Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

Sababu ni ukubwa wa nchi... Na sehemu kubwa kuna misitu ya giza..

DRC kuna sehemu nyingine Serikali hawana habari napo
Uongo, sababu za kuwepo kwa vurugu zisizoisha nchini Congo DRC au Zaire siyo ukubwa wa nchi Bali ni KUKOSA AKILI NZURI KWA WATU WEUSI WENGI HAPA DUNIANI.
Tatizo lililopo Congo DRC pia lipo karibu katika nchi zingine zote za Afrika, na hata kwenye baadhi ya nchi zingine zilizopo nje ya Afrika ambazo zinatawaliwa na watawala weusi wenye asii ya Afrika.
Mbona Marekani ni nchi kubwa sana kwa geographical area lakini mbona hakuna mapigano kama Congo DRC????
 
Aiseee!
 
Ndugu yangu hao wapo mjini mjini na tambua alipo shetani na malaika huwa.
 
Pia nasikia wana tabia ya kufira wageni wao huwezi kuwa mgeni mpaka wakuingilie kama ilivyokuwa kwa wenyeji wa sadoma wakijua u mgeni katika malango yao wanataka wakujue
 
Sasa nikueleze tu mji wa kisavu kunawaka toka juzi akupitiki ni mapanga tu
 
1 September 2023, vikwazo vya Visa vimetolewa kwa raia wa Tanzania kuingia Congo na kinyume chake ni ukweli.
 
Ubeligiji ndo mother wa hayo yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…