Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

Tofauti na mategemeo ni kiama kingine. Mungu saidia. CCM kwisa kabisa.
 
dakika kama 10 zijazo matokeo yatatangazwa, nipo hewani na nitawafahamisha kinachoendelea hapa

kura:

chadema - 66,000+
ccm - 50,000+
cuf -12,000+

sorry: mnyika katangazwa mshindi lakini hata haisikiki tena, watu wanashangilia sana kiasi sisikii. Tutaziweka figures sawa baada ya kuzipata na kuzinakili


peoples power.................
 
wamebana wameachia mimav***** pwaaa pwaaaa....
NANI KAMA MNYIKA JAMANII?????
vipi mdee..
 
Kuna Wakati mtu Unapata Raha yaani mpaka Unatamani ....ukajitupe Baharini..........Raha Tu Raha Tu Raha tu Raha Tu RahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAAAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wakuu, wenye video clips watuwekee hapa tuone basi. Yani ni Raha kwenda mbele.
 
maandamano.jpg

mapinduzi mbele daima
 
Ngoja ntafute supu sasa....dah afadhali hewa inaingia kidogo sasa.....
 
Wana JF Rombo mbona hawatangazi? au kuna mtu ameshikilia karatasi aua karatasi imekwama kwenye mashine kama ya Morogoro?
 
Safi sana Mnyika... Anashukuru kwa ushindi na anawaahidi watanzania kuwatumikia na anakaribisha maswali
 
Yuko hapa hapa jamvini bila ku logon. Mimi nimeshamuona lakini ni vigumu sana akajitokeza! Naona anachungulia chungulia na kutoka!
ana bahati mbaaya sana huyu mjeba....kuanzia kuleeee mtera kabwagwa...na nasikia ni shabiki wa simba na liverpool
 
Hongera sana kaka Mnyika kwa kweli umelipigania sana hilo jimbo kwa muda mrefu.mungu akutangulie ukafanye mabadiliko huko mjengoni.Ikiandikwa imeandikwa wameshindwa kuchakachua hapo.Hongereni sana kwa kuzilinda kura hapo
 
Back
Top Bottom