Hatimaye John Mnyika ametangazwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo. Matokeo yalicheleweshwa kutangazwa kupita kiasi bila sababu ya msingi. Wadau wa mgombea huyu walikesha juzi na jana usiku kuhakikisha kura hazichakachuliwi hasa ukizingatia kulikuwa na madai ya kufanyika kwa kitendo hicho katika uchaguzi wa 2005. Juhudi zao zimezaa matunda 2010.
Ili matokeo yatangazwe inabidi kwanza akamatwe mtu mmoja akatwe kichwa hadharani ili kiravo aone hakuna masihara, other ways utasikia matokeo yameahirishwa na uchaguzi unarudiwa tarehe 17 oct 2010