Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao.
Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze kuzifanya kazi zao kibiashara na kukuza uchumi.
Mshana Jr, wenzetu wameanza kuutumia uchawi kimaendeleo, sisi tunakwama wapi?
Naunga mkono mapinduzi ya teknolojia, kamwe hatuwezi kufanikiwa kwa kutegemea teknolojoa mtumba.
Uchawi ukitumika vyema utakuwa chachu ya mabadiliko ya kisayansi na teknolojoa.
Ili nchi iendelee, inahitaji teknolojia yake yenyewe tofauti na sass ambapo tuna teknolojia mtumba na elimu wanayosoma vijana wetu imeshindwa kutoa matokeo chanya ndio maana hata waliosoma sayansi wanataka wawe wanasiasa