nijothemaster
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 324
- 56
Unafahamu maana ya uthibitisho kwamba mungu yupo?
Kusema mwenyezi mungu ni mwanzo na mwisho si uthibitisho kwamba yupo, kwa sababu kama issue ni kisema tu, mwingine anaweza kusema opposite na wewe ukivyosema. Kwanza mwenyezi mungu hawezi kuwa mwanzo na mwisho kabla hujathibitisha kwamba yupo.
Kwanza thibitisha yupo, ukighibitisha unaweza kuanza kusema ni mwanzo na mwisho au vipi.
Mimi kutokujua fakika mbili mbele hakuthibitishi kuwepo kwa mungu, in logic they call that kind of reasoning "non sequitur". Kiingereza wanasema "It doesn't follow". It doesn't follow logically jwamba kwa sababu aijui dakika mbili zijazo zitakuwaje, basi mungu yupo.
Unaweka vipi uhusiano kati ya mimi kutokujua dakika mbili zijazo zitakuwaje na uwepo wa mungu?
Kwa jibsi ulivyounganisha mambo mawili yasiyohusiana, you might as well tell me kwamba sijui njia ya kutoka Kivukoni mpaka Mwenge kwa sababu sijui square root ya mbili. Viwili hivi vinahusiaje?
Nishakwambia siko interested na imani. Sojui kwa nini unaendelea kujikita kwenye imani.
Thread imeuliza kuhusu ushahidi. Imani haitaki ishahidi. Imani ni kukunali kitu kabla ya kupata ushahidi. Mbina unachanganya madawa? Unataka kujikita kwenye mambo ya imani katika thread inayotaka ushahidi?
Hujatoa uthibitisho kwamba mungu wako yupo.
Hujanieleza imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, vitoto vidogo vinakufa kwenye mafuriko, matetemeko, magonjwa yasiyo tiba kama UKIMWI, matetemeko ya ardhi etc etc, wakati alikuwa ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
husinambie kwamba hujui uthibitisho au ushaidi ninini...mtu anapotoa ushaidi wajambo fulani kinacho fata nini kama sio kuamini au kuchunguza..mtu anapo kupa uthibitisho wajambo fulani kinacho fata nini kama sio kuamini au kuchunguza kwanza...
kwenye swala la ushaidi au uthibitisho huwezi kuacha kitu imani...hivo unapo ng'ang'ania uthibitisho nakati unaimani yako tayar...hakuna binadamu anaye ishi bila imani...kujiamini pia ni imani...
ndomana nkasema ww ndo unatoka nje ya thread,unapewa vithibitisho unavikataa kwa imani yako..afu unataka mtu aelezee bila imani wakati ww unapinga kwa imani...ungekua na ww unapinga kwa vithibitisho basi hapo hapo ndo ungekua ndani ya thread yako....
hilo swali la mwisho tusha lijibu sana sema imani yako hisiyo na vithibitisho ndo haielewi...
Ahsante...