GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Nitaenda tena huko January 2024.Grand barrier unasema pa kijinga?! Je, ungekutana na ubabe wa Petit barrier?!
Anyway, hizo border mbili za upande wa Gisenyi na Goma ni za kitakatifu sana. Hata Rusizi 1 na Rusizi 2 za Kamembe nazo u Yesu ni mwingi pia. Vivyo hivyo, hata border ya Bugarama na Kamanyola-napo salamu Maria ni nyingi pia.
Ngoma ipo Kasumbalesa, wenyewe wanakwambia bulaya yaani Ulaya. Huko ndiyo lililopo ungua shoka mpini ukabaki!
Kila nikikumbuga wale watoto wa mbwa pale Kanyaka, aisee sina hamu na DR.
Congo, 🙌!!