COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Kwa nini mungu aruhusu watoto zeruzeru wakatwe viungo vyao vya mwili na kupewa vilema vya maisha huku wengine wakiuliwa kabisa kisa tu eti kuna watu wenye imani ya kwamba vipande vya miili ya hao watu wenye ulemavu wa ngozi sijui huleta utajiri...(halafu, kama hiyo imani ingekuwa ni ya kweli basi hao zeruzeru si ndo wangekuwa matajiri wakubwa sana hapa duniani...?)

Kwanza, kwa nini hata huyo mungu aruhusu kuwepo na watu wenye ulemavu wa ngozi? Kama anajua huo ulemavu wao wa ngozi utawaletea kila aina ya madhila hapa duniani kwa nini asiliepushe hilo tokea mwanzo?

Yeye si ni muweza wa yote? Yeye si ndo muumba wetu? Sasa kwa nini wengine awaumbe na kasoro zitakazokuja kuwaletea shida chungu nzima hapa duniani?

Kwa kweli hizi habari za uwepo wa mungu pamoja na uwezo wake ukizipitisha kwenye jaribio la kimantiki zinafeli vibaya mno!

Zinafeli vibaya mno.

Tatizo watu washakunywa maji ya dini mengi sana hawawezi kukubali ukweli. Na hata wakiujua wana cognitive dissonance inayoweza kutunga sababu zozote za kipuuzi kama "mtihani" ilu kutetea uongo.

Mungu mwenye kujua yote anahitaji mtihani kwa nini?

Na kama matatizo ni mtihani kweli mbona wengine wanakufa tumboni kabla hata ya kupata nafasi ya kutahinuwa, huju wengine wakifa wachanga.

Hata hilo baraza la mitihani lingekuwa linachagua watu randomly na kusema wewe una namba ya mtihani lakini hutafanya mtihani watu wasingeelewa, sembuse mungu mwenye haki zote, uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
 
Kwa nini mungu wa haki awape wengine mtihani, na wengine asiwape hata nafasi ya kufanya mtihani kwa kuwaua wakiwa wachanga?

Wakati kama kweli nia yake ni kutupa mtihani angeweza kuwapa wote nafasi ya kufanya mtihani.

Pia hujaelezea kwa nini mungu mjuzi wa yote ahitaji mtihani in the first place. Na kwa nini anauhitaji sana kiasi cha kukubali mtihani ufanywe kwa maovu makubwa kuwapata viumbe wake ambao anawapenda.

Kama mungu kweli nia yake ni kutoa mtihani tu, alishindwa kutoa mtihani katika mazuri na mazuri zaidi?

Ilimlazimu kuwa na matetemeko ya ardhi na magonjwa mabaya kabisa, vita na njaa, ili kuwa na mtihani?

Huyu mungu mbona anaonekana kama anapenda sana kutesa viumbe wake wakati alikuwa na kila uwezo wa kuumba ulimwengu usio na mateso?

Kwa nini kauuumba ulimwengu wenye mateso?

Jibu la mtihani halitoshi kwa sababu angeweza kutoa mtihani bila maovu na mateso.

Hujajibu swali.

Kupinga ni jambo rahisi sana.

Nimejaribu kujibu maswali yenu hadi mmefikia na kubaki na maswali ya kwanini imekuwa hivi kwanini isingekuwa vile. Sasa tujielekeze kwn mfano niliyotoa ili wote tuweze kuelezea kile tunachnkiamini na kukielewa,na si mmoja kupinga hoja za mwenzie kwa kumuuliza maswali tu.
 
Papa Francis alishalisema hilo.

Papa Francis asema hajui

Papa Francis kama mwanatheolojia anajua hili swali si la kitoto.

Wamejaribu kujibu tangu enzi za St.Augustine na Anselm, na halijapata jibu mpaka leo.

Mtu yeyote aliyesoma the classic arguments in the nature of god atajua hilo.

Kwa hiyo Papa analojua hilinswali, kasoma theolojua, kajua hakuna jibu la kusleweka kwenye swali hili, kasema ukweli wake kwamba hajui jibu.

Sasa hapa utakutana na watu ambao hata hawamjui Andelm au St. Augustine ni nani, wafajifanya kwamba biblia ina majibu ya swali hili.
 
kiranga sio useme tu hazithibitishi ni bora useme haujui kama yupo au hayupo na sio kuconclude tu hayupo ndo nnacho kataa mimi..naweza kukuuliza kati ya haya upo upande gani..

1.Mungu yupo...
2.haijulikani mungu yupo au hayupo
3.mungu hayupo...

mimi nipo namba moja ww je..vithibitisho nitavitoa kulingana na mantiki,maono na ufafanuzi mwepesi...ww je unaweza kunipa vithibitisho vya jibu lako na viwe kwenye mantiki...

kuna mambo mawili,yakimaumbile na yakiroho...mambo yakimaumbile yanakasoro nyingi lkn mambo yakiroho yamekamilika

mambo yakimaumbile ni yamuda mfupi lkn ya kiroho ni ya milele..huwezi kumuelezea MUNGU kwa mambo yakimaumbile kwani yanakasoro nyingi nawala hayawezi kuelezea kitu kwa mantiki kamili...lkn mambo yakiroho yamekamilika nayanaweza kueleza kitu kwa mantiki kamili..na ndipo tunapo gundua kwamba kweli MUNGU yupo...

mnapo hitajikuzijua sifa za mwenyezi MUNGU zipo wazi nawala hapana mtu ataye weza kuzipinga kwa mantiki hata awe msomi waaje...lkn je sifa za MUNGU kutokuepo ni zipi na ninani atashindwa kuzipinga na zinamantiki gani.....

mwenyezi MUNGU anamamlaka yakufanya chochote apendacho ilijina lake liabudiwe...ndio aliye wapeleka waisrael utumwani na ndiye aliye watoa utumwani...kwaakili finyu zakina kiranga watauliza kwann MUNGU mwenye upendo awapeleke utumwani afu awatoe tena,MUNGU gani anajipinga..

huko sio kujipanga bali anadhuhilisha uwezo wake kwetu na mamlaka alionayo juu ya miili yetu...

ndiye aliye ruhusu magonjwa yawepo duniani na ndiye aliye wapa watu akili ya kuyatibu..sio kijipinga ni kudhihilisha uwezo wake kwetu....

ni kiasi gani mwenyezi MUNGU anatupenda,anatupenda mno tena sana hata na kiburi chetu hiki bado anatupenda...

alimuumba binadamu wakwanza akampa kila kitu na kuishi apendavyo yeye lkn wakati anataka kumpa binadamu maisha atakayo ishi....alimuekea miti miwili katikati ya bustani,mti wa uhai na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.na akamwambia kabisa ukila mti wa ujuzi wa mema na mabaya hakika utakufa kwa uhuru akamwachia achague na matokeo yake kwa kudanganywa akachagua alio katazwa...

lkn mwenyezi MUNGU alimlaani yule nyoka mdanganyifu,..na binadamu akawapa walicho chagua..lkn kwaupendo wake akahaidi kumpa binadamu kile alicho mkusudia uhai wa milele...

lkn kwa kupitia maisha haya ya mema na mabaya tuliochagua...uovu ulizidi sana duniani na kutaka kumfutilia mbali binadamu lkn kwaajili ya wachache alikibakiza kizazi cha binadamu,hapa hajapoteza sifa ya UMUNGU bali kaonesha sifa zake mbili kati ya nyingi alizo bazo..upendo,mamlaka..

na kwakudhihirisha uwepo wake alifanya tofauti na miungu yakibinadamu,kutabiri yajayo..hapa inaonesha uwezo wake na uwepo wake..na hapa ndipo hampaelewi..

alipo sema na manabii kawaambieni hiki kitatokea,na kweli kili tokea lkn pale alipo takakufanya jambo alilisema ntafanya hivi lkn mkifanya hivi sitalifanya hivo...ndivo alivoonesha uwezo wake..alipanga na kupangua..hakupoteza sifa yake ya UMUNGU lkn alionesha moja kati ya sifa zake MAMLAKA...

nadhani atleast nimekuelewesha......ntaendelea ukihitaji....

Ahsante

Naweza kusema mungu wenu hayupo kama ninavyoweza kisema pembetatu duara haipo katika Euclidean geometry.

Vyote viwili vina an inherent contradiction, they require two mutually exclusive conditions to take place at the same time.

Huwezi kuwa na pembetatu duara kwa sababu pembetatu si duara na duara si pembetatu. Ili kitu kiwe pembetatu inabidi kisiwe duara, na ili kitu kiwe duara inabidi kisiwe pembetatu.

Mungu wenu naye ni hivyo hivyo, ypande mmoja ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (pembetatu) upande mwingine mnasema kaumba ulimwengu huu unaoruhusu kuwepo kwa mabaya (duara).

Mnapotuambia kuna mungu mwenye uwezo wote, unuzi wote na uoendo wote kaumba ulimwengu huu unaoruhusu mabaya kuwepo, ni sawa na mtu anayetuambia kwamba kuna pembetatu duara.

Anaweza kusema na hata kuifikiria pembetatu duara, lakini hilo halimaanishi ipo.

Mnaweza kumsema na kumfikiria huyo mungu, lakini hilo halimaanishi yupo.
 
1.Umeulizwa maswali ya msingi kabisa kubusu nature na motive ya huyo mungu unayenuamini kuwa yupo.

2. Umeshindwa kujibu maswali haya.

3. Kushindwa kwamo kunibu maswali haya kunaonesha humuelewi mungu huyu katika mambo ya msingi kabisa.

4. Kutomuelewa mungu huyu katika mambo ya maingi kabisa kinatupeleka katika uwezekano mkubwa kabisa wa wewe kuamini katika kuwapo mungu asiyekuwapo.

5. Ili kutuondolea shaka kwamba unaamini katika mungu asiyepo, inabidi ujibu maswali uliyoulizwa.

6. Mpaka sasa hujajibu maswali haya na hivyo hujaondoa hoja ya kwamba mungu unauemuamini hayupo.

Thibitisha kwamba mungu yupo kimantiki.

Tueleze kimantiki kwa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Kwa niji mungu wa haki na upendo aachie watoto wachanga wasio na hatia wafe kwenye matetemeko ya ardhi na mafuriko wakati ma Nazi walioua maelfu kwa maelfu wakimbie kutoka Ujerumani na kwenda kustaafu na vifurushi vya dhahabu huko Argentina.

Huyu mungu alishindwa kuumba ulimwengu mzuri zaidi ya huu ambao mabaya hayawezekani?

Kama alishindwa, ni kweli anaweza yote?

Kama aliweza ila hakutaka tu, je, ni kweli anatupenda?

Kama msingi wa imani yako ni maswali basi mie siwezi kukuzuia endelea. Ila sasa sitajibu tena maswali yenu nje ya huo mfano niliyotoa.

Japo kuna maswali na ambayo hamuwezi kuyajibu na kuna hoja za wazi kabisa, lakini inabaki kuwa suala la Mungu ni la kuamini. Kama mtu anataka akumkubali Mungu kwa kuondoa kabisa suala la imani basi huyo atasubiri sana.
 
Kupinga ni jambo rahisi sana.

Nimejaribu kujibu maswali yenu hadi mmefikia na kubaki na maswali ya kwanini imekuwa hivi kwanini isingekuwa vile. Sasa tujielekeze kwn mfano niliyotoa ili wote tuweze kuelezea kile tunachnkiamini na kukielewa,na si mmoja kupinga hoja za mwenzie kwa kumuuliza maswali tu.

Ninachoelewa ni kwamba.

1. Watu bado hatujajua chanzo cha ulimwengu na mwanadamu, tunakitafuta bado.

2. Hata kama hatujajua chanzo cha ulimwengu na tunakitafuta bado, kuna habari fulani tunaweza kuzikataa kwa kutumia akili tu. Mtu akisema ulimwengu uliumbwa na funza aliye kwenye kidole cha babu yake bula uthibitisho wala mantiki tutamuona ana haki ya kuamini hivyo, lakini hiyo habari si kweli.

3. Kutokujua jibu sahihi lakini kujua jibu la uongo ni sawa na kutokujua jibu la square root ya mbili lakini kunua kwamba square root ya mbili ni ndogo kuliko mbili, kwa hiyo mtu akikuambia square root ya mbili ni nane, hata bula kujua square root ya mbili ni nini, utajua hilo jibu la nane si sawa, kwa sababu nane ni kubwa kuliko mbili. Ingawa hujui jibu sahihi, unajua jibu sahihi lipo upande gani wa mbili.

4. Jibu lenu la kwamba kuna mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote aliyeumba ulimwenfu huu na vilivyomo ni sawa na jibu la kusema square root of two is eight. Hata kama sijui ulimwengu ukianzaje na bunadamu katokeaje, hiki jubu lenu najua si sahihi, kwa sababu lipo kwenye the wrong side of logic.

5. Mpaka sasa auo tu hamjajibu maswaki ya logic. Bali hata wasomi wa theolojia wa hiyo dini yenu kama Papa Francis waneshindwa kujibu kama alivyotuonesha Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Naweza kusema mungu wenu hayupo kama ninavyoweza kisema pembetatu duara haipo katika Euclidean geometry.

Vyote viwili vina an inherent contradiction, they require two mutually exclusive conditions to take place at the same time.

Huwezi kuwa na pembetatu duara kwa sababu pembetatu si duara na duara si pembetatu. Ili kitu kiwe pembetatu inabidi kisiwe duara, na ili kitu kiwe duara inabidi kisiwe pembetatu.

Mungu wenu naye ni hivyo hivyo, ypande mmoja ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (pembetatu) upande mwingine mnasema kaumba ulimwengu huu unaoruhusu kuwepo kwa mabaya (duara).

Mnapotuambia kuna mungu mwenye uwezo wote, unuzi wote na uoendo wote kaumba ulimwengu huu unaoruhusu mabaya kuwepo, ni sawa na mtu anayetuambia kwamba kuna pembetatu duara.

Anaweza kusema na hata kuifikiria pembetatu duara, lakini hilo halimaanishi ipo.

Mnaweza kumsema na kumfikiria huyo mungu, lakini hilo halimaanishi yupo.

pembetatu haiwezi kua duara ndio,sababu haviingiliani.....je uwezo hauwezi kuingiliana na uumbaji wa dunia yenye mabaya..jaribu kua namantiki please....manake umetoa mfano pembetatu(uwezo) duara(uumbaji wa mabaya)....kwahyo kwaakili yako uwezo hauwezi kuumba mabaya..?
 
Ninachoelewa ni kwamba.

1. Watu bado hatujajua chanzo cha ulimwengu na mwanadamu, tunakitafuta bado.

2. Hata kama hatujajua chanzo cha ulimwengu na tunakitafuta bado, kuna habari fulani tunaweza kuzikataa kwa kutumia akili tu. Mtu akisema ulimwengu uliumbwa na funza aliye kwenye kidole cha babu yake bula uthibitisho wala mantiki tutamuona ana haki ya kuamini hivyo, lakini hiyo habari si kweli.

3. Kutokujua jibu sahihi lakini kujua jibu la uongo ni sawa na kutokujua jibu la square root ya mbili lakini kunua kwamba square root ya mbili ni ndogo kuliko mbili, kwa hiyo mtu akikuambia square root ya mbili ni nane, hata bula kujua square root ya mbili ni nini, utajua hilo jibu la nane si sawa, kwa sababu nane ni kubwa kuliko mbili. Ingawa hujui jibu sahihi, unajua jibu sahihi lipo upande gani wa mbili.

4. Jibu lenu la kwamba kuna mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote aliyeumba ulimwenfu huu na vilivyomo ni sawa na jibu la kusema square root of two is eight. Hata kama sijui ulimwengu ukianzaje na bunadamu katokeaje, hiki jubu lenu najua si sahihi, kwa sababu lipo kwenye the wrong side of logic.

5. Mpaka sasa auo tu hamjajibu maswaki ya logic. Bali hata wasomi wa theolojia wa hiyo dini yenu kama Papa Francis waneshindwa kujibu kama alivyotuonesha Nyani Ngabu

Nani mwenye kukitafuta hicho chanzo na amefikia wapi hadi sasa?

Ikiwa unaamini hakuna mungu japo unakubali mapungufu ya kama kutokujua chanzo cha ulimwengu na binadamu lakini bado umeshikilia imani ,sasa mbona imani ya mungu ambayo kwenu mmeona inamapungufu mmeikataa jumlajumja japo kuna mambo ambayo hamuwezi kuyakataa?
 
Last edited by a moderator:
Kama msingi wa imani yako ni maswali basi mie siwezi kukuzuia endelea. Ila sasa sitajibu tena maswali yenu nje ya huo mfano niliyotoa.

Japo kuna maswali na ambayo hamuwezi kuyajibu na kuna hoja za wazi kabisa, lakini inabaki kuwa suala la Mungu ni la kuamini. Kama mtu anataka akumkubali Mungu kwa kuondoa kabisa suala la imani basi huyo atasubiri sana.

Kuna imani inayopatikana bila maswali?
 
pembetatu haiwezi kua duara ndio,sababu haviingiliani.....je uwezo hauwezi kuingiliana na uumbaji wa dunia yenye mabaya..jaribu kua namantiki please....manake umetoa mfano pembetatu(uwezo) duara(uumbaji wa mabaya)....kwahyo kwaakili yako uwezo hauwezi kuumba mabaya..?

Kwa nini umetaja iwezo peke yake wakati mimi kila nikitaja uwezo nataja na ujuzi na upendo?

Unaelewa maana ya mimi kutaja "uwezo wote, ujuzi wite na upendo wote" kila ninapoandika na nisiseme tu "uwezo wote" ?

Swali langu haliishii kwenye uwezo, nimekuuliza kwa nini mungu mwenye uwezo wote, unuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unaruhusu mabaya wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?

Wewe umeacha ujuzi wote na upendo wote, unajibu kuhusu uwezo tu.

Hujajibu kwa nini mungu mwenye upendo wote aumbe ulimwengu ambao viumbe wake watateseka wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya na mateso hayawezekani?

Hata baba wa kininadamu tu ambaye ana uwezo na upendo wa kibinadamu wa kuwalisha wanawe akiwaacha na njaa tutamshangaa, sembuse mungu mwenye upendo wote?
 
Nani mwenye kukitafuta hicho chanzo na amefikia wapi hadi sasa?

Ikiwa unaamini hakuna mungu japo unakubali mapungufu ya kama kutokujua chanzo cha ulimwengu na binadamu lakini bado umeshikilia imani ,sasa mbona imani ya mungu ambayo kwenu mmeona inamapungufu mmeikataa jumlajumja japo kuna mambo ambayo hamuwezi kuyakataa?

Swali lako kama unajua kusoma na kufikiri ungeshaona jibu lake katika ulichonukuu.

Tatizo hujui kusoma wala kufikiri.

Unaniuliza kwa nini nimekataa nane si square root ya mbili wakati nishakwambua square root ya mbili ni lazima iwe ndogo kuliko mbili?
 
Kwa nini umetaja iwezo peke yake wakati mimi kila nikitaja uwezo nataja na ujuzi na upendo?

Unaelewa maana ya mimi kutaja "uwezo wote, ujuzi wite na upendo wote" kila ninapoandika na nisiseme tu "uwezo wote" ?

Swali langu haliishii kwenye uwezo, nimekuuliza kwa nini mungu mwenye uwezo wote, unuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unaruhusu mabaya wakati ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?

Wewe umeacha ujuzi wote na upendo wote, unajibu kuhusu uwezo tu.

Hujajibu kwa nini mungu mwenye upendo wote aumbe ulimwengu ambao viumbe wake watateseka wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya na mateso hayawezekani?

Hata baba wa kininadamu tu ambaye ana uwezo na upendo wa kibinadamu wa kuwalisha wanawe akiwaacha na njaa tutamshangaa, sembuse mungu mwenye upendo wote?

haya basi MUNGU mwenye uwezo wote,ujuzi wote,upendo wote anashindwa kuumba ulimwengu wenye mabaya?...NDIO au HAPANA....

mfano wa MUNGU kama baba wakibinadamu alishautoa....yule tajiri aliye wapa wanawe malizake..lkn mtoto mmoja alienda nakuzitumia vibaya malizake na kufilisika, baada ya kuishi mtaani kwatabu ilibidi arudi kwa baba yake kuomba msamaha japo awe kijakazi,lkn baba yake alimkaribisha kwa furaha na kumpa matunzo tena kama mwana..

kwa mantiki hiyo,yule mwanae akati anateseka kule mtaani wakati baba yake tajir ilipaswa baba yake kujadiliwa kwann hamjali mwanae.....?

ni baba gani anaye mchekea mwanaye akikosea,ni mtoto gani ataye mshtumu baba yake kumzaa kilema....ni baba gani asiye na maamuzi kiranga...

yy hufanya chochote atakacho,sababu yy ndiye aliyekuumba ana mamlaka kamili juu yako..kama aliruhusu mabaya yawepo duniani,na akakuumba ww kiranga usipate baya hata moja mpka unakufa uwezo huo anao....ulimwengu unavimbunga,mafuriko nakila kitu kibaya lkn sizani kama ushavexperience vngine...na unaweza mpka ukafa yasikuoate hayo...kwann udandie kushtaki kesi za wengine...hayo ndo makusudi take...

unapaswa kuelewa,kuna watakao kufa na ambao hawatakufa...kwahyo unataka kuandamana kwann wengne hawatakufa...au kwann wengine wanapendelewa..je hii sio sifa ya shetani unayo takakufanya....

tafakari kwa umakini kiranga
 
Swali lako kama unajua kusoma na kufikiri ungeshaona jibu lake katika ulichonukuu.

Tatizo hujui kusoma wala kufikiri.

Unaniuliza kwa nini nimekataa nane si square root ya mbili wakati nishakwambua square root ya mbili ni lazima iwe ndogo kuliko mbili?

Sawa sijui kufikiri,haya nioneshe hilo jibu mie nisiejua kufikiri.
 
haya basi MUNGU mwenye uwezo wote,ujuzi wote,upendo wote anashindwa kuumba ulimwengu wenye mabaya?...NDIO au HAPANA....

mfano wa MUNGU kama baba wakibinadamu alishautoa....yule tajiri aliye wapa wanawe malizake..lkn mtoto mmoja alienda nakuzitumia vibaya malizake na kufilisika, baada ya kuishi mtaani kwatabu ilibidi arudi kwa baba yake kuomba msamaha japo awe kijakazi,lkn baba yake alimkaribisha kwa furaha na kumpa matunzo tena kama mwana..

kwa mantiki hiyo,yule mwanae akati anateseka kule mtaani wakati baba yake tajir ilipaswa baba yake kujadiliwa kwann hamjali mwanae.....?

ni baba gani anaye mchekea mwanaye akikosea,ni mtoto gani ataye mshtumu baba yake kumzaa kilema....ni baba gani asiye na maamuzi kiranga...

yy hufanya chochote atakacho,sababu yy ndiye aliyekuumba ana mamlaka kamili juu yako..kama aliruhusu mabaya yawepo duniani,na akakuumba ww kiranga usipate baya hata moja mpka unakufa uwezo huo anao....ulimwengu unavimbunga,mafuriko nakila kitu kibaya lkn sizani kama ushavexperience vngine...na unaweza mpka ukafa yasikuoate hayo...kwann udandie kushtaki kesi za wengine...hayo ndo makusudi take...

unapaswa kuelewa,kuna watakao kufa na ambao hawatakufa...kwahyo unataka kuandamana kwann wengne hawatakufa...au kwann wengine wanapendelewa..je hii sio sifa ya shetani unayo takakufanya....

tafakari kwa umakini kiranga

Hiyo tajiri unayemsema alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Mfano wangu wa baba wa kibinadamu umeusoma vizuri au umekurupuka tu?

Bado hujajibu swali.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu wenye kuwezekana vimbunga na matetemeko, vita na njaa, magonjwa na shida nyingi sana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya?
 
I am afraid I am dealing with a very weak kind of reasoning.

Mtu ananiuliza nitadandiaje kesi za wengine wakati hata hanijui na hivyo hana jinsi ya kujua kama nishapatwa na mafuriko au matetemeko etc.
 
Sawa sijui kufikiri,haya nioneshe hilo jibu mie nisiejua kufikiri.

Unauliza kuoneshwa jibu katika post iliyonukuu ulivyooneshwa jibu.

Sio tu hujui kufikiri, hata ukioneshwa ni kwa vipi hujui kufikiri bado huelewi.
 
Unauliza kuoneshwa jibu katika post iliyonukuu ulivyooneshwa jibu.

Sio tu hujui kufikiri, hata ukioneshwa ni kwa vipi hujui kufikiri bado huelewi.

Huyo mzoee tu ndivyo alivyo huwa anauliza asichokijua halafu anasahau kauliza nini na kajibu nn
 
Huyo mzoee tu ndivyo alivyo huwa anauliza asichokijua halafu anasahau kauliza nini na kajibu nn

huyo ni ishmael kaja na ID nyingine mzee wa kujitoa ufaham!!! anabisha tu kama ubishan wa mpira hata timu ikiwa mbovu unaibishia tu ila dawa zinamuingia make no mistake!!!
 
Unauliza kuoneshwa jibu katika post iliyonukuu ulivyooneshwa jibu.

Sio tu hujui kufikiri, hata ukioneshwa ni kwa vipi hujui kufikiri bado huelewi.

Jibu maswali mkuu,tatizo lenu hamtaki kuulizwa maswali mnapenda nyie tu muulize maswali.
 
Jibu maswali mkuu,tatizo lenu hamtaki kuulizwa maswali mnapenda nyie tu muulize maswali.

Nijibu swali gani ambalo sijalijibu?

Suala hapa siyo mimi kujibu maswali, najibu maswali, unanukuu jibu na kunitaka nijibu swali ambalo jibu lake umelinukuu.

Suala hapa ni, nikikujibu maswali una uwezo wa kulielewa jibu?
 
Back
Top Bottom