mchawi bibi yako.. π π π π..mimi sijasema viatu vibaya ..ila ni vichafu mnoo ...kama kweli walienda kwaajili ya kupiga picha na wakaruhusiwa kuvaa hivyo basi imba kazi wanayo..Wachawi wako kila corner sio lazima wapae na ungo
Siongelei ushabiki ...nazungumzia maslahi ya timu yangu ya SimbaSasa ukaulize viongozi wako wa yanga GSM anatoa sh ngapi kuweka logo yake kwenye jezi zenu, hadi soksi
Akueleze wewe kama nani?Ukiondoa yeye Kama mwanahisa, Mo atueleze kampuni yake inalipa kiasi gani kuweka matangazo kwenye jezi za Simba
Kama kuna mkataba ni jambo kheriUelezwe kama nani?
Wanavyotangaza kusaini mkataba huwa unakuwa wapi?, mkatapa umesainiwa tena kwa press kabisa ila bado mna nongwa.
Kuna mkataba kabisa, ambao alisaini Fatma Dejwi kama mkurugenzi wa Masoko wa Metl na Simba.Kama kuna mkataba ni jambo kheri
Na hujaona kuwa wamechezea mpira hapo hapo kwenye mchanga?mchawi bibi yako.. π π π π..mimi sijasema viatu vibaya ..ila ni vichafu mnoo ...kama kweli walienda kwaajili ya kupiga picha na wakaruhusiwa kuvaa hivyo basi imba kazi wanayo..
Misukule shida sana. Unaacha kumuuliza GSM anaweka sh ngapi unamuuliza MOUkiondoa yeye Kama mwanahisa, Mo atueleze kampuni yake inalipa kiasi gani kuweka matangazo kwenye jezi za Simba
[emoji23][emoji23][emoji23]povu la nini kwenye team isiyo kuhusu utakuwa baba kiherehere na utasuswa na kuja kuwa mchawi mubaya huko mbelenimchawi bibi yako.. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]..mimi sijasema viatu vibaya ..ila ni vichafu mnoo ...kama kweli walienda kwaajili ya kupiga picha na wakaruhusiwa kuvaa hivyo basi imba kazi wanayo..
Wabongo shida sijui nin timu ya simba bila ya uwekezaji wa Mo isingekua hapa lakini awajui kuwa Mo pia anatangaza biashara yake paleUelezwe kama nani?
Wanavyotangaza kusaini mkataba huwa unakuwa wapi?, mkatapa umesainiwa tena kwa press kabisa ila bado mna nongwa.
Wivu tu sometimes mtu ni mwekezaji afu wanataka asitangaze biashara zakeUsivae mama, nenda kavae ya utopolo. Hujalazimishwa.
Brazzaa'sio kila anayeuliza na kuhoji maslahi ya Simba ni Yanga.Misukule shida sana. Unaacha kumuuliza GSM anaweka sh ngapi unamuuliza MO
Ukiondoa yeye Kama mwanahisa, Mo atueleze kampuni yake inalipa kiasi gani kuweka matangazo kwenye jezi za Simba
Wivu tu sometimes mtu ni mwekezaji afu wanataka asitangaze biashara zake
Mo ana mapenzi na Simba ,hebu angalia tu usajili anafanya yeye,analipa wachezaji ,usafiri( tena ndege ) ,malazi na chakula,uwanja wa mpira .ila tangazo tu watu wanatoa povuWivu tu sometimes mtu ni mwekezaji afu wanataka asitangaze biashara zake
Hivi Yanga jezi haina twiga gas?GSM kaweka official logo yake, na this time kaongeza na GSM FOAM, hadi kwenye soksi na hajainvest hata shilingi, ila wanakesha kumnanga mtu alieinvest 20b.
Sijaona sura ya mtu kwenye jezi ya Simba labda umeangalia kisukuleIPO yenye picha ya barbara na nyuma yupo MO na Magori, yaani Magori ameshika chupa ya MO energy anakunya nayo ni official kit ya msimu huu.
Hasa Hilo MO foundation limechafua jezi halikuwa na umuhimu bana hapo angeachwa vunja bei. Sasa Mimi navaaje jezi imeandikwa Mo foundation inahusikaje na team. Watoe hayo matangazo loh