Tetesi: Congo DRC na Burundi wanadaiwa wapo mbioni kuivamia Rwanda

Kama israel na marekani na ulaya magharibi wote wameshindwa pale gaza eneo sawa na kisiwa cha ukerewe. Wataweza hao warundi na wakongo kuivamia nchi yenye ukubwa wa mikoa mitatu ya tanzania? Kwa uchumi gani walionao sasa
Upo dunia gani mkuu?
 
Ni sahihi
 
Ukubwa Si kigezo pekee,

Hujiulizi Israel Ina ukubwa gani?
 
Mimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
Asijaribu kabisa kuigusa tanzania itamchakaza siku tu hiyo rwanda kama mkoa wa tanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…