwamba kuna watoto hapo ambao hawana hatia?.Lakini mbona ni kawaida yake huyo mungu wenu kwan hukumbuki alikuwa akiwatuma wale mnaowaita taifa teule waue kila kitu njian on their way back.

Kwa nn kufa iwe lazima?kufa maana yake nini katika imani zenu?kifo si ni adhabu kwa vitabu vyenu?,

Aisee !!

Baada ya kufa ndiyo yanafanywa mahesabu ya mtu,yapi mazuri na yapi mabaya.

Hizi zote ninhadihi hakuna ukweli wowote,..thibitisha kwamba mungu yupo.[/QUOTE]

Kupinga ni jambo rahisi sana.

Nimejaribu kujibu maswali yenu hadi mmefikia na kubaki na maswali ya kwanini imekuwa hivi kwanini isingekuwa vile. Sasa tujielekeze kwn mfano niliyotoa ili wote tuweze kuelezea kile tunachnkiamini na kukielewa,na si mmoja kupinga hoja za mwenzie kwa kumuuliza maswali tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom