- Wakuu watoto wa viongozi wana haki sawa kama watoto wa waongozwa kikatiba, na pia watoto wa matajiri wana haki sawa kama wa masikini kikatiba yetu, Tanzania hatuwezi kuanzisha sheria ya kuwakataza watoto wa viongozi kugombea uongozi, maana kama ninawaelewa vizuri wajumbe wengi katika hii thread, they are falling short calling for that yaani sheria ya kuzuia watoto wa viongozi kugombea uongozi.
- Ni mawazo ya hatari sana kwa wananchi kuwa nayo hasa waliosoma, na the so called exposed, ni mawazo ya kuligawa taifa na kupandikiza chuki dhidi ya wananchi na viongozi wao na hasa watoto wao ni mawazo unprogressive na Tanzania hatuyahitaji, kwa sababu yakiwa entertained ni vigumu ku-draw the line, leo itakuwa watoto wa viongozi, kesho itakuwa wazee, keshokutwa itakuwa kinamama, and then itakuwa vilema, sasa where do you stop with this madness?
- Haya maneno ya eti mtoto wa Matumla ni lazima awe bondia kwa hiyo ndio mfano hai kwamba mtoto wa masikini akipewa uongozi ataendeleza umasikini ni maneno mabovu sana na ni matusi makubwa sana kwa jamii. JF tunatakiwa kushauri ideas ambazo zitasaidia taifa na creation ya new sound poilicies kwa the future of our nation, sasa what the government should take a note from this debate, kwamba tuanzishe sheria ya kuzuia watoto wa masikini au viongozi kugombea uongozi?
- It seems watu nowadays tunaanza ku-run out of ideas za kusaidia taifa letu, I mean a big and long thread, kulalamikia watoto wa wananchi wenzetu ambao hawajavunja sheria yoyote, wala kumuibia mtu zaidi tu ya kutumia haki zao za kikatiba kugombea uongozi, inasikitisha sana na infact inatisha sana, yaani kwa sababu wewe ni mtoto wa masikini basi uwe na more rights katika sheria zetu katika kufikiriwa kugombea uongozi, kuliko wengine kwa sababu ukiwa mtoto wa masikini utaendeleza umasikini kwenye taifa! Mnasema hizi ideas zinatolewa na those who are supposedly over-educated na intellectualls katika jamii yetu?
- Maneno mengi sioni popote ambapo walalamikaji wanashauri kwamba wapi ni the rightful place kwa watoto wa viongozi kufanya kazi, inaonekana wengi tunaamini kwamba ni watoto wa masikini tu ndio wanaoweza uongozi, sasa tuambieni ni nani waliolifikisha hili taifa hapa tulipo kama sio watoto wa hao hao masikini? Hii debate ni waste of time na ni nothing ila ubaguzi wa ajabu sana na tukiendelea hivi hili taifa tunakwenda pabaya sana, yaani Januari asitumie haki yake kikatiba kugombea uongozi kwa sababu ni mtoto wa kiongozi Makamba, na mnasema haya maneno yanasemwa na watu walioenda shule tena wengiwao shule za nje, ambako watoto wa viongozi wapo kila kona za uongozi na hakuna tatizo lolote!
Inasikitisha sana wakuu, tuache kupanda mbegu za chuki na division kwa taifa letu, wananchi ndio waamue nani wanamtaka na nani hawamtaki kwa kutumia demokrasia tuliyonayo, yaani kupiga kura hakuna njia yoyote nyingine, hatuwezi kuanzisha sheria mbili katika taifa letu, moja ya watoto wa masikini na nyingine ya watoto wa matajiri, au ya watoto wa viongozi na ya watoto wa waongozwa, it does not make any sense!
Respect.
FMEs!
You have said like a man! this is real good to me
However, in this good post if you will scratch a little bit you will find many things that are not clear. Note that, since I started posting in this thread I have never said we dont need JM because of his father rather his merits and capability to leade people which no one have proved to me
These some Tanzanians even if are educated and they talk 'foolish' things is because they have experience
1. Ndiyo kizazi hiki kimekua na kushuhudia viongozi walewale in decades kwa mfano kingunge, n.k
2. ni kizazi kinachoona mambo yanaoendelea ndani ya CCM hasa kwenye machakato wa kumpata rais, kuna dirty politics nyingi na watu wanajua
3. Is the very same generation wanaoona jinsi CCM(bila aibu) wasivyochukua hatua kwa mafisadi
4.Ndiyo generation inayoona viongozi wa CCM wakiwa tunavyowaona leo
For sociologist point of view they have a term called "social license" if social will accept you, trust you and believe you then you have done something extraordinary. remember trust is a temporary thing
yanayowapata akina makamba Jn ni zile zile chuki ambazo huwezi ukazifuta kwa kuandika post hiyo! rather by real action from CCM, leo ukienda USA, South Africa still zile chuki za races zipo pale pale kwa sababu ya historia.This is how social is no matter they are educated or not
JM kutaka kuwa mgombea wa ubunge haina tatizo, nataka kujua huwa wanafanya mchakato gani? mathalan kuna mtu wa tofauti aliyejitokeza mbali ya January, walipitishwa na CCM right, je huo mchakato ulikuwa fair kiasi gani?
FMES hawa watanzania sio wajinga, wanajua kila kinachoendelea ndani ya CCM , watoto wa wakubwa wanapata favour na hizo kamati zinazowapitisha they do so even if they dont like kwa sababu ya influence ya wazazi wao
Kuna cases nyingi wakubwa wakisema fulani agombee hata kama kuna suitable ordinary people ambao wako capable hawapati hizo nafasi,hii ni ndani ya CCM.
Nakumbuka wakati Ngeleja anatuacha vodacom alisema wazee wamemwambia akagombee ubunge na ataupata tu! akaenda akaupata, je hakukuwa na watu suitable ambao watu wa kule wanataka awe kiongozi, usiseme mbona amachaguliwa! there could be another long talk
FMES you may be clean, good worker lakini chama unachokitetea ni cha mafisadi , na wewe unaingia humo, this is human nature ya kujudge haina elimu ya msingi wala chuo kikuu cha havard.society may judge you unfairly simply because you not in fair gound
Makovu ya CCM kwa miaka yote hii hayatafutika hata kama utajaza post. Lakini very same chama kingekuwa kina peform well usingesikia watu wanapiga kelele.
remember "social license"