Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tatizo nini ?Kumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.
Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.
Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.
2024 inakuja na moto mzito sasa itakuaje🤔Kumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni Kati ya mwezi February au March 2024.
Inadaiwa vyombo vya ujasusi nchini Rwanda vimepata habari hizi za uvamizi na Jeshi lake limejiweka tayari.
Mungu tunusuru Waafrika tuishi kwa Amani na upendo.
Nilimaanisha Ruvuma, lakini tambua vilevile mji mkuu huwakilisha taifa. Mfano waweza sikia ikitangazwa kuwa Beijing imesema ikiwakilisha msimamo wa China ingawa imetajwa Beijing ambayo Ni mji mkuu, the same to me kutaja Songea kuwakilisha Ruvuma.Mkoa wa Songea upo wapi? Kuna haja ya Walimu wa Geography kufanyiwa usaili wakati wa ajira zao.Kuna mwingine mtangazaji anasema mkoa wa Songea.
Ok mie kipofu sio, kweli ndugu yangu umenichoka na kunikosea heshima ila nilipokea kiungwana kbsInaanguka kirahisi haswa haswa kama viongozi wake wakiwa vipofu kama wewe.....
Sio kweli Mkuu!Kubali umekosea sio Tena porojo.Nilimaanisha Ruvuma, lakini tambua vilevile mji mkuu huwakilisha taifa. Mfano waweza sikia ikitangazwa kuwa Beijing imesema ikiwakilisha msimamo wa China ingawa imetajwa Beijing ambayo Ni mji mkuu, the same to me kutaja Songea kuwakilisha Ruvuma.
[emoji1787][emoji1787]Sio kweli Mkuu!Kubali umekosea sio Tena porojo.
Wagner si wa Russia?Kwann congo isitumie Wagner kumnyoosha Kagame!?
Kaongea points tupuwe nenda kavue samaki ziwa victoria siasa si levo zako!!
ona sasa unachoongea
Mbona kama mkwala boss?Hakuna kenge yoyote Afrika Mashariki na kati anayeweza kuigusa Tz,huwa Tanzania siku zote inahubiri amani hiyo moja ya sera zetu. Ndomaana huwa hatuna mbwembwe kama baadhi ya majirani zetu. Ila asithubutu hata mmoja kuichokoza Tz .
Usiifananishe Tanzania ni vitu vya ajabu kama Rwanda. Nakuhakikishia Tanzania akitaka hata kesho ataitawala Rwanda kama koloni au mali yake halali kama Israel na GazaMimi naomba yasitokee maana Jeshi la Rwanda kwa gadhabu na hasira zitarusha mabomu hadi Tanzania na Uganda.
HukodiwaWagner si wa Russia?
Hizo silaha utawauzia ulizotengeneza au ulizonunua? Mana ukiona kwa jirani kunafuka moshi si na wewe unajiandaa kikamilifu! Iweje uanze kuuza silaha wakati na wewe yanaweza kukukuta!!!!!Acha watwangane ,tukawauzie silaha na chakula , tutajirike
Vita ni fursa
Kuna jumuiya yoyote ya kikanda Afrija yenye nguvu na sauti kwa wanachama wake?Kiashiria kuwa EAC ni jumuiya inayoenda kuanguka kabla haijaimarisha misingi
Warundi wanatoa rasilimali watu, na DRC anatoa rasilimali fedha kwa sababu ana rasilimali za kuuza.Ngumu sana hiyo. Burundi ni maskini sana na Kongo hawezi kitu