Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
NAAM FASTA TUFasta tuko nchi za watu bila visa wala passport
Ningekuja kutazama. Kwani waziri anasemaje? Kwanini aliwanyima kibali?Dah sisi walirunyima kibali kaka ingekuwa nasisi sasa tunaandaa kwa mara ya tatu sasa
Uchawi ndio umewafukarisha waafrika wengi kwa kuwaamisha uwongo kwamba unaweza pata maendeleo kupitia ndumba
Kak mkubwa hv Kuna uwezekano mtu kuruka na ungo Hadi nnch za nnje hususan ulaya au hata Africa kusiniDah sisi walirunyima kibali kaka ingekuwa nasisi sasa tunaandaa kwa mara ya tatu sasa
Si kweli, umedanganywa mambo mengi na mkoloni.Uchawi ndio umewafukarisha waafrika wengi kwa kuwaamisha uwongo kwamba unaweza pata maendeleo kupitia ndumba
Tanzania chini ya utawala wa CCM ujinga wa wananchi ni nguzo muhimu ya kuendelea kutawalaAfrica bado kuna ujinga sanaa
ningepata clip ninheinjoyWachawi nchini Congo [emoji1078] DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao.
Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze kuzifanya kazi zao kibiashara na kukuza uchumi.
Mshana Jr, wenzetu wameanza kuutumia uchawi kimaendeleo, sisi tunakwama wapi?
Naunga mkono mapinduzi ya teknolojia, kamwe hatuwezi kufanikiwa kwa kutegemea teknolojoa mtumba.
Uchawi ukitumika vyema utakuwa chachu ya mabadiliko ya kisayansi na teknolojoa.
Ili nchi iendelee, inahitaji teknolojia yake yenyewe tofauti na sass ambapo tuna teknolojia mtumba na elimu wanayosoma vijana wetu imeshindwa kutoa matokeo chanya ndio maana hata waliosoma sayansi wanataka wawe wanasiasa
Naunga mkono hojaukizaliwa Africa, umelaaniwa
Kwa hiyo mwenzetu una bonge la mlaana?Naunga mkono hoja
Ukishakua na faida hauwezi kuwa uchawi"Commercialization" safi sana, Ifike wakati uchawi kama upo uwe na faida, waungwe mkono!
Si kweli, umedanganywa mambo mengi na mkoloni.
Alipokuja mzungu wahunzi wote na uzao wao aliwauawa na wengine kuwakata viganja vya mikono yao.
- Huyu mtu mweusi ndiye mgunduzi wa zana za mawe.
- Ndiye mgunduzi wa moto
- Ndiye mgunduzi wa zana za muziki
- Ndiye mgunduzi wa chuma na ndiye mtumiaji wa awali kabisa wa zana za chuma.
Walieneza dini yao kwa makali ya upanga.
Mchawi ndie kiumbe mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri duniani mtu mwenye akili hawezi kuwa mchawi.Kitendo cha kuwa na akili ndogo ni laaana
Historia tunaypijua na kuisoma imechakachuliwa,kumbuka hata uchawi pia ni sanaa na haipo afrika tu hata waarabu na wazungu wanao uchawi wao kuna mambo ya kuzidiana na weledi ktk fani!Huwa najiuliza Sana jibu sipati. Hivi kwann mwafrika hakutumia uchawi Ili asichukuliwe utumwani au kutawaliwa na mkoloni.
Utalaumu bure..waliofukarisha afrika ni wanasiasa wenye njaa.Uchawi ndio umewafukarisha waafrika wengi kwa kuwaamisha uwongo kwamba unaweza pata maendeleo kupitia ndumba
Kwenye nyanda za uharibifu na sio ujenzi.Historia tunaypijua na kuisoma imechakachuliwa,kumbuka hata uchawi pia ni sanaa na haipo afrika tu hata waarabu na wazungu wanao uchawi wao kuna mambo ya kuzidiana na weledi ktk fani!