CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

Unaelewa kwamba ukishaanza kujiuliza kama mantiki inafaa au haifai tayari unatumia mantiki hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hii unayotaka kujitetea kwayo nguo ikitakata utasema nguo hii ni takatifu?
 
Unaelewa kwamba ukishaanza kujiuliza kama mantiki inafaa au haifai tayari unatumia mantiki hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ni zaidi ya mantiki na huwezi kuniambia hata nikikupa miaka na mikaka kwanini nimesema kwanini haifai ? Hiyo nimekupa ziada tu ya faida.

Kwani hata waliopotea waliona wako sahihi na wakaiwekea misingi na kuifata na kuendelea kuhakiki hoja kwa kutumia misingi hiyo.

Hapa nimefikiri zaidi ya wana mantiki wenyewe. Hakuna mwana mantiki awezayo kufikiri mpaka hapo nilipofikiri mimi.

Tuendelee na mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawazi kabisa. Sababu ulichokijibu na uhalisia ni mashariki na magharibi.

Ni sawa sawa nakusema mkono wako ni kama mkono wa birika. Japokuwa yote ni mikono lakini kamwe si haiko sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mawazo yako
Usifikirie unavyowaza magharibi na mashariki ndivyo anavyowaza mwingine.



[emoji252] [emoji479]
 
Kwa mawazo yako
Usifikirie unavyowaza magharibi na mashariki ndivyo anavyowaza mwingine.



[emoji252] [emoji479]
Uko sahihi. Ila unatakiwa kuwaza au kusema kilicho sawa au kusema kweli.

Udhu ni jina linalotokana na vitendo vyenye kufuatana tena katika idadi maalumu na ni tamko la kisheria.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi. Ila unatakiwa kuwaza au kusema kilicho sawa au kusema kweli.

Udhu ni jina linalotokana na vitendo vyenye kufuatana tena katika idadi maalumu na ni tamko la kisheria.





Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Ndiyo nimewaza na kwa mawazo yangu nikaona ni sahihi.



[emoji252] [emoji479]
 
Sijakuelewa unataka tuwaze Sawa?
Kwamba udhu si utakatifu/usafi
Bali ni sheria?

[emoji252] [emoji479]
Sijasema tuwaze sawa na haiwezekani kuwaza sawa.

Pili udhu si utakatifu bali udhu ni twahara,yaani kujifafisha kwa lengo fulani,mfano kwa ajili kufanya ibada na mfano wake.

Utakatifu ni jambo kando kabisa.

Na niliposema ni tamko la kisheria,hapa nataka nikupe faida katika maendeleo ya lugha kuna kutafsiri neno kwa mujibu wa lugha na kutafsiri neno kulingana na fani fulani au elimu fulani.

Tunatakiwa tuwaze kwa usahihi hata kama tukitofautiana kimawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujisafisha kwa jambo fulani
.........!
Jioni njema

[emoji252] [emoji479]
 
Asante sana,hili ndio nililokuwa natarajia au kutamani kuliona kutoka kwako bibie.

Nilikuwa nawaza nitaumaliza vipi mjadala na wewe.

Na wewe pia jioni njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa na ni vile napambania mwendokasi
Tungekesha...

Hapo ukute Kiranga ni mzee wa kanisa

[emoji252] [emoji479]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…