Comedians mnafeli wapi?

Comedians mnafeli wapi?

Waambie jamaa wa aina ya mtoa mada wanakera ile mbaya kuigaza kwake Kama mwanamke wewe inakukera Nini Kama anapata ugali wa kill siku kupitia hiyo style we ninani mpaka umpangie.Neno ushoga limewakaa kichwani mpaka wanashindwa kufikiri.

Mkuu Hawa wanatafuta Public Support tu mkuu hawana lolote. Ni wivu na kujifanya wao ndo wanayajua Sana Maisha.
Mawazo ya ajabu ajabu Sana ndo yametawala kwenye Vichwa Vyao.
 
Mimi sasa hivi siwezi kuangalia comedy ya mtu kajipaka makeup awe wa kike..
Joti mwenyewe nilikua namkubali lakini naona kama umri umemtupa na kipaji kimepotea.. yanai anaforce kuchekesha na mamakeup yake..
Katika watanzania 10, 9 Ni wachawi... Bahati mbaya na wewe Ni sehemu ya hao 9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule dogo anaitwa Dulavan anapenda sana udada, very soon watamtoboa ugali

Mwingine huyu. Inaonekana unawazaga Sana kuhusu hizo mambo na ndo maana unajifanya unachukia hapa. Punguza mawazo machafu kichwani mwako. Anza kuadopt vitu vingine ili uache kufikiria kumtoboa mwanaume mwenzio.

Pathetic.
 
Nashindwa nikujibu vipi

Kama umesoma O level, kwenye somo la kiswahili, topic FASIHI , wameeleza kila kitu, kuhusu vichekesho,

Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaongelea fasihi ya form two kumbe mkuu, mi nikadhani unauelewa mkubwa kuhusu alichokiandika jamaa, sasa kama wote wakiigiza ukike inamaana kuwa fasihi unayoizungumzia wewe ina portray content za wanawake tu?
Au uniqueness ya msanii mmoja na mwingine ni IPI, au akina Charlie champilin na Mr Bean sio wanafasihi?
 
Mwingine huyu. Inaonekana unawazaga Sana kuhusu hizo mambo na ndo maana unajifanya unachukia hapa. Punguza mawazo machafu kichwani mwako. Anza kuadopt vitu vingine ili uache kufikiria kumtoboa mwanaume mwenzio.

Pathetic.
Bora uwe masikini wa fedha kuliko kuwa masikini wa kifikra huyo jamaa ana umasikini wa kifikra ndo maana anawaza mambo mabaya huyo Hana tofauti na wale ambao ukiwa tajili basi wewe Freemason au una uza madawa ya kulevya
 
Maisha yanaitaji akili sana; ukiishiwa chakula hakuna wa kukuletea chakula,ukiugua hakuna wa kukutibu bure
 
Unaongelea fasihi ya form two kumbe mkuu, mi nikadhani unauelewa mkubwa kuhusu alichokiandika jamaa, sasa kama wote wakiigiza ukike inamaana kuwa fasihi unayoizungumzia wewe ina portray content za wanawake tu?
Au uniqueness ya msanii mmoja na mwingine ni IPI, au akina Charlie champilin na Mr Bean sio wanafasihi?

Mkuu Ngoja nikusaidie. Hiyo inaitwa Parodying. Hata Mr Bean Alishafanya sikumbuki tu ni movie gani na atafanya Tena kama Scene ikimuhitaji kufanya hivyo. Angalia SNL ya marekani Parodying inafanyika Sana. Bongo unaona kila mtu Anafanya parodying ya kike kwa sababu hufuatilii Comedy ya bongo kwa Undani. Umejikita tu na hao kina comedians unaowaona insta.

Sijajua Kwanini mnawaattack Sana wabongo Mfano Joti mnayemuongelea hapa anaweza akaact kama Mzee, Mtoto, Mwanamke au kijana tu wa kawaida. Dulivan ndo kabisa ndo hadi Movie anaigiza parodying kama mtoto. Mbona hamsemagi kuwa duli akili zake zinabadilika zinakuwa za kitoto akiact kama mtoto?

Yaani sielewi mnanung'unika Nini km msanii kachukua kipengele kimoja tu Cha Parodying na kukifanyia kazi ili atimize matakwa ya kifasihi.
 
Back
Top Bottom