raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kipindi cha vita ya iraq humkosi kwenye headlines za cnn pamoja na mwanaye bush jr
Rip gen
Rip gen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh povu jingi sana hili,ni aibu mungu wenu Kayafa kufa kwa covid19Pokeeni ukweli huo alichanja na amefariki. Kufa kupo tu umechanja hujachanja when it's time to go you shuffle off this mortal coil sasa mnaleta maelezo mengi alikuwa na kansa na nini kwani wengine waliofariki mnaowachafua hua mnajua magonjwa yao mengine si hua mnang'ang'ana na koona tu ili mfurahishe genge...
MulatoHuyo ni mweusi???mhhh
Alikuwa busy na hivyo kwenye avatar yako ndio maana kachelewa.Habari ya jana wewe ndio unaileta leo? Umechelewa na hili siyo jukwaa lake.
Habari ya jana wewe ndio unaileta leo? Umechelewa na hili siyo jukwaa lake.
hivi siraha alizotumia Sadam kuivia na kuipiga iran siku ya ibada zilikuwa nini,et?Mwishowe silaha za nyuklia zikawa hazipo,daaah na marekani wanavyojua kuomba msamaha...
🤣🤣🤣Huyu umbwa alijua ataishi milele Mungu amlaze mahali pema motoni aameen[emoji120][emoji120][emoji120]
AhahahahahVaccinated and died,!!!
Amani ipi [emoji16] kasababisha maelfu ya watu kufa na ulemavu ataenda kulipa alichokichuma mbwa huyuApumzike Kwa Amani
Aende akajisifie huko kwa Mungu kuwa niliwababisha maelfu ya watu kufa[emoji16], kipigo kinamsubiri kumamakeOne of the greatest US Army Generals...RIP!
Amani ipi hio mkuu, kama kasababisha maefu ya innocent people kufa hukumu inamsubiri mbwa huyu maana viburi vya pumzi vinawadanganya sana eeeApumzike kwa Amani