TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

Kipindi cha vita ya iraq humkosi kwenye headlines za cnn pamoja na mwanaye bush jr
Rip gen
 
Pokeeni ukweli huo alichanja na amefariki. Kufa kupo tu umechanja hujachanja when it's time to go you shuffle off this mortal coil sasa mnaleta maelezo mengi alikuwa na kansa na nini kwani wengine waliofariki mnaowachafua hua mnajua magonjwa yao mengine si hua mnang'ang'ana na koona tu ili mfurahishe genge...
Teh teh teh povu jingi sana hili,ni aibu mungu wenu Kayafa kufa kwa covid19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mtu muovu sana huyu... amesababisha watu wengi wa Iraq wafe kwa propaganda zake za uongo. May he rot in hell!!!
 
Huyu mwamba ameumaliza mwendo.

IMG_20211019_072032_750.jpg


Ama kwa hakika inawezekana kuumaliza mwendo na watu zaidi ya wanaokuzunguka wakaumia roho badala ya kushangilia.

Colin Powell, RIP | USSA News | The Tea Party's Front Page Politics, US News

Tunayo ya kujifunza kutokea katika maisha ya gwiji huyu hasa ninyi mnaobeba dhamana za ulinzi wa mali na maisha.

Apumzike kwa amani Colin Powell.
 
Huyu umbwa alijua ataishi milele Mungu amlaze mahali pema motoni aameen[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom