Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Leo utasema yote ,ila kiukweli umekamatika kiurahisi sana.Katika ulimwengu wa hypertext, quotes, links, post numbers etc,kuandika "mjibu Zurri hoja zake" bila kutoa quote, hyperlink au hata post number ni kielelezo cha uvivu wa kufikiri au kukosa uwezo zaidi kidogo tu ya ya reflex action.
Yana maana hujasoma the seminal Claude E. Shannon paper on information theory "A Mathematical Theory of Communication"Sawa ,tuambie haya maneno uliyoyaandika yana maana gani?
1)uchafubutaleta
2)juanzia
3)moaka
Huyo Dikson Dawkins na mwenzake wote vipofu wa akili wa moyo. Sasa ni maajabu nani ataona kosa la mwenzake zaidi ya kusifiana tu.Wewe wacha kumuingiza kijana wetu kwenye "dagomas" we are atheist na hatuhusiki huko kwenye project za kipumbavu.
Atheist
√wise
√truth seeker
√intergrity
√creativity
√irrational
√facts
Dikson Dawkins
"If you're religion apologists and invited to make a debate with hitchen decline "
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujaweka quote, link wala post number.Leo utasema yote ,ila kiukweli umekamatika kiurahisi sana.
Umejiona ni jinsi gani ulivyo mjinga?Yana maana hujasoma the seminal Claude E. Shannon paper on information theory "A Mathematical Theory of Communication"
http://math.harvard.edu/~ctm/home/text/others/shannon/entropy/entropy.pdf
Huwezi kuelewa hata ninachomaanisha, kwa sababu huongei lugha ninayoongea mimi.Umejiona ni jinsi gani ulivyo mjinga?
Ni sawa na yule anaye jitekenya na kucheka mwenyewe.
Kwanza kabla ya yote, haya mabandiko yako yote mawili yana makosa kwa kuwa hayajafuata mpangilio wa kisarufi,na vile vile huwezi kuanza sentensi kwa kutumia kiunganishi.Huwezi kuelewa hata ninachomaanisha, kwa sababu huongei lugha ninayoongea mimi.
Na hata utashi wa kuweza kuielewa huna.
Wapi nilisema maandiko yangu yote hapa yatafuata mpangilio wa kisarufi na sentensi kwa kutumia kiunganishi?Kwanza kabla ya yote, haya mabandiko yako yote mawili yana makosa kwa kuwa hayajafuata mpangilio wa kisarufi,na vile vile huwezi kuanza sentensi kwa kutumia kiunganishi.
Rekebisha kisha urudi hapa tuendeleze mjadala.
Umeelewa lakini nilichokukosoa?Wapi nilisema maandiko yangu yote hapa yatafuata mpangilio wa kisarufi na sentensi kwa kutumia kiunganishi?
Wapi nilisema sitaandika kwa kutumia binary au hexadecimal code?
6b 77 61 20 6e 69 6e 69 20 75 6e 61 74 61 6b 61 6b 75 6e 69 6c 61 7a 69 6d 69 73 68 61 20 6b 75 61 6e 64 69 6b 61 6b 77 61 20 6d 75 61 6e 64 69 6b 6f 61 6d 62 61 6f 20 73 69 6a 61 73 65 6d 61 20 6e 61 74 61 6b 61 6b 75 75 66 69 6b 69 61 3f
55 6d 65 65 6c 65 77 61 6e 69 6e 61 76 79 6f 6b 75 61 6e 64 69 6b 69 61 20 68 61 70 61 3fUmeelewa lakini nilichokukosoa?
Kwa kwelikila mtu afanye yake
amuamini mungu au asimuamini ni juu yake
kikubwa pumzi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka hapa inaonesha kuna tukio kubwa lilikutokea maishani mwako ambalo kwa kiasi kikubwa lilichagiza kuharibu mfumo wako mzima wa kupokea taarifa na kuzitafsiri kwa usahihi zaidi.55 6d 65 65 6c 65 77 61 6e 69 6e 61 76 79 6f 6b 75 61 6e 64 69 6b 69 61 20 68 61 70 61 3f
Nimegundua wewe jamaa una akili sana, Kiranga japo huwa ni vigumu kumshinda katika mijadala kama hii, lakini kwako lazima ajipange vizuri kama akitaka akushinde Kwa hoja.Huko ni zaidi ya mantiki na huwezi kuniambia hata nikikupa miaka na mikaka kwanini nimesema kwanini haifai ? Hiyo nimekupa ziada tu ya faida.
Kwani hata waliopotea waliona wako sahihi na wakaiwekea misingi na kuifata na kuendelea kuhakiki hoja kwa kutumia misingi hiyo.
Hapa nimefikiri zaidi ya wana mantiki wenyewe. Hakuna mwana mantiki awezayo kufikiri mpaka hapo nilipofikiri mimi.
Tuendelee na mjadala.
Sent using Jamii Forums mobile lapp
Yeah tena anayelifahamu neno kwa undani sanaNi Kasisi Yule Bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa katoa lock kidogo... Si unajua makasisi na mvinyo ni sawa na uji na mgonjwa?Umepaniki mpaka umeanza kuandika maneno yasiyo eleweka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitagKwa maana hii unayotaka kujitetea kwayo nguo ikitakata utasema nguo hii ni takatifu?