Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,785
Hamna hata video?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachawi konki ndio walikiwa machifu, na machifu walikuwa upande wa wazungu na si upande wa watu waoHaya yalitosha kuwathibitishia Waafrika wa leo kuwa hakuna uchawi bali ghilba ya watu waovu tu.
Ilikuwaje Waafrika washindwe kuwaloga hao wazungu washenzi waliowatendea ufedhuli kiwango hicho?
Si kweli, umedanganywa mambo mengi na mkoloni.
Alipokuja mzungu wahunzi wote na uzao wao aliwauawa na wengine kuwakata viganja vya mikono yao.
- Huyu mtu mweusi ndiye mgunduzi wa zana za mawe.
- Ndiye mgunduzi wa moto
- Ndiye mgunduzi wa zana za muziki
- Ndiye mgunduzi wa chuma na ndiye mtumiaji wa awali kabisa wa zana za chuma.
Walieneza dini yao kwa makali ya upanga.
Ngozi nyeusi ni laana. Mpaka wakajipeleka utumwani wenyewe kwa wenyewe.... duhWachawi konki ndio walikiwa machifu, na machifu walikuwa upande wa wazungu na si upande wa watu wao
Akili zao zinaishia kwenye kurogana tu na kuoneana wivu vilikuwa vinapigwa na wakoloni badala hata kujibadilisha wote wawe nyau lakini wanatandikwa makalio tu na ndivyo hayakuwa na nguo yalikuwa magumu kama magome ya miti.Huwa najiuliza Sana jibu sipati. Hivi kwann mwafrika hakutumia uchawi Ili asichukuliwe utumwani au kutawaliwa na mkoloni.
Hata Yesu alikuwa na rangi kama ya kwako.Ngozi nyeusi ni laana. Mpaka wakajipeleka utumwani wenyewe kwa wenyewe.... duh
Ufunuo wa Yohana 1Ngozi nyeusi ni laana. Mpaka wakajipeleka utumwani wenyewe kwa wenyewe.... duh
Kuhusu utumwa mkuu waliokuwa wanakamata na kuuza n weusi wenyewe so mwarabu alikuwa anakuta mzgo upo stock....machifu weng wameuza sana wafrika wezaoHuwa najiuliza Sana jibu sipati. Hivi kwann mwafrika hakutumia uchawi Ili asichukuliwe utumwani au kutawaliwa na mkoloni.
Hiyo dhambi had sasa tunayo yaan fitna.Halafu walikuwa wanachongeana kwa wakoloni, ila waafrika sie kama tuna kaujinga fulani ikiwemo laana ya akili.
Kuna beberu mmoja aliwahi kusema anashangaa mtu mweusi anaua watu wake anaowaongoza sijui ataongoza nini!Hiyo dhambi had sasa tunayo yaan fitna.
Ubinafsi wa mwafrika toka enzi.Kuhusu utumwa mkuu waliokuwa wanakamata na kuuza n weusi wenyewe so mwarabu alikuwa anakuta mzgo upo stock....machifu weng wameuza sana wafrika wezao
True ipo Sana mfano kampuni ya Mzungu anataka awape mishahara mizuri kwa standard za Ulaya anaingia HR mswahili anasiliba eti usiwape nyingi watalewa kwani zako hizoHiyo dhambi had sasa tunayo yaan fitna.
IP Man wa kikongo.Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao.
Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze kuzifanya kazi zao kibiashara na kukuza uchumi.
Mshana Jr, wenzetu wameanza kuutumia uchawi kimaendeleo, sisi tunakwama wapi?
Naunga mkono mapinduzi ya teknolojia, kamwe hatuwezi kufanikiwa kwa kutegemea teknolojoa mtumba.
Uchawi ukitumika vyema utakuwa chachu ya mabadiliko ya kisayansi na teknolojoa.
Ili nchi iendelee, inahitaji teknolojia yake yenyewe tofauti na sass ambapo tuna teknolojia mtumba na elimu wanayosoma vijana wetu imeshindwa kutoa matokeo chanya ndio maana hata waliosoma sayansi wanataka wawe wanasiasa