William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
ndugu yangu fmes....hiki kiapo cha kumlinda na kumtetea jm kama kingetumika pia kwa viongozi wa nchi yetu basi tungekuwa mbali sana....lakini kinachonishangaza katika hoja zako ni kulazimisha kwamba kuna chuki na wivu na roho mbaya juu ya jm....you are very wrong
- Samahani sana mimi sio ndugu yako, sijawahi na sitakwua hata siku moja, never! Sijalazimisha anything ila nimeonyesha kwa hoja kwamba huna evidence ya ku-prove anything katika hizi chuki zako dhidi ya Januari Makamba, ni tabia zako kuwachukia waliokuzidi kwa uwezo wa mali, akili na maarifa.
- Nimekuomba sana tena sana, kwamba tuwekee ushahidi japo kidogo ya hizo piki piki, lakini huonyeshi, sasa swa;i ni vipi yaani wewe ukisema tu kwamba Januari kagawa piki piki basi unakwua ni ukweli? inashangaza sana vipi mkuu Januari amekukosea nini hasa?.....tulichofanya hapa ni kutoa taarifa kwamba jm ameenda kujitangaza jimboni bumbuli na kwa taarifa yake alikuwa ameweka ahadi ya kufanya hivyo kabla kwani sio kwamba ndio ameanza kampeni...kwani hata pikipiki alishapeleka kule jimboni zaidi za mwezi sasa umepita....hakuna asiyetaka vijana wajitokeze na hakuna aliyempinga jm so far, ila tunaangalia namna anavyofanya shughuli na kuangalia kama je ni katika mwenendo ambao unaleta matumaini kwa demokrasia ya nchi yetu....
- Ulipaswa kujishangaa mwenyewe kwa kushindwa kutoa ushahidi wa haya maneno yako ambayo ni majungu na uzandiki, fitina na chuki, sasa one more time lete ushahidi japo kidogo wa haya mafitina yako!nakushangaa unapopinga kwamba:
1. Jm hakwenda bumbuli kujitambulisha
2. January hajawahi kuchangia ujenzi wa shule
3.jm hakuchangia vijana
4. Jm hakutoka pesa kila alipopita....
5. Jm hakutoa pikipiki.....
- Too low mkuu siwezi hata kujibu.lakini unatetea kwamba jm ni kijana mwenye uwezo....smart...hapo hapo unasema anasaidia jamii yake.....ndio maana nimesema humsaidii jm kwa hili kwa kukanusha kila alilofanya....unaweza ukawa au ukahisi kwamba wewe ni mjuaji sana lakini kumbe sivyo....unapinga hata kwamba jm anataka kugombea ubunge bumbuli.....nimekuwekea hata namba za simu za watu wa kupigia kama unataka ushahidi..piga uulize kila sehemu anayopita jm anasema nini na anataka nini na jaribu pia kuchukua mawazo ya watu kuhusu mtizamo wao kuhusu jm.......at my own humble conclusion, i think u have done more harm to jm than u think u helped....so long....
sijui na wewe unagombea wapi ndugu yangu....i wish u all the best....
es!