CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

- Wanacnhi wa Tanzania hasa huko Tanga, mbona walishampa ubunge mtu ambaye alikuwa mwizi anatafutwa US, kwa kukimbia na karibu dola elfu sabini za credit cards, labda wabongo ndivyo tulivyo na huyu mtu akaishia kupewa rushwa na Mwapachu, ili ampishe kiti cha ubunge tena kwa maneno yake mwenyewe yule mtu akiniambia mbele ya mtoto wake anayejifanya kichwa mbele sana hapa sasa, Bwa! ha! ha!

- Kweli ndivyo tulivyo, alijisemea Mkulu Nyani! sasa tuko kuangalia maboriti ya wengine, ya kwetu hatusemi na inachekesha saan kwamba haya yote ni huko huko Tanga. Bwa! ha! ha!

Respect.


FMEs!

Sasa baada ya kujua yote haya, unakubali passively tu kwamba tuendelee na uongozi mbovu kwa sababu tuna uongozi mbovu?

Kuwa na uongozi mbovu sasa si sababu ya kukubali kuendelea kukubali uongozi mbovu, two wrongs do not make a right.Ama sivyo ukikubali uongozi mbovu uendelee kwa sababu ulikuwepo na wewe unakuwa sehemu ya tatizo, kamwe si sehemu ya utatuzi.

January kashaletewa accusations za rushwa tayari, tunazunguka pale pale, tunaletewa mvinyo ule ule wa zamani katika chupa mpya, halafu tunaimbishwa nyimbo za "huyu kijana msomi, smart etc" wakati ukiangalia ni mtu wa mtandao tu asiye na principle, integrity wala direction.
 
Si unaona shida yako. Hii mada mimi sijaileta wala sina miaka 62. Mkuu mimi Mtanzania wa kuzaliwa na nimekulia Tanzania na kusoma Bongo. Hizi tarumbeta zako za Pwagu na Pwaguzi ni za kuishiwa hoja. Unajiadhiri tu. Wewe sio Mod unawezaje kujua ID zangu ndio nikakwambia wewe tishia nyau tu.

Umetaka hoja nimekwambia maneno yangu yote yako wazi na bado nasimamia nilichoandika.

- Again irrelevant to the ishu at hand, ila maneno yangu ninayasimamia 100%, kwanza wewe sio raia wa Tanzania, na besides umejaa wivu na chuki kwa sababu sasa umegundua kwamba huwezi kugombea anything Tanzania, sisi tunayo hiyo nafasi na tutagombea, pole sana mkuu ila jaribu kuandika kulingana na umri wako maana umeenda sana, mengine sina muda wa kukujibu maana inatia kinyaa sana Bwa! ha! ha! ha!

- Kwa taarifa yako Januari anagombea na atashinda na huna lolote la kufanya kumzuia, utakufa na vijiba kooni na mawivu na michuki tu! ......LOL!


es!
 
Sasa baada ya kujua yote haya, unakubali passively tu kwamba tuendelee na uongozi mbovu kwa sababu tuna uongozi mbovu?

Kuwa na uongozi mbovu sasa si sababu ya kukubali kuendelea kukubali uongozi mbovu, two wrongs do not make a right.Ama sivyo ukikubali uongozi mbovu uendelee kwa sababu ulikuwepo na wewe unakuwa sehemu ya tatizo, kamwe si sehemu ya utatuzi.

January kashaletewa accusations za rushwa tayari, tunazunguka pale pale, tunaletewa mvinyo ule ule wa zamani katika chupa mpya, halafu tunaimbishwa nyimbo za "huyu kijana msomi, smart etc" wakati ukiangalia ni mtu wa mtandao tu asiye na principle, integrity wala direction.

- Mkuu samahani sana yamekukutaje haya, mimi huko kwako sipo najadili na wengine, au? kuna something missing hapo?

Respect.


FMEs!
 
- Mkuu samahani sana yamekukutaje haya, mimi huko kwako sipo najadili na wengine, au? kuna something missing hapo?

Respect.


FMEs!

As far as I am concerned wote tunamjadili January Makamba na mimi nimeongelea katika the bigger context ya uongozi wetu mzima unavyoelekea na mazingaombwe haya ya kumleta January hapa kama kijana msomi.

Au kuongelea concepts instead of personalities kunakuchanganya mazee?
 
As far as I am concerned wote tunamjadili January Makamba na mimi nimeongelea katika the bigger context ya uongozi wetu mzima unavyoelekea na mazingaombwe haya ya kumleta January hapa kama kijana msomi.

Au kuongelea concepts instead of personalities kunakuchanganya mazee?

- Sielewi anyechanganyikiwa hapa ni nani hasa, kwani Januari amesoma au hakusoma?

- Binafsi najua for a fact kwamba ni kijana mdogo sana na amesoma vizuri sana kuliko wananchi wengi sana including na wewe, na ni msaidizi wa Rais sasa tatizo lako lipo wapi hapo nikusaidie?

- nilichosema ni kwamba so far sijajadili na wewe, lakini kama unataka kujadili na mimi karibu sana, haya here we go! halafu umesema unamjadili Januari, and then unasema unajadili concepts, zile zile taba zako za dharau na majivuno bila anything ya kuya-back up Bwa! ha! ha! JF bwana!

- Anyways later!

FMEs!
 
- Sielewi anyechanganyikiwa hapa ni nani hasa, kwani Januari amesoma au hakusoma?

- Binafsi najua for a fact kwamba ni kijana mdogo sana na amesoma vizuri sana kuliko wananchi wengi sana including na wewe, na ni msaidizi wa Rais sasa tatizo lako lipo wapi hapo nikusaidie?

- nilichosema ni kwamba so far sijajadili na wewe, lakini kama unataka kujadili na mimi karibu sana, haya here we go!

FMEs!

Mimi nikipost kitu JF najadiliana na watu wote, mambo ya ubaguzi wa kwamba najadili na nani na sijadili na nani ni classism tu, hayana mpango.Kama unataka kujadili issue na mtu specific unatumia PM vizuri tu.Lakini maadam umetoa kitu live hapa kinajadiliwa na kila mtu.

January si msomi, anaweza kuwa kaenda shule lakini si msomi.Kwenda shule si lazima uwe msomi, na kuwa msomi si lazima uende shule.

Msomi hawezi kukubali kuchafua resume yake kwa kufanya kazi Ikulu ya Kikwete.Msomi hawezi kuwaita wananchi wa Tanzania nzi wala mavi halafu akataka hao hao nzi wala mavi wampigie kura, huu si usomi, huu ni uchu wa madaraka tu.

Hii hii hype ndiyo tuliyouziwa kuhusu Kikwete, kijana, mtu wa watu etc etc.Matokeo yake tunazama katika shimo lisilo mwisho mpaka leo.January ni kama Kikwete, only worse, kwa sababu Kikwete na matatizo yake yote si mjivuni, huyo January mjivuni utasema mtoto wa Mkapa.

Lakini kama nilivyosema kuhusu Kikwete, mchagueni halafu mtaona wenyewe.
 
Ushahidi upo kwa Kasoro Mihayo moderator wa www.youngafrican.com, kwenye archives huko ndiko kuna madudu yote aliyosema, mengine unprintable hapa.Mimi najua kwa sababu nilikuwepo.

Mie sina muda mchafu wa kukeep archives za maneno ya pretenders kama kina January na hangers on wao wanaotokwa mate kwa njaa ya madaraka.

Nchi yenyewe tunaiangalia tu, ikiwa ndio wajinga wajinga kama hawa wanaenda kuishika si hatari kujivua uraia vile vile.


Sasa huoni kadri unavyokuja na hizi allegations bila ushahidi credibility yako inazidi kudidimia?

Kweli umtuhumu mtu kutukana waTanzania halafu ukiambiwa ulete ushahidi unadai huna muda huo je is that your way of defending your allegations towards January?

Young African.com ni website lakini hujatoa link ambayo inatuelekeza moja kwa moja kwenye hiyo post au article ambayo unadai January alisema maneno hayo

Ni sawa na kudai kuwa Obama alisema kadhaa kisha unasema ushahidi uko CNN.COM...hiyo haitoshelezi.

Rudi kwenye source yako katuletee hiyo passage ama paragraph ambayo itaonyesha kuwa JM alisema hayo unayomtuhimu

Si dhani kama ni jambo baya au kubwa sana kutuletea huo ushahidi au tumekosea?

Lakini kama unakuwa mkali na hutaki kuleta huo ushahidi then i guess this is the wrong forum maybe other forums might suit well especially if you really can't bear to chat to people whose ideas are different to your own, I don't think any of us humu JF will miss much if you just talk to yourself.
 
Makamba J inabidi achukue tahadhari na njia anazotumia kutaka kujinadi kwa wananchi wa jimbo la bumbuli. ni utamaduni mbofu na mazoea yaliyojaa uozo ambao tumeuendekeza kuwa utakapo kugombea ubunge shurti utoe takrima. Ushauri wa bure tu kwa makamba J ni kuwa aweke mikakati endelevu ambayo itawashawishi wapiga kura wa bumbuli na vyema kujua kuwa ni process ambayo matokeo yake yatakuwa gradually. kama kiongozi kijana mtarajiwa inabidi aonyeshe mapinduzi ya kifikra na mtazamo ambao utawatofautisha na viongozi wa moingo iliyopita.

Tafadhali tuletee ushahidi kuwa January kaenda kujinadi huko Bumbuli
 
Babu, gaffe kama hizo zinagharimu kwenye jamii zilizo sophisticated. Bongo hata unaweza ukawatukana watu bila hata ya wao kujua na bado wakakuchagua vilevile.

Si umesikia alichosema Harry Reid kuhusu Obama na "no negro dialect" na kuwa "light skinned"? Sasa mark my words...huyu jamaa ndiyo kwishney...come november he'll no longer be the senate majority leader let alone being a senator.

The difference Harry Reid ukitafuta ushahidi utaupata lakini huu ambao jamaa anadau JM kasema hana ushahidi na all he did ni kutulea website without a link to the said statement
 
Sasa baada ya kujua yote haya, unakubali passively tu kwamba tuendelee na uongozi mbovu kwa sababu tuna uongozi mbovu?

Kuwa na uongozi mbovu sasa si sababu ya kukubali kuendelea kukubali uongozi mbovu, two wrongs do not make a right.Ama sivyo ukikubali uongozi mbovu uendelee kwa sababu ulikuwepo na wewe unakuwa sehemu ya tatizo, kamwe si sehemu ya utatuzi.

January kashaletewa accusations za rushwa tayar
i, tunazunguka pale pale, tunaletewa mvinyo ule ule wa zamani katika chupa mpya, halafu tunaimbishwa nyimbo za "huyu kijana msomi, smart etc" wakati ukiangalia ni mtu wa mtandao tu asiye na principle, integrity wala direction.

ambazo ni uongo na mleta hoja kashindwa kuthibitisha
 
The difference Harry Reid ukitafuta ushahidi utaupata lakini huu ambao jamaa anadau JM kasema hana ushahidi na all he did ni kutulea website without a link to the said statement

Tatizo hapa ni sehemu aliyosemea huyo Makamba. Hiyo tovuti haipo tena. Ilikwishakufa. Na mbaya zaidi sina uhakika kama hayo aliyoyasema aliyasema kama Curtis au J. Makamba. Kama aliysema kama Curtis..well..then hakuna ushahidi wa kutosha kuwa ndiyo alikuwa yeye behind hilo unless akiri mwenyewe. Lakini ukweli unabaki palepale kuwa huyo jamaa 'ako ni mtu wa majivuno sana as if the whole world revolves around him. He can't take criticism...he just can't.
 
Acha uwongo! mtu kwenda kwao ndio kujinadi?

Pili hebu jifunze KISWAHILI kabla ya kuja kutuandikia madudu yalojaa errors zisizoeleweka!

Hivi kwa mtu mwenye nafasi yake na aliyezaliwa kwenye familia ya Mwanasiasa na ambaye anafanyakazi ya Kiserikali kweli aende Nyumbani kwao bila kukutana na watu tena kwa nafasi yake itakuwa sawa?



Uwongo mwingine ulioegemea kwenye UDINI!

rudi tena kwa huyo anayekupa hizi taarifa kisha utuletee FACTS badala ya kuleta stori ya Kuunganisha.

Pili ukweli ni kuwa hakusubiri watu kuswali bali yeye mwenyewe aliswali na baada ya hapo waumini walimuomba kama ana lolote la kusema na akasema kuwa nafasi hiyo si yake bali ni ya Imam na baada ya Imam kuinsist na kwa mila na desturi za watu wa Pwani Mdogo kwa Mkubwa hakui na hubishi hivyo alisimama na kusalimia waumini mle ndani


Na pia alisema wazi kuwa SALAM ZAKE ZISITAFSIRIWE KAMA KAMPENI yeye kaja kuswali kama waislamwengine na mindhali leo ilikuwa Ijumaa sasa tatizo liko wapi?

Unazungumzia Piki Piki..hivi le mtu Kama ES au Mwanakijiji au Pasco akienda Kijijini kwao akatoa Computer au Baiskeli ndio atakuwa ana kampeni? kama kutoa kusaidia kwenu ni kampeni basi wengine tusingejenga zahanati na shule mbili tatu ili wananchi wapate matunda ya sie wengine kutafuta na kutumia nafasi tulizopata kuwanufaisha!

Once again umerudi na WAISLAM! lakini pamoja na hayo kutoa au kuchangia ujenzi ni jambo la kawaida...na kwa Musilam ni sawa ni kutimiza moja kati ya NGUZO 5 za uislam na pili tofauti ha huyo aliyekutuma hapa kuleta huu UDAKU, JM katoa kuchangia elimu bosi wako yeye anatoa kwa Ajili ya KIMADA WAKE pale mtaa wa ALLY KHAN!!!
Umesema amekumbwa na vikwazo vingi lakini ungeturahisishia ukatupa orodha ya Vikwazo...kwa utaratibu ufuatao:

1
2
3
4
5
6
7
8
9
10

Pili Mapokezi Mabovu yepi? Mbona Jezi na mipira zimechukuliwa? na si hivyo tuuuu infact jamaa wanalalamika kuwa JEZI za RANGI za YANGA zimekuwa nyingi kiasi cha kuwa wanataka Jezi rangi Mchanganyiko...sasa wewe hapa linalokuudhi nini?

Hivi unataka vijana waendelee ku piga NDIMU kuhu wako vifua wazi?



Ni wapi na lini JM kasema alitumwa na Rais?

Na ni lini Mzee Makamba alitimuliwa na na wananchi?

na ni lini Mzee Makamba alienda kumnaji JM?


Mjomba tuletee FACTS nasi tutakupa majibu


baseless allegations

If anything huyo aliyekutuma inaelekea hajakupa FACTS zote if anything cha ajabu hajakuambia jinsi gani naye habari zake zimeleak to the extent anachanganyikiwa. Mbona husemi kuhusu pesa za DAMU za watu alizokatiwa na zingine kaamua kuzificha kwa jamaa zake? acha hizo wewe!
You mean KIBONYEZO?

huwezi kupata uchambuzi wakati umeleta UTUMBO

lete facts au mwambie jamaa yako akupe facts then njoo

this in short IMEFAIL[/QUOTE]

GT

Sikuona fact yoyote kwenye jibu lako.....
 
Tatizo hapa ni sehemu aliyosemea huyo Makamba. Hiyo tovuti haipo tena. Ilikwishakufa. Na mbaya zaidi sina uhakika kama hayo aliyoyasema aliyasema kama Curtis au J. Makamba. Lakini ukweli unabaki palepale kuwa huyo jamaa 'ako ni mtu majivuno sana as if the whole world revolves around him. He can't take criticism...he just can't.

Looks like we are getting somewhere in a nutshell naweza ku sum up maneno yako kuwa:

1. website au the so called source ya allegation ya hayo maneno ya January haipo tena

2.Hakuna uhakika au uthibitisho kama aliyesema hayo maneno ni January Makamba au huyo the so called 'Curtis'



Lakini kwa kuendeleza point yako umeamua kuhamisha goal post kwenda kwenye politics of ENVY na jelousy bila kutuletea uthibitisho au ushahidi wowote kuonyesha kuwa January ni mtu wa majivuno.

If anything,at this point its like you're conning yourself more than you're trying to con anyone else. Goodluck with continuing to attempt to convince yourself that you are not a loser.
 
Mimi nikipost kitu JF najadiliana na watu wote, mambo ya ubaguzi wa kwamba najadili na nani na sijadili na nani ni classism tu, hayana mpango.Kama unataka kujadili issue na mtu specific unatumia PM vizuri tu.Lakini maadam umetoa kitu live hapa kinajadiliwa na kila mtu.

January si msomi, anaweza kuwa kaenda shule lakini si msomi.Kwenda shule si lazima uwe msomi, na kuwa msomi si lazima uende shule.
Msomi hawezi kukubali kuchafua resume yake kwa kufanya kazi Ikulu ya Kikwete.


Msomi hawezi kuwaita wananchi wa Tanzania nzi wala mavi halafu akataka hao hao nzi wala mavi wampigie kura, huu si usomi, huu ni uchu wa madaraka tu.

Hii hii hype ndiyo tuliyouziwa kuhusu Kikwete, kijana, mtu wa watu etc etc.Matokeo yake tunazama katika shimo lisilo mwisho mpaka leo.January ni kama Kikwete, only worse, kwa sababu Kikwete na matatizo yake yote si mjivuni, huyo January mjivuni utasema mtoto wa Mkapa.

Lakini kama nilivyosema kuhusu Kikwete, mchagueni halafu mtaona wenyewe.

- Ndio kwanza nasikia leo kwamba kuwa msomi sio lazima uende shule, kama hoja zenyewe ndio hizo samahani sana naona nikuachie uendelee na mnaokubaliana kwamba unaweza kuwa msomi bila kwenda shule! No wonder hatuelewani humu JF!

Respect.


FMEs!
 
Looks like we are getting somewhere in a nutshell naweza ku sum up maneno yako kuwa:

1. website au the so called source ya allegation ya hayo maneno ya January haipo tena

2.Hakuna uhakika au uthibitisho kama aliyesema hayo maneno ni January Makamba au huyo the so called 'Curtis'

Maneno yanayoandikwa kwenye forums kupitia majina bandia hayawezi kusimama kama ni maneno halisi ya mtu. Hivyo ndivyo nijuavyo.



Lakini kwa kuendeleza point yako umeamua kuhamisha goal post kwenda kwenye politics of ENVY na jelousy bila kutuletea uthibitisho au ushahidi wowote kuonyesha kuwa January ni mtu wa majivuno.

FAIL! Sihitaji kutoa uthibitisho wa maoni yangu kwa kadri nionavyo mambo. Na sina sababu ya kumwonea wivu huyo jamaa. Nimwonee wivu wa nini? What does he have that I don't? Envy and jealousy for what? Sasa umeanza kuwa mpambe in chief! Karibu kila kitu comeback yako ni "ENVY na jelousy"....huna kingine?
 
1. jifunze namna ya ku quote post

2. lete majibu ya maswali yangu

3.Soma post za leo kuhusu hii thread kabla hujarukia kujibu

- Mkulu sana GT, imetosha sasa maana hakuna jipya tena twende kwenye mijdala mingine muhimu kwa taifa, Januari hazuiwi na yoyote kugombea ubunge,

- Amesoma ana degree ya kwanza, na ana degree ya pili, amekua msaidizi wa Rais miaka mitano sasa, hivi unahitaji nini tena kwenye CV kugombea ubunge, halafu ni kijana mdogo sana kulinganisha na mijiba flani inayomlilia lilia hapa kama mitoto kumbe ni mizee ya kutupwa.

- Message sent inatosha mkuu, waachie sasa jamaa hii thread waendelee kurusha wivu na chuki! inatia kinyaa sana!

Respect.


FMEs!
 
Great Expectations: January Makamba

November 19, 2009 ·

Mohammed Dewji's blog continues its interview series with January Makamba. Son of Yusuph Makamba, the General Secretary of CCM, he is an assisant to President Kikwete. What exactly he assists the President with is not clear from the interview as he wouldn't discuss his work.


You are the son of a politician (Honourable Yusuph Makamba), do you think that there are great expectations that come from being born to a famous political family like the Makambas?
Firstly, great respect comes from knowing that your parent has devoted his life to public affairs. There are many sacrifices which the family has had to accept because of our father's work.
Secondly, with the name Makamba comes both good and bad. The good is that so many people around the country have worked with my father and respect him greatly. So you have a ready network of extended family many of whom have known me since I was a child and they are happy to see to see me doing well and to help with advice or in any other way they can at any time.
But also, there are those who disagree with my father politically or have a bad view of him. Often people cannot differentiate between the views of the father and those of the son. So, you find that you inherit both the friends and the enemies of your father despite what you may want yourself.
Furthermore, as the child of a politician, people presume that you have lived a privileged life and that you have been spoiled and cannot stand up on your own. This is not true. We have always led a normal life. I recall that my father owned his own house for the first time in his life not so long ago and it was a normal thatched house in Kiomoni Village Tanga. During the rain it was leaking. We had to move the furniture and beds out. When we stayed in Kiomoni, we were studying in Tanga town, 12 kms away, and we went by foot or by bike if lucky and lunch was just some roast cassava and water bought with the 50 shillings our mother gave us in the morning. But today, everybody thinks that it was all bread and butter and that we got a lift to school in a car.
Even so, I don't believe that a good or a hard life can determine the good or the bad or their ability.
Another thing, is that coming from a political family, in the wider community there is a perception that everything was given to you on a plate. No matter your abilities or how hard you work, people will say, "ah, he's just the child of a big shot". Basically, your efforts are not recognized. But this doesn't bother me because luckily those that say that have never met me or worked with me. Those that know me know what I'm like.
Another thing I'm asked every day is how do you feel to read news about your father every day, some of it praising him and some putting him down. If you are from a political family, you get used to such things and they don't disturb you or make you lose sleep. You read the headline, by the second page, the story is over and life goes on.
At the end of the day, the only guarantee is to believe in yourself and to know what you are doing, but also to know that everything you do, especially things that don't go well, the implications are not just for yourself but there are also political implications for your parent.
……………………
There are rumours that you want to enter politics yourself and it is said that you want to stand for parliament next year. Is this true?



Those rumours have been going around since 2005. I'll talk about that when the time comes.
Nevertheless, I have always encouraged the youth to get involved in public service including politics and government employment as I believe our generation has a sense of responsibility and we should step up.
Tell us which countries you hve visited and what you have learned from them that you can share with the youth.
I try to get time to learn the history of wherever I visit – the politics of that country, the development challenges they have and what they do to tackle them. I don't think that space allows me to go into all of this for all the countries I have visited. Let me just discuss two places that I have recently visited and what I have seen and learned there (and I don't mean government issues, of which there are many).
Some weeks ago I visited Cairo and Rome. When I got some time to relax, I visited the landmarks and museums of Rome and Cairo. Those two cities have great history as ancient civilizations and for our three religions – Judaism, Islam and Christianity. I was reminded of learning in school about those two great empires, the Roman Empire and the Ottoman Empire. If you visit the landmarks of Rome – The Colosseum, the Pantheon, the Roman Forum, St. Peter's, where Julius was murdered, and other places too – you learn about statecraft, the history of Christianity and many other things. When in Cairo, by visiting the pyramids, the Citadel and the old mosques of Sultan Hassan and Sultan Ali and by visiting the National Museum you learn the history of Islam and Judaism and get to see the places mentioned in the Bible and the Koran. You learn about empire building. Basically you get an introduction to Egyptology.
So you learn many things including the importance of a nation preserving its history and to build pride and patriotism in the country – to build the soul of a nation.
Even so, I have benefited even more by travelling around our own country – every corner, by road, twice: during the campaign and in my current job. I have learned many things about our country, its people and the obstacles and opportunities there are to changes. I will always be grateful to the Kikwete for giving me this opportunity.

- Saafi sana, kijana amehojiwa na amejibu inavyotakiwa yaani kielimu na kisomi sana. Eti huyu kijana hawezi ubunge, inasikitisha sana!

Respect.


FMEs!
 
More: Januari Makamba

Mr. January Y. Makamba, Chair of the Africa Working Group at the Institute for Conflict Analysis and Resolution (ICAR), Fairfax, Virginia.

Recipient of the Brenda Rubenstein Scholarship at ICAR, Mr. Makamba is also an International Organization Fellow of the UN Association and Intern at the Academy for Educational Development in Washington D.C.A MS degree in Conflict Analysis and Resolution from George Mason University will be awarded in May 2004, following his BA degree in Peace and Conflict Studies from Saint John's University (Minnesota) in 2002.

Mr. Makamba
worked for AFRICARE as Assistant Camp Manager of the Mtabila II Refugee Camp, Kasulu, Tanzania from 1995 to 1997, where he oversaw the management of a camp of more than 60,000 Burundian refugees.Later he worked summers as a Protection Assistant/Intern with the UNHCR Sub-Office in KasuluThe Carter Center (2002), and as a Researcher/Intern in the Ministry of Foreign Affairs of Tanzania, researching conflicts in the Great Lakes region of Africa as they relate to national policy (2003).

Mr. Makamba
(2001), as an Election Observer/Human Rights Intern in Atlanta and Sierra Leone with has built an extensive network of activists in politics and civil society in East and Central Africa.
 
january makamba alonga

SWALI: Wewe ni mtoto wa mwanasiasa marufu ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Tawala CCM, Mh. Yusuph Makamba, je unafikiria kuna mategemeo makubwa yanayokuja kama dhamana ukizaliwa kwenye familia maarufu ya kisiasa kama ya Makamba?

JIBU: Kwanza kuna heshima kubwa kutambua kwamba mzazi wako ameyatoa maisha yake kwa utumishi wa umma. Kuna sacrifices ambazo kama familia lazima mzikubali kutokana na shughuli za Mzee.

Pili, kuwa na jina la Makamba kuna uzuri na ubaya wake. Uzuri wake ni kwamba wapo watu wengi katika sehemu mbalimbali za nchi hii ambao wamefanya kazi na baba na wanamheshimu sana. Kwahiyo tayari unayo network kubwa ya extended family ambao wengi wanakujua tangu uko mdogo na wanafurahishwa na wanajiona ni sehemu ya mafanikio yako, na wako tayari kukusaidia kwa ushauri au mambo mengineyo wakati wowote.

Lakini pia wapo ambao wanaona Mzee Makamba ni mtu fulani hivi hafai au mtu wa hovyo au wana kutokuelewana naye kimitizamo au kisiasa. Mara nyingi, katika mazingira ya kwetu hapa, hawa watu hawawezi kutofautisha kati ya mawazo na misimamo ya baba na mtoto. Kwahiyo, unajikuta unarithi marafiki na maadui wa baba yako hata bila ya wewe mwenyewe kutaka.

Vilevile, ukiwa mtoto wa mwanasiasa mara nyingi kuna dhana katika jamii yetu kwamba umeishi a privileged life na kwamba umeharibika au umedekezwa na kwamba huwezi kujisimamia mwenyewe. Hii si kweli. Maisha yetu sisi miaka yote yamekuwa ya kawaida sana. Nakumbuka Mzee wangu kwa mara ya kwanza amemiliki nyumba yake si muda mrefu uliopita, na ilikuwa ni nyumba ya makuti pale kijijini Kiomoni, Tanga.


Wakati wa mvua, nyumba hii ilikuwa inavuja. Tunahamisha vitanda na furniture. Na wakati tunakaa Kiomoni tulikuwa tunasoma Masiwani, Tanga Mjini ambapo ni Kilomita 12, na tulikuwa tunaenda kwa mguu, ukibahatisha ni baiskeli, na lunch ilikuwa ni mihogo ya kuchoma na maji, mama alikuwa anatupa shilingi hamsini kila asubuhi. Lakini leo kila mtu anadhani maisha yako yote umekula mkate na siagi na umepelekwa shule kwa gari.

Hata hivyo, siamini kama kuishi maisha ya shida au ya starehe kunaweza kuwa kigezo cha wema au ubaya wa mtu na uwezo au udhaifu wa mtu.


Huyu mbona tulishamzoea, anamjua kila member hapa na ana stories zake.


Hilarious!

- Unajua ukweli huwa unauma sana, sasa sio taabu kuona walioathirika na ukweli so far, lakini bado tunasimamia the subject Januari Mkamba, naona hapo juu interview yake na Michuzi Blog, saafi sana tunatka vijana kama Januari.

- I mean hizi filimbi nimezizoea hazijawahi kunitisha ila kuzidi kusimamia hoja yangu kama ninavyoendelea hapa juu.

Es!
 
Back
Top Bottom