CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

CONFIRMED: Kiranga siyo Atheist. Ana pretend tu. Ushahidi huu hapa amejianika mwenyewe

Nimegundua wewe jamaa una akili sana, Kiranga japo huwa ni vigumu kumshinda katika mijadala kama hii, lakini kwako lazima ajipange vizuri kama akitaka akushinde Kwa hoja.
Yaani huyu jamaa alichosema kinaweza kuwa ni kitu cha msingi lakini hoja yake inaweza kukosa mantiki kwani ametumia MANTIKI kukosoa misingi ya MANTIKI. sasa je ataweza kubaini udhaifu wa misingi ya MANTIKI kwa kutumia misingi hiyohiyo ya MANTIKI anayoikosoa??
Ninachoshauri huyu jamaa kama anaona kuna uwezekana wa walioweka misingi walikosea na wakaendelea kuamini mambo katika hiyo misingi basi na atuthibitishie.
Pia katika kujadili hili naomba aweke pembeni REASONING kama kitu kinachoipa hoja LEGITIMACY ya kuwa madhubuti ili akwepe kutumia misingi ya MANTIKI ambayo anaona inaweza kuwa ina walakini. Aje na mtindojenzi wa hoja tofauti na huu wa misingi iliyokosewa na hapo ndipo tutaanza kujadili vizuri.
Kiranga asipojibu swali kuna uwezekano wa mambo kadhaa yanayomkwamisha. Tunapotoka moja kwa moja na kusema amekimbia hoja ya mjadili mwenzake. Tusipende kuhitimisha mambo bila kuyapitisha ktk mchakato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua ww hujui maana na scope ya mantiki. Vitu vingine mvisomage kwanza msiwe mnaparamia kila kitu kwa kujifnya ma-all knowing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kauli moja huwa ina nasibishwa na mwanachuoni fulani hivi,hapa simtaji jina kwa linda heshima yake. Mwanachuoni huyu anasema hivi " Nilijadiliana na wasomi mia moja nikawashinda kwa hoja,ila nilijadiliana na mjinga moja,akanishinda". Au kama alivyosema. Tabia za wajinga huwa ziko wazi,wajinga wa mambo ya kielimu kwanza huwa hawana hoja zaidi ya matusi na lugha chafu. Wewe ndio mjinga ninae kukusudia hapa.

Sasa kama hujijui kama wewe ni mjinga utaingia katika kundi la wapumbavu.

Nilitaka nisikujibu chochote lakini nikaona nitakuwa nimekudhulumu.

Endelea kugundua bro !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uthibitisho uko wazi. Tuliza akili,kisha soma hoja zangu. Ukiona hujazielewa ujue hoja zimekuzidi upeo.

Ukirudi tena,sasa uje kielimu sio kitoto kwa kupaparika kama moto wa kifuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sipapariki mkuu. Tueleweshana taratibu na lengo ni kupeana elimu. Nimefafanua zaid katika koment iliyofuatia rudi itazame vizur.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huyu jamaa alichosema kinaweza kuwa ni kitu cha msingi lakini hoja yake inaweza kukosa mantiki kwani ametumia MANTIKI kukosoa misingi ya MANTIKI. sasa je ataweza kubaini udhaifu wa misingi ya MANTIKI kwa kutumia misingi hiyohiyo ya MANTIKI anayoikosoa??
Ninachoshauri huyu jamaa kama anaona kuna uwezekana wa walioweka misingi walikosea na wakaendelea kuamini mambo katika hiyo misingi basi na atuthibitishie.
Pia katika kujadili hili naomba aweke pembeni REASONING kama kitu kinachoipa hoja LEGITIMACY ya kuwa madhubuti ili akwepe kutumia misingi ya MANTIKI ambayo anaona inaweza kuwa ina walakini. Aje na mtindojenzi wa hoja tofauti na huu wa misingi iliyokosewa na hapo ndipo tutaanza kujadili vizuri.
Kiranga asipojibu swali kuna uwezekano wa mambo kadhaa yanayomkwamisha. Tunapotoka moja kwa moja na kusema amekimbia hoja ya mjadili mwenzake. Tusipende kuhitimisha mambo bila kuyapitisha ktk mchakato.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimuuliza kiranga au nikimjengea hoja,na wewe nataka uijibu hii hoja.

Kati ya maneno na Elimu ya mantiki kipi kilianza ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipapariki mkuu. Tueleweshana taratibu na lengo ni kupeana elimu. Nimefafanua zaid katika koment iliyofuatia rudi itazame vizur.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakumbuka uliandika nini ulipo quote kauli hii "Poa,niandikaje ?"

Sasa ukija kihuni lazima twende kihuni kama ulivyokuja,na ukija kielimu lazima nikukirimu kielimu.

Huwa siitiki mpaka niitwe bro !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimuuliza kiranga au nikimjengea hoja,na wewe nataka uijibu hii hoja.

Kati ya maneno na Elimu ya mantiki kipi kilianza ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote vilikuwepo tangu kuwapo labda vilitofautiana muda wa kugunduliwa na kuanza kutumika kwani kitu kinaweza kuwepo lakini idea ya kuanza kukitumia au kugundua kama kipo inaweza kuchelewa. Ujenzi wa hoja kwa kutumia mantiki ulikuwepo tangu kuwepo kwa binadamu ambapo wengi walijenga hoja kwa mantiki pasipo kujua.

Hauko sahihi na unakosea. Swali lilikuwa rahisi na jibu lake ni jepesi sana.

Nikizungumzia elimu weka akilini mwako ujue inazungumziwa misingi. Hakuna elimu bila misingi.

Maneno yalikuwepo na yameitangulia elimu. Sasa hapa nakupa mfano halafu uniambie,mtindo huu wa kujadili hoja au kuhakiki hoja ulikuwepo hapo kabla,na uniletee ushahidi. Na kama ulikuwepi ulikuwa wapi ?

- Zurri ni binadamu

- Kila binadamu anakufa

Hitimisho

- Zurri lazima afe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote vilikuwepo tangu kuwapo labda vilitofautiana muda wa kugunduliwa na kuanza kutumika kwani kitu kinaweza kuwepo lakini idea ya kuanza kukitumia au kugundua kama kipo inaweza kuchelewa. Ujenzi wa hoja kwa kutumia mantiki ulikuwepo tangu kuwepo kwa binadamu ambapo wengi walijenga hoja kwa mantiki pasipo kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia jifunze kutofautisha kitu na elimu,hapa nazungumzia elimu si kitu.

Ukisema kitu ujue ni vitu vinavyoshikika. Elimu si kitu bali elimu ni hali.

Sasa nakupa muda wa kurekebisha kauli yako au hoja yako,ili usizidi kukosea.

Kadhalika kauli yako inapingana vikali na lugha,yaani sarufi ya lugha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlipokuwa medical school nilikuwa the best siku moja kesi ndogo tyu ya tetanus ilinishinda ila mtu aliyejulikana kwa upeo mdogo akaligundua,toka mda huo nimejifunza sana,my principle is staying calm,listen and smiling while rejecting any ego feelings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamusi Kuu ya Kiswahili
Baraza la Kiswahili la Taifa. Longhorn Publishers Limited. Toleo la 2015.
Ukurasa wa 977
Takata
Kitendo cha kitu kama nguo kuwa safi bila hata uchafu kidogo.
Safi, kuwa safi
Takatia, takatisha, takatika n.k
just admit it

hiyo ni tafsiri ya takata
sio Takatifu,toa tafsiri ya neno ndoa takatifu in English

Bila shaka tafsiri yake ni HOLY MARRIAGE
Neno HOLY hutumika kuonesha utakatifu wa kidini/KiMungu tu

so don't make a fool out of us

kamq unafact iwezayo kupinga letq
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
Jibu swali!!
Ww ndo ulisema NDOA TAKATIFU/HOLY MARRIAGE sasa niambie unazungumzia utakatifu wa wapi ,wakati Neno Holy huzungumzia Dini Tu

usiulize Swali wakati lako umeshindwa kujibu
 
Jibu swali!!
Ww ndo ulisema NDOA TAKATIFU/HOLY MARRIAGE sasa niambie unazungumzia utakatifu wa wapi ,wakati Neno Holy huzungumzia Dini Tu

usiulize Swali wakati lako umeshindwa kujibu
Nimekujibu mpaka kukupa ukurasa wa kamusi. Kwa etymology.

Unaelewa etymology ni nini?

Wewe nimekutaka uthibitishe kwamba huyo Mungu ambaye unadai utakatifu wa ndoa unatoka kwake yupo.

Umeshindwa.

Huna hoja.
 
Ungekuwa mpambano kuna mtu kapigwa KO(knockout) safi sana naona hadi wapambe wapo kimya zile promo zitaisha sasa mkuu Zurri naomba nikupongeze kwa kutoa facts ambazo zinamfanya mpinzani sio tu ajione hana akili bali ajidharau kabisa..
 
neno Ndoa, neno Takatifu, neno Roho ukishatambua vipo tayari ushagusa imani, unayesema Mungu hayupo, nani kakuambia kuna roho?
 
Back
Top Bottom