Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
- Wanacnhi wa Tanzania hasa huko Tanga, mbona walishampa ubunge mtu ambaye alikuwa mwizi anatafutwa US, kwa kukimbia na karibu dola elfu sabini za credit cards, labda wabongo ndivyo tulivyo na huyu mtu akaishia kupewa rushwa na Mwapachu, ili ampishe kiti cha ubunge tena kwa maneno yake mwenyewe yule mtu akiniambia mbele ya mtoto wake anayejifanya kichwa mbele sana hapa sasa, Bwa! ha! ha!
- Kweli ndivyo tulivyo, alijisemea Mkulu Nyani! sasa tuko kuangalia maboriti ya wengine, ya kwetu hatusemi na inachekesha saan kwamba haya yote ni huko huko Tanga. Bwa! ha! ha!
Respect.
FMEs!
Sasa baada ya kujua yote haya, unakubali passively tu kwamba tuendelee na uongozi mbovu kwa sababu tuna uongozi mbovu?
Kuwa na uongozi mbovu sasa si sababu ya kukubali kuendelea kukubali uongozi mbovu, two wrongs do not make a right.Ama sivyo ukikubali uongozi mbovu uendelee kwa sababu ulikuwepo na wewe unakuwa sehemu ya tatizo, kamwe si sehemu ya utatuzi.
January kashaletewa accusations za rushwa tayari, tunazunguka pale pale, tunaletewa mvinyo ule ule wa zamani katika chupa mpya, halafu tunaimbishwa nyimbo za "huyu kijana msomi, smart etc" wakati ukiangalia ni mtu wa mtandao tu asiye na principle, integrity wala direction.