CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli


- Samahani sana mimi sio ndugu yako, sijawahi na sitakwua hata siku moja, never! Sijalazimisha anything ila nimeonyesha kwa hoja kwamba huna evidence ya ku-prove anything katika hizi chuki zako dhidi ya Januari Makamba, ni tabia zako kuwachukia waliokuzidi kwa uwezo wa mali, akili na maarifa.
- Nimekuomba sana tena sana, kwamba tuwekee ushahidi japo kidogo ya hizo piki piki, lakini huonyeshi, sasa swa;i ni vipi yaani wewe ukisema tu kwamba Januari kagawa piki piki basi unakwua ni ukweli? inashangaza sana vipi mkuu Januari amekukosea nini hasa?
nakushangaa unapopinga kwamba:
1. Jm hakwenda bumbuli kujitambulisha
2. January hajawahi kuchangia ujenzi wa shule
3.jm hakuchangia vijana
4. Jm hakutoka pesa kila alipopita....
5. Jm hakutoa pikipiki.....
- Ulipaswa kujishangaa mwenyewe kwa kushindwa kutoa ushahidi wa haya maneno yako ambayo ni majungu na uzandiki, fitina na chuki, sasa one more time lete ushahidi japo kidogo wa haya mafitina yako!

- Too low mkuu siwezi hata kujibu.

es!
 
Duh!

ES naona baada ya hapa hakuna aliyerudi
 
Kabla January, hajafikiria kugombea Ubunge, ana mtihani mkubwa mbele yake: Je ubunge ndo nafasi peke yake ya kuwatumikia wananchi? Jinsi ambayo ameingia kwenye system, je anafikiri siasa ni kitu bora? Siasa inajenga maisha ya baadaye? Ningekutana na January, ningepeda anifahamishe kwa kipindi hiki alichokuwa karibu sana na uongozi,amejifunza nini? Urais ni kitu gani? Je ni kitu ch kugombania?

Kugombea ni kitu tofauti kabisa na Uzalendo. Je tunahitaji wazalendo kwanza au wanasiasa kwanza? Mungu apishe mbali!
 
Katiba ibadilishwe ili wale wanaotaka kuwawakilisha kweli Wananchi, wagombee ubunge wakijua kwamba Uwaziri si lazima uwe Mbunge; ukiteuliwa uwaziri, na ukaukubali, basi unaachia jimbo.

Lakini yote hayo yatafanya nini wakati Tanzania imesaini kusurrender to EAC?
 
HUyu January akiingia rasmi kwenye mchujo si itabidi aache kazi ikulu au?
 
Hivi ni coincidence au ndivyo tulivyo? Kila thread yenye kujadili personality inapata wachangiaji wengi?

Does this trend tell who we are?
 
Kimsingi JM kama MTZ mwingine yeyote yule anaruhusiwa kikatiba kugombea Ubunge au nafasi yeyote ile ya kuchaguliwa;na kwa vile JM anatelekeza yale anayoruhusiwa kikatiba kumnanga hapa ni kutomtendea haki!

Lkn NAKATAA tena NAPINGA kwa nguvu zangu dhana iliyoanza kujengeka kwa baadhi ya watu hapa kuwa JM ni"smart"na"intelligent"eti "mwenye uwezo mkubwa wa kuwaletea maendeleo wana wa Bumbuli";wanayasema hayo maneno bila kuleta hata ushahidi mmoja kuthibitisha madai yao!
Kimsingi mfumo mzima wa CCM kuwaletea maendeleo watz umeshindwa,na inaniwia vigumu kuamini kuwa JM yeye ni exceptional kutoka ktk kundi la CCM na kama yupo hivyo nielezeni hapa kaonyesha dalili zipi kwa nafasi aliyoshika!

Then;kuwa na elimu kubwa ya darasani hakfanyi mtu husika eti ndiyo "smart"wala"inteligent"bali ukiweza kutumia elimu yako kwa faida ya watu waliokuzunguka ndiyo kipimo kikubwa sana cha umakini wako kama tu Rais wa zamani wa USA aliposema kuhusu watu wanaotaka kugombea uongozi wana Bumbuli wawaulize hawa akina JM maneno haya:

"JM UMEWAHI KUIFANYIA NINI BUMBULI HADI TUKUAMINI TUKUPE NAFASI HII YA KUWA MWAKILISHI WETU?"

Mambo ya kuwa"smart" au "inteligent"hayawasaidii hata kitu kimoja watu wa Bumbuli kwani hata Chenge au Balali walikuwa smart mno hata labda zaidi ya JM walipokuwa Havard,lkn je wametusaidia??
 
January ni mtoto wa Makamba, babu wa mafisadi Tanzania, wakili wakujitegemea wamafisadi wote, anajitahidi kujenga Himaya yake katika mfumo wa utawala wa Tanzania, kama ambavyo Kikwete anafanya, na vigogo wengine....sasa January bila shaka kamegewa mtaji mkubwa wa babae , maana Makamba mzee nasikia kina Rostam humpooza kila akitokea kwenye media akiwatetea au ndani ya vikao vya chama.
January haaminiki, anakuja kumsaidia babae kulinda himaya na mali za mafisadi, hana jipya.
 

So, what is your point??!!
 
So, what is your point??!!

JM kama mtz yeyote yule ana haki yake kikatiba kugombea nafasi yeyote ya kuchaguliwa basi na yeye afanye hivyo na wana Bumbuli ndiyo watakao amu!

LKN hii habari kuwa JM ni smart au inteligent haina ukweli wowote na ni"propaganda" ingine ambayo watz wanapaswa kuikataa maana hamna ushahidi hata mmoja unaoonyesha hivyo;narudia tena kusoma shule nzuri na kuwa ma degree mengi hakukufanyi wewe uwe smart au inteligent!Kumbukeni kuwa viongzi wengi ndani ya serikali ya CCM wamesoma shule nzuri na rekodi zao za kutukuka darasani labda zaidi ya huyu JM lkn hawajatusadia!

JM ni mwana CCM kama walivyo hao wana CCM wote ambao imethibitishwa ni"failure" kwa kuwalatea watz maendeleo na sijaona lolote ambalo linamtoufatisha JM na wana CCM wenzake!

Kiufupi hakatazwi kugombea Ubunge kwani ni haki yake ya kikatiba lkn kusema kuwa ni smart au atakuwa na manufaa kwa wana Bumbuli ni suala lisilo na msingi wala ukweli wowote!

Kataa CCM na yeyote yule anayekuja kwa kofia ya CCM maana kwa miaka yote waliyoitawala TZ nchi yetu inapiga hatua za nyuma kimaendeleo na leo hii baadhi a Great thinkers mnakuja hapa na propaganda zenu za kutuambia baadhi ya wana CCM wana uwezo wa kutuletea maendeleo?

Hawa wana CCM wote"wameoza"bila kujali nani na yupo wapi,WAKATAENI kwenye sanduku la kura na WAOGOPWE kama ukoma,M akiwa pia kundini hatufai kwa lolote lile!!
 
Tunajudge mtu kwa matendo yake na sio matendo ya baba yake. Januari ana haki zote za kugombea ubunge na vizuri CCM ikatuondolea hawa wazee. Kina Januari wakapambane na kina Mdee huko Dodoma na sio Mdee na Makinda aaaagh.

Go Januari, Go
 
Naomba katika kujadili hii hoja tumjadili January kama kama January.Ni wapi imeandikwa ktk katiba kwamba Baba au mama akiwa ktk madaraka basi haki ya mtoto katika kuchagua ama kuchaguliwa inakua deprived off?

Let's discuss him as a candidate na si ku-base kwamba kazaliwa na nani...Kama ni mtu anaweza kufanya mambo makubwa katika uwakilishi ni kwa nini tumnyime uongozi?

Suala january anweza kufanya nini na si ni mtoto wa nani,sasa tunaweza kuendelea na mjadala
 

- Mkuu pole pole hapo, sio kwa sababu Chenge aliyesoma Havard ni mwizi basi wengine wote tulioenda shule ni wezi, yes! ninasema Januari ni kijana smart na very intelligent WHY? Kwa sababu sio wa-Tanzania wote wameweza ku-accomplish kama yake katika umri alionao, na it has nothing to na Chenge wala baba yake, the guy is smart and very intelligent no wonder amekuwa msaidizi wa Rais for over four years now wakati tunawajua wengine wengi waliotemwa tayari na mapema sana.

- Sasa kingine ni kwamba Januari deserves respect kwa binafsi yake kuweza kuamua kuondoka Ikulu na kupeleka experience yake jimboni kusaidia wananchi bila ya kufukuzwa na mtu, now what is wrong with that?


JM ni mwana CCM kama walivyo hao wana CCM wote ambao imethibitishwa ni"failure" kwa kuwalatea watz maendeleo na sijaona lolote ambalo linamtoufatisha JM na wana CCM wenzake!
- In general kama wanachama wote wa CCM ni failures, maana yake ni moja tu kwamba wananchi wa Tanzania waliowapa uongozi for the last 47 years ndio the worst failures in the world, hizi sweeping statements za ku-generalize watu wote kwa sababu ya makosa ya wachache huwa ni empty thinking na haziwezi kutuletea maendeleo wala mabadiliko, I mean Januari hawezi kuwa judged kwa kutumia CCM's perfomance as chama, that is very unfair ni sawa na kuesma wewe na mimi hatuwezi kuongoza maana tumekuwa part ya wananchi wanaoichagua CCM kila mwaka kuongoza taifa, does that make a sense to you?

- Kwangu it does not make a sense at all! na sio watoto wote wa viongozi wetu walioenda shule ni wasaidizi wa Rais. Mambo mengine ni fact of life, na kuwa mtoto wa kiongozi inapaswa kuwa a plus kwa mgombea wa aina hiyo kwa sababu the argument is very clear kwamba amekua arround uongozi wa taifa, huyu hawezi kuwa sawa na ambaye hajawahi kuwa karibu na uongozi maishani mwake! It is not about Januari, this is our nation! I mean wote wa-Tanzania!

Respect.


FMEs!
 
JM anamsaidia nini rais??

FMES, are you complimenting him or reproaching him?, because being JK's assistant personnel alone is a big shame!

the same guys people do not want him, yes he may be MP we know what they can do. But please never mention again that he is advising JK, never!

Unajua nchi hii inabidi uwe na roho ngumu sana kumsifia kikwete na watu wake wa pembeni, you need to be crazy. Yes kwa umri wake vijana wengine wengi wamepiga hatua they are not politician wanafnya kazi zao za professionals , na kuna sababu nyingi za mtu kufanikiwa mapema, nyingi sana.

ukiniambia jambo moja la intelligent au smart ambalo JM kafanya I will greatly appreciate you , saying that he his smart without tangible examples or proofs is not fair for yourself

People can not be judged by the sins of their parents, however, let JM stand alone in this time, please give me evidence to support your argument.
 

- Mkuu ni wapi imesemwa kwamba Januari ni adviser wa Rais? hivi kweli humu ndani tunahitaji somo la tofauti ya President Adviser, na Pesident 's asisstant, inaonekana mara kwa mara hatuelewi maana yake, Adviser wa Rais anatambuliwa kikatiba na anaapsihwa na Rais kwa muijbu wa katiba ya jamhuri, lakini kazi kama ya Januari haihitaji hiyo na siyo kazi yake kumshauri anything, simply ni kwamba Januari sio mshauri wa Rais!

- Halafu jaribu kuwa muangalifu na jinsi unavyotumia maneno yako, ni nani amekwambia kwamba Rais wa sasa hatakiwi na kila mwananchi wa Tanzania? Hebu toa evidence japo kidogo tu kwamba wananchi wote wa Tanzania hawamtaki!


- Hapana unahitaji kuwa hayawani kufikiri kwamba mawazo yako wewe hayawani mmoja ndio mawazo ya wananchi wote, Januari ni assistant to the President, akitoka pale alipo sasa na kuomba kazi pengine anajiwakilisha kama aliwahi kuwa msaidizi wa Rais, as an insitituion na sio kama unavyofikiri na kuamini mkuu, kuna tofauti kubwa sana between kufanya kazi ofisi ya Rais, na kuwa mshauri wa Rais, kuyachanganya haya ndio uhayawani wenyewe!

let JM stand alone in this time,
- Kwani ni wapi ambako hakuwahi kusimama mwenyewe? Una maana alipokuwa shule hakuwa mwenyewe, au alipokuwa shuleni US hakuwa mwenyewe? Na kule kwenye kambi za wakimbizi nako hakuwa mwenyewe? Je wasaidizi wote wa sasa wa Rais ni watoto wa viongozi kwamba waliombewa na baba zao kama unavyotaka kusema on Januari?

- Ninaomba kusema hivi, ninakataa kushiriki tabia ya kutoa picha kwamba JF tuko against watoto wa viongozi au wa matajiri, au wa aina yoyote ile, hizo ni dalili za kutojiamini as bin-adam na as mwananchi, watoto wa viongozi ni bin-adam kama sisi wengine wote, sasa kama ni kugombea ni vyema tukajiingiza huko kuchukua fomu, badala ya kuli wivu hapa JF bila ya ushahidi wala facts, Rais wa jamhuri anao washauri wa ujenzi, kuanzia waziri wa ujenzi, katibu mkuu wa ujenzi hawa ndio kazi yao kikatiba kumshauri Rais kuhusu ujenzi, sio an aide kama Januari tusipindishe ukweli kwa makusudi ili tu kupendezesha roho zetu, tufike mahali tuwajali wananchi na hili taifa, badala ya kulilia siasa za majina!



Respect.

FMEs!
 
Namkuu FMEs


Hapo ndipo ninapopingana Great Thinkers wenzangu;JM akagombee Ubuge Bumbuli kwa sababu katiba inamruhusu kufanya hivyo lkn kumuita very smart kwa sababu tu kamaliza degree zake akiwa na umri wa ukijana sio ndiyo kigezo cha kuja kuwa kiogozi bora;tumewaona wengi wenye elimu kubwa zaidi ya JM wakashindwa kuisukuma TZ mbele!

Nasisitiza tena hana utofauti na wengine walioenda kuomba ridhaa kabla yake wawe wabunge wa Bumbuli,na kumtofautisha JM na akina Sherukindo bila kutaja hizo accomplishments zake zimewanufaisha vipi watz wa kawaida na hasa wa Bumbuli kuna nishangza zaidi mimi!

JFK aliwahi waambia USA hivi "Change is a law of life and those who look only to the past or present are certain to miss the future"JM ni labda kweli ni smart kwa darasani ;lkn JM awaambie wana Bumbuli alikuwa na mipango gani endelevu kwa jimbo hilo na nini hasa kimemsukuma kugombea?Then wana Bumbuli watampima kwa vigezo vyao kama anawafaa!
 

- Ni haki ya Januari kisiasa na kikatiba, kueleza na kujinadi uwezo wake wowote alionao ambao ni wa juu na zaidi either wagombea wenziwe, au wananchi anoataka kuwaongoza, na ni wajibu wa wagombea wenziwe au wananchi walengwa kumuuliza maswali yoyote yale yanayohusiana na kujinadi kwake, lakini kum-dismiss kuhusu accomplishments zake eti kwa sababu kuna wengine in the past walijinadi kama yeye lakini wakashindwa uongozi, ni mawazo yaliyopitwa sana na wakati na si mawazo ya kimaendeleo, ambayo tunayahitaji sasa kulikom boa taifa letu!

- Sio kila accomplishments za mwananchi anayetaka uongozi ziwe zimewanufaisha wananchi wote walengwa, Obama kabla ya kua Rais wa US accomplishments zake zilikuwa zimewanufaisha vipi wananchi wote wa US?


- So far hakuna mahali popote ambapo Januari amesema anything, tunajadili hii ishu ambayo kwanza haijathibitishwa na ungekua umetoa mawazo kama hay toka mwanzo, huu mjdala ungekua tofauti kuliko ulivyo sasa,

- Otherwise ninakubaliana na wewe hapa kwenye point yako ya mwisho kwamba ni wajibu wa Januari kama ameamua kugombea kuwaeleza wananchi wa Bumbuli, atawafanyia nini na ni uamuzi wao kumchagua au kutomchagua, lakini sio uamuzi wetu kumzuia asiogmbee kwa sababu ni mtoto wa Makamba, au kwa vile ni msaidizi wa Rais wa sasa.

Respect.


FMEs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…