Tea Party
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 658
- 1,133
Waambie jamaa wa aina ya mtoa mada wanakera ile mbaya kuigaza kwake Kama mwanamke wewe inakukera Nini Kama anapata ugali wa kill siku kupitia hiyo style we ninani mpaka umpangie.Neno ushoga limewakaa kichwani mpaka wanashindwa kufikiri.
Mkuu Hawa wanatafuta Public Support tu mkuu hawana lolote. Ni wivu na kujifanya wao ndo wanayajua Sana Maisha.
Mawazo ya ajabu ajabu Sana ndo yametawala kwenye Vichwa Vyao.