Hata muendelezo si muendelezo. Maana ungekuwa muendelezo angalau angeniita nije.kumbe huu uzi ni mwendelezo aya mkuu mleta uzi Kiranga kashakuja mjibu sasa maana nilikutaadharisha mapema
Mkuu wameshakujibu kimantiki? au wanarukaruka tuHata muendelezo si muendelezo. Maana ungekuwa muendelezo angalau angeniita nije.
Huu uzi ni shobo tu.
Kuanzisha uzi kwa jina la Kiranga.
I should charge a fee for that shyt.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mantiki wanaelewa maana yake ni nini basi?Mkuu wameshakujibu kimantiki? au wanarukaruka tu
katamu sana asee
Ebwana kwanza unakumbuka nilikuuliza swali gani ? Isiwe hata swali hujaliona.Wewe una mamlaka gani ya kunipa mimi masharti ya kufuata?
Kinachokupa kiburi cha kufikiri kwamba wewe unaweza kunipa mimi masharti ya kufuata ni kipi?
Nimekujibu swali lako, tatizo, ukiliona jibu utalitambua hili ndilo jibu?
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu wako ambaye ndiyo chemko la utakatifu, kiasi kwamba tukisema utakatifu lazima uwe unamhusu yeye, yupo kweli?
Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo na si hadithi tu?
Wewe una mamlaka gani ya kunipa mimi masharti ya kufuata?
Kinachokupa kiburi cha kufikiri kwamba wewe unaweza kunipa mimi masharti ya kufuata ni kipi?
Nimekujibu swali lako, tatizo, ukiliona jibu utalitambua hili ndilo jibu?
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu wako ambaye ndiyo chemko la utakatifu, kiasi kwamba tukisema utakatifu lazima uwe unamhusu yeye, yupo kweli?
Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo na si hadithi tu?
umepatia khasa.....Mimi sijui alimaanisha nini anaweza kuja apa akakuuliza utakatifu ni nini ukataja unavyoelewa na yeye akataja kwa maana aliyokuwa akimaanisha ndipo anapowakamatiaga watu hapo
Unajua level ya elimu ya kiranga?Bro suala la masharti sio mpaka nwe na mamlaka,suala la mashart ni elimu tu maarifa.
Leo mangapi yamekuwa mepesi kwa kufuata masharti ? Leo mangapi yamekuwa magumu kwa kutofta mashart ?
Hakuna jambo lenye utaratibu mzuri lisilo simama bila masharti ?
Bali hakuna mjadala wa kielimu usiofata masharti. Ukiona mtu anazingatia masharti katika mjadala,ujue amekuzidi elimu juu ya hicho mnachotaka kukijadili.
Tatizo watu kama nyinyi mmenyimwa misingi ya elimu ndio maana hata uwezo wenu w kunakishi hoja ni mdogo na umegubiwa na uongo mwingi na wasi wasi tele.
Sasa turudi kwenye mada ya msingi,hasa kwenye tamko la utukufu.
Akikujibu wewe nitag.Bro suala la masharti sio mpaka nwe na mamlaka,suala la mashart ni elimu tu maarifa.
Leo mangapi yamekuwa mepesi kwa kufuata masharti ? Leo mangapi yamekuwa magumu kwa kutofta mashart ?
Hakuna jambo lenye utaratibu mzuri lisilo simama bila masharti ?
Bali hakuna mjadala wa kielimu usiofata masharti. Ukiona mtu anazingatia masharti katika mjadala,ujue amekuzidi elimu juu ya hicho mnachotaka kukijadili.
Tatizo watu kama nyinyi mmenyimwa misingi ya elimu ndio maana hata uwezo wenu w kunakishi hoja ni mdogo na umegubiwa na uongo mwingi na wasi wasi tele.
Sasa turudi kwenye mada ya msingi,hasa kwenye tamko la utukufu.
Ugunduzi wako feki.Nilichogundua wewe na Kiranga ni Mtu Mmoja
Sent from my iPhone using JamiiForums