Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

A unique characteristic of tourmaline is its ability to produce and hold an electric charge when heated, or physically stressed or squeezed. These characteristics are referred to as pyroelectric and piezoelectric, respectively. This is why tourmaline is also known as “the electric stone.”

Ni vitu vya kawaida hivi
 
DRC a blessed Palace of maulana, itakata kiu na shida za umeme duniani, Kagame akisikia hili mate yatamtoka! /
TSHEKED ASIMAME IMARA!
Hii inaonyesha yakuwa dunia bado ina mengi ambayo ayajagunduliwa pengine vyote vilivyogunduliwa ni roho tu.
Utagunduaje Afrika wakati mudawote unasubiria kugunduliwa ----wekezeni katika elimu, sambamba na uzalendo, usione wamarekani wanaipenda nchi Yao au Europe, ni mitaala inaelekeza hivyo mtoto mdogo miaka 3 akiwa hayupo nchini mwao anajua.

Nchi za kiafrika uzalendo anafundishwa akiwa jeshini na mateso makali anayefundishwa aliyefeli ziro kabisa kidato Cha 4
 
DRC a blessed Palace of maulana, itakata kiu na shida za umeme duniani, Kagame akisikia hili mate yatamtoka! /
TSHEKED ASIMAME IMARA!
Hii inaonyesha yakuwa dunia bado ina mengi ambayo ayajagunduliwa pengine vyote vilivyogunduliwa ni roho tu.
Wakuogopwa sio kagame NI ZERUZERU WA ULAYA.
 
Mamamamama eeee AFRICA sisi daaah hatuna kitu ambacho hatuna wallah daaah
 
ama n umeme wa mchongo... mbona nyaya za tanesco huwez kuzishika mkononi ivo... lkn n jambo la kheri
 
A unique characteristic of tourmaline is its ability to produce and hold an electric charge when heated, or physically stressed or squeezed. These characteristics are referred to as pyroelectric and piezoelectric, respectively. This is why tourmaline is also known as “the electric stone.”

Ni vitu vya kawaida hivi
I like your technical explanation on the situation, much as your conclusion (Ni vitu vya kawaida hivi) doesn't recognize the fact that not everyone understands everything. We all cant be geologists. I have learnt something from you though.
 
Congo imebarikiwa sana, nchi ina kila kitu cha thamani, matokeo yake maliasili walizojaliwa na Mungu zimewafanya raia wake kuishi maisha mabaya, zimegeuka laana kwao, badala ya baraka..

Ajabu sana.

Nilisikia pia wana madini yanayotumika kutengeneza simu za mkononi/ vifaa vyake, hapo weka pembeni almasi, dhahabu, na madini mengine.
 
Back
Top Bottom