Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

Nitaenda tena huko January 2024.
 
Viongozi wanafanya kazi gani?
kwa taarifa yako tu, vikundi vingi vya wahasi vilivyojificha ktk misitu congo, vinafadhiliwa na haohao viongozi/wanasiada wa congo wakishirikiana na wazungu wa kifaransa, webelgiji na wamerekani. congo ni bad news
 
Jana tu nimeingia DRC cha ajabu airtel ilipatikana na sms zikaanza kuingia kama kawa..kuhusu unyama,ukatili ni jadi ya hawa watu wanaasili ya ukorofi sana.Lakini ni wachapa kazi balaa..bado sijaona tukio lolote hatari kama mtoa mada anavyotutisha ila ngoja tuone labda mbele vitaumana....
 
Duh
 
Ongeza nyama maana nilipanga December nitembelee Goma
 
Mbona china ni kubwa na haijagawanywa ,russia vp, kwa hiyo huku afrika ili inchi iendelee ni lazima iwe na eneo dogo?
 
Uone kwa nani Sasa, si ndo wewe utachinjwa huko ushindwe kutupa feedback
 
DRC hiii, au nyingine? Km ni hii basi umetia sana chumvi
Ongeza nyama maana nilipanga December nitembelee Goma
Watanzania tunahitaji la kuwa na visa ya kuingilia DRC, ingawa upo uwezekano wa kuipata pale mpakani kwa kulipa dollar mia, nilichokiona pale kila afisa ni mbabe, lugha inayotumika ni kama ile ya waharifu kituo cha polisi.
 
Kwa African French Speaking countries hayo ni mambo ya kawaida kwa askari mipakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…